Hivi serikali imeruhusu wasichana kucheza uchi wa mnyama kwenye kumbi za starehe? Hali inatisha!

Leta vielelezo
 
Akili kubwa 👏👏
 
Asili ya binadamu Ni kuwa uchi. Hizinguo hazina hata 70yrs tokea zianzr kutumika hapa bongo. Ngoja watu wanarudi kwa asili yao.
 
Uchi wa mnyama au uchi wa mwanadamu?
 
Tupe lokesheni mkuu.

Punguza umimi🤣
 
Watu tuna stress hebu acha jua kizame mbona ulaya watu wanacheza na groly hole zipp
 
Hivi kwani serikali yetu sikivu chini ya mama,
Kupitia wizara ya tamaduni,sanaa na michezo
Wanashindwa kutenga bajeti maalum ujengwe ukumbi mkubwa wa serikali kwa ajili ya Watu wazima wakacheze uchi na kujinafasi nafs zao uko?[emoji848]
Dah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kaenda kasino na ushamba wake ,wale mabaunsa hakuwaona mlangoni
 
Mkuu inasemekana wengine wanacheza hadharani na watoto wadogo wanaona ndio maana mtoa mada amelalamika,kuhusu kwenye club na casino hayo yalifanyika tangu zamani wahuni walikuwa wanaenda huko kuangalia kimya kimya hiyo haikuwa shida kwa sababu ilikuwa ni siri yao.
 
Wahuni? Hapo mzee mkubwa wa ms..0.. Gger hakosi. Mnyamwezi kinoma yule dingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…