gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Wairan wamepurua watu huko israel balaaWamemuua Hadi mkuu wa Mossad akiwa chini ya Bunker. Hizi habari zinaendelea kutoka baada ya vita kusimama. Wanasayansi wa Nyuklia wa israel zaidi ya 7 pia,
Hospital kwa chini pale ndiyo lilikua chaka lao, watu wakafumua hapohapo, ndiyo maana kesho yake makeleleNi kweli kabisa. Kuna video mpya jengo la Mossad linashushwa. Kama kulikuwa na mtu mle hakuna aliyebaki maana jengo lote liligeuzwa kifusi
Ndiyo maana nasema Basho ya rocket za Iran zilikuwa pre-programmed kushambulia tasisi yeti za Israel - ndio maana mataifa ya magharibu yaliyo kuwa yanaisupport Israel blindly, mbinu hizi za Iran ziliwatisha sana sana, ndio maana Natenyahu alikimbilia kwa Trump kuomba msaada.Ni kweli kabisa. Kuna video mpya jengo la Mossad linashushwa. Kama kulikuwa na mtu mle hakuna aliyebaki maana jengo lote liligeuzwa kifusi
Wanafanya maigizo ya kupiga makelele ya kudai eti Iran inalenga mahospitali kumbe Wairan walisha fanya upelelezi wao wakagunduwa kwamba Israel inatumia tasisi hizo kuficha mambo yao ya kijeshi na upelelezi na kuficha baadhi ya silaha.Hospital kwa chini pale ndiyo lilikua chaka lao, watu wakafumua hapohapo, ndiyo maana kesho yake makelele
Makamnda 22 dead. Wanasayans 36. Wamekufa 680+ na 3993 wameachwa na vilema ndani ya siku 12 ya mapigano hivi ulikumbuka hata kutoa rambi rambi mkuuAcha kupindisha maneno wewe!
Wagalatia mliongea mengi sana kuwa Iran hatoweza kuishambulia Israel,mara hatokua na uwezo wa kujilinda ,mara ataporomoka maneenoooo meengiiii.
Mwishowe dunia imejionea kuwa Israel hawezi kupigana peke yake na taifa imara kama Iran pasi na msaada wa bwana yake USA na EU.
Washaanza kutema bungo huko mara shinbet 70 wamekufa,mara wanasayansi wa Israel 7 wamekufa.
Bado hamjasema.
Hilo haliondoi ukweli kuwa Israel imepigika tena sana.Makamnda 22 dead. Wanasayans 36. Wamekufa 680+ na 3993 wameachwa na vilema ndani ya siku 12 ya mapigano hivi ulikumbuka hata kutoa rambi rambi mkuu
"Looh Idf hawawezi kuingia gaza wanajua Iran Itaingilia vita ooooh Idf wakianza ground offensive kule Rafar Iran hatakubali ataingilia" walisikika wafuasi wa mila na desturi za waarabu wa Njombe wakinena.Acha kupindisha maneno wewe!
Wagalatia mliongea mengi sana kuwa Iran hatoweza kuishambulia Israel,mara hatokua na uwezo wa kujilinda ,mara ataporomoka maneenoooo meengiiii.
Mwishowe dunia imejionea kuwa Israel hawezi kupigana peke yake na taifa imara kama Iran pasi na msaada wa bwana yake USA na EU.
Washaanza kutema bungo huko mara shinbet 70 wamekufa,mara wanasayansi wa Israel 7 wamekufa.
Bado hamjasema.
Mie sibishani na wewe psychopath."Looh Idf hawawezi kuingia gaza wanajua Iran Itaingilia vita ooooh Idf wakianza ground offensive kule Rafar Iran hatakubali ataingilia" walisikika wafuasi wa mila na desturi za waarabu wa Njombe wakinena.
Hahaha
Wewe muislamu na shetani wenu, uliona kuna ndege ya US ikiiadabisha Iran wakati ule wa vita? Achia mbali zile B-2 Bombers zilizoenda kwa kazi maalumu smbayo vile vile walisafishiwa njia na F-35.Acha kupindisha maneno wewe!
Wagalatia mliongea mengi sana kuwa Iran hatoweza kuishambulia Israel,mara hatokua na uwezo wa kujilinda ,mara ataporomoka maneenoooo meengiiii.
Mwishowe dunia imejionea kuwa Israel hawezi kupigana peke yake na taifa imara kama Iran pasi na msaada wa bwana yake USA na EU.
Washaanza kutema bungo huko mara shinbet 70 wamekufa,mara wanasayansi wa Israel 7 wamekufa.
Bado hamjasema.
Hahaha kwani amelazimishwa ceasefire si aendelee tu kushambuliwa. UKIZINGATIA KWA JICHO LA KIISLAMU HATA MAREKANI MWENYEWE ANAOGOPA IRANMie sibishani na wewe psychopath.
Ulimwengu umeona jinsi Israel ilivyochakazwa hadi Trump kumuombea ceasefire.
🚮🚮🚮Hahaha kwani amelazimishwa ceasefire si aendelee tu kushambuliwa. UKIZINGATIA KWA JICHO LA KIISLAMU HATA MAREKANI MWENYEWE ANAOGOPA IRAN
Iran taifa limekuwa chini ya vikwazo kwa miongo kadhaa sasa.Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
Hii nayo ni thread?weka hata ushahidi maana unaonekana kama akili zako ni finyu as if mtu anayerusha jiwe kwenye shimo kupima urefu wake ili atumbukie kwa kukosa akili.Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
Nani kakuambia ni Jengo la Mossad? au ndio yale mambo ya Msikiti Tv, Hadi walisema Iran imekuwa nchi ya kwanza kuangusha ndege F-35 hahahaha..Ni kweli kabisa. Kuna video mpya jengo la Mossad linashushwa. Kama kulikuwa na mtu mle hakuna aliyebaki maana jengo lote liligeuzwa kifusi
Eti vifaru Israel nzima havipo vipo Gaza hahahahaNani kakuambia ni Jengo la Mossad? au ndio yale mambo ya Msikiti Tv, Hadi walisema Iran imekuwa nchi ya kwanza kuangusha ndege F-35 hahahaha..
Residential building wamepiga wakalibatiza jengo la Mossad,. hata ile Hospital walitoa mock up chini kuna vifaru israel imefika hahaha wakati vifaru vipo Gaza
Nakumbuka uwepo wa watu waliokuwa wanasema Iran anatafutiwa sababu ya kufutwa hapo middle east.Mbona unaongea kinyume ewe mnafiki? Siku zote kelele humu zilikuwa Israel haithubutu kurusha hata kipande cha kokoto Tehran!
Echolimali,Mlaleo,Yoda na Imeloa wote wamekimbia.Achilia mbali Kiranga na mshangiliaji wao Smart911Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
Mimi nakumbuka kabisa walisema iran ndo anayetafutwaNakumbuka uwepo wa watu waliokuwa wanasema Iran anatafutiwa sababu ya kufutwa hapo middle east.
Wewe haukumbuki?