Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

Mwinyi na Nyerere walikuwa na falsafa tofauti kabisa.

Mwinyi na Mkapa walikuwa na falsafa tofauti kabisa

Kikwete na Mkapa hivyo hivyo.

JPM na Kikwete vivyo hivyo.

Kikwete na Samia wanaendana
 
Mwinyi na Nyerere walikuwa na falsafa tofauti kabisa.

Mwinyi na Mkapa walikuwa na falsafa tofauti kabisa

Kikwete na Mkapa hivyo hivyo.

JPM na Kikwete vivyo hivyo.

Kikwete na Samia wanaendana
Halafu hapo mkuu wakumbushe
Nyerere
mjamaa aliandika kitabu kinaitwa Tanzania na hatima ya uongozi wake.
Ndie aliyeweza foundation ya ujamaa na kujitegemea, sra ya viwanda, mabwawa ya kuzalisha umeme

Mwinyi
Yeye alikuwa mliberali na sera zake za kila kitu ruksa wasingeendana na mjamaa mwenye kuamini ujamaa.

MKapa
Kafundishwa na kutengenezwa na Nyerere
Huyu tumwite moderate maana hakuwa mliberali na pia sio mjamaa.

Ila alifanana kisera na Nyerere kwenye kufunga mkanda(kubana matumizi), miradi mikubwa ya Barabara na redundancy kwa wafanyakazi.

Huyu ndie alikuja na hii sera ya Tax economy ikiwemo uanzishwaji wa TRA,TISS, VAT na nyinginezo.

Kikwere
Mliberali na kijana aliyekuwa kabeba matumaini kwa raia wengi huku ikitarajiwa maisha Bora kwa kila Mtanzania.

Yapo maeneo alisofiwa ujenzi wa miundombinu, Mwendokasi Kimara, Daraja la Kigamboni, Daraja la malagarasi, upanuzi wa bandari, ujenzi wa majengo marefu.

Magufuli
Mentor wake ni Mkapa
Sera za kubana matumizi, maendeleo ya miundombinu, kupunguza matumizi, Hawa jamaa wana ujima ndani yao

Samia
Mentor wake kisiasa ni Kikwere
Hivyo kila kinachoonekana ni mwendelezo na uimarishaji wa uchumi Toka awamu iliyopita
 
"wazuri hawafi"

Wanaongeza kura kwa chama na serikali!

Acha wivu comrade!

Umelipa kodi!!?

Hebu ungana na mimi ku tick October!
 
Chuki na roho ya korosho havitakusaidia.
 
When elders walk together, the path is never crooked.
 
As you are young, be silent in front of elders, so your ears may grow before your mouth.
 
Embu tuacheni choyo
Mzee Mkapa na Magufuli walikuwa chanda na Pete.
Ilieleweka wazi kabisa kwamba Mkapa ndie mentor wa magufuli na kila mtu alikubali.

Sasa kwa nini kipindi hiki, iwe nongwa?

yeah hata vifo vyao vilifwatana pia na wote walikuwa Christians …
 
Hahaha! Du! Kikwete naye chawa?
 
Mimi ningekuwa mama Salma nisingekubali ukaribu ule wa Samia na mume wake. Ila haya mambo ya kupenda chini ndo yalimkasirishaga Salma mpaka akaenda kukitombesha Kwa Nguza viking Mzee wa Sea wa mivalo
Wabongo bhana......
 
Kikuboi ndiye aliempa umaarufu sa100 kwenye katiba mpya hadileo yuko hapo juu so lazima amheshimu! Istoshe kikuboi ndiyo Rais pekee mstaafu tz aliye hai
 
Heshima mkuu 'Nanye Go'
Ni nadra siku hizi kupata chambuzi za kina namna hii hapa JF!
 
Remote from Msoga.
 
Mfumo wa uendeshaji wa taifa letu ni batili, hivi mtu kama Samia Suluhu Hassan anakuwaje Rais? Huyu hawezi pita kama kungekua na chujio imara la wataalam linalo chambua watu wa kugombea kiti cha U-Rais wa nchi.
Ni aibu kubwa sana! Yaani SAMIA hajui wananchi ndo ma-boss wake!
Anyways, Kikwete na Samia wameungana kuipora Tanzania.
HAPANA! Kikwete ni Boss wa Samia! Ushahidi huo
View attachment 3395669
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…