Ni mtu na X wakeSikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere
Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki
Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?
Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale
Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu
Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...
Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro
Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu
Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?
Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete
Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?
What's wrong with this man?
Umesema kama Mke,acha utani Mangi kwamba hauna macho au mpaka ushuhudie liveSikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere
Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki
Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?
Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale
Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu
Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...
Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro
Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu
Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?
Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete
Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?
What's wrong with this man?
Ona huyu mtu kweli?We una akili gani cjui .upinzan usifanye Kila kitu uone ni makosa
Asa ubaya ukwap rais mstaafu kua na mahusiano mazur na rais wa Sasa
Wasiojulikana?Kuna moja zaidi ya hayo yote uliyo orodhesha, lakini amekuwa fundi sana kulificha miaka yote hii lisijulikane, lakini sasa kaliweka wazi zaidi.
Kikwete yuo kwenye GENGE hatari sana ndani ya nchi hii.
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere
Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki
Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?
Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale
Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu
Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...
Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro
Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu
Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?
Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete
Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?
What's wrong with this man?
Lione hili pepoAcha kujadili viongozi huo ni utovu wa nidhamu uliovuka mipaka!
Biashara za familia zao IKULU.Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere
Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki
Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?
Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale
Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu
Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...
Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro
Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu
Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?
Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete
Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?
What's wrong with this man?
Hawawezi kutoboa wote wataangukaTuliona strategy za USA kule Syria, walienda kuwapiga ISIS lakini baadaye wakawa wajengea uwezo na makundi mengine wakaanza kuishambulia serikali ya Asaad.
Na Assad alipokimbilia Russia umeona Aliyekuwa kiongozi wa Al Qaeda na aliyekuwa the most wanted kwenye FBI list sasa ndiye USA na EU wana mpa support kuunda serikali kwa kumsaidia kuunganusha makundi yote nchini Syria ili kuunda serikali moja.
Huyu Mwamposa angekuwa Gwajima, lakini nadhani Gwajiboy alikataa au alijitoa akili au mfumo ulimkataa, wakamtafuta mbadala wake.
Sasa Mwamposa na Malasusa wataunganisha Evengelicals kufikia lengo.
Ndo maana nyani akifukuzwa na mwanamke haondoki ila akifukuzwa mtoto wa jinsia ya kiume hata kama ni mtoto wa 6 yrs anakimbiaNakurudisha kwenye "nature" kupata jibu la swali lako.
Mwanamke ni kiumbe asiejiamini, ni kiumbe ambaye hawezi tenda bila kupata ushauri wa "kiume" bila kujali ana madaraka au yupo sahihi kiasi gani!
Mwanamke anaweza kuogopa kulala peke yake usiku, lakini akaomba kwa jirani katoto kadogo ka miaka miwili, akalala nako na akaona yupo salama, salmini.
Kikwete anaongoza awamu mbili, yake na ya huyu mama. Kipindi JPM yupo JK aliufyata. Wote mnajua.
I did not create the rules, nature did.
Atleast alionja joto la jiwe, saizi tumuache ale bata.Kikwete anaongoza awamu mbili, yake na ya huyu mama. Kipindi JPM yupo JK aliufyata. Wote mnajua.
I did not create the rules, nature did.
Unataka mpaka aitishe press kama mnywa gongo Warioba ndio ujue kama anashauri na kukosoa?Yaalibike mara ngapi, wakati yamesharibika kitambo
Matukio kibao yametokea ila haujasikia akikemea Wala kushauri na wakati yupo karibu sana na Samia
Ndege wenye mbawa za rangi aina moja huruka pamoja.Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere