Hivi unapofumba macho bila kusinzia huwa unaona?

Taswira gani mkuu
Dah ni ngumu sana kuieleza unaweza tu kuona upande wa nyumba,au kama mtu lakini sio kama unavyomuona mtu kawaida taswira inakuwa sekunda moja tu hivi,au saa nyingine unasikia sauti kama imesema neno moja na hiyo sauti inaonekana kama inasikika kutoka ndani yangu na sio nje ya kuisikia na masikio
 
Ahaaa sawa
Vp mtu yeyote anaweza kua wa rohoni?
Yeyote tu anaweza kikubwa awe ni mtu...
Wakati mtu anapokua usingizini, roho yake inakua active kwa % kubwa kwakua mwili umepumzika wakati huo...
 
Yeyote tu anaweza kikubwa awe ni mtu...
Wakati mtu anapokua usingizini, roho yake inakua active kwa % kubwa kwakua mwili umepumzika wakati huo...
Sijalidhika baado mkuu ungejazia nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…