Hivi unapofumba macho bila kusinzia huwa unaona?

Nilikua lindo na mengine uliyosema hapo yanawekena pia ni sababu
ulikuwa lindo usiku na hadi mda huu hujalala. Ok ujaribu kuwa na maji mengi ya kunywa mda wa kazi na sio kahawa na pia mchana jaribu kulala. Jioni ikifika saa nne usiku kunywa maji kwa wing yatakusaidia sana coz yatakuhitaji kila mda kwenda haja ndogo
 
ShesRise_1 mada zako unazoandika na hi id yako ni kama ya kiume twambie vizuri
Ni wa tag watu wanaonifahamu physical wakuambie kua mimi ke ?

I'm so proud kua na hii gender sina haja ya kuikana kabisa
Mimi ni mwanamke mrembo na mwenye akili kwa kiasi changu

Sijui kwanini baadhi ya jamaii inaamini dhana potofu kua wanawake hatuwezi kujenga hoja kufikiri kwa kina

Sisi wanawake ni binadamu wenye utashi kama mlivyo nyie

Tumetofautia kidogo kwenye maumbile ila mengine yote tunashabihiana

So kama wewe ni mwanaume na unataka mke mwenye akili kama yangu karibu tuyajenge nimechoka kua single 😊😊
 
Nimechukua ushauri wako asante kwa kujali
 
Mwanamke Jasiri 😘
 
Hakuna πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Zaidi yanaweza kuja mawine wine tu 😜
Sasa wine nayo si ni picha mpenz 😁😁
Haujaona picha ya dolali kweli wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…