Hivi unaweza kumvumilia mume wa hivi kweli?

Umekubalije kuolewa naye? Ulipitia kipindi cha uchumba kumjua vizuri? Mlipanga ndoa yenu itakuwaje?
 
Ushauri wangu mvumilie cha msingi hapo kila mtu akija kumuulizia we jibu mume wako kasafiri, akija baba mwenye nyumba we jibu mumeo kasafiri ikiwezekana hata mama yake mzazi akija kumuulizia we jibu kasafiri maana hachelewi kuwa anadaiwa hadi na mazaake.
 
Upo sahihi kabisa 100%
 
Hao Ndio Mliokuwa mnawataka Mabraza men Mabishoo Warefu Wasafiiiiii Sas hivi ndio Umejua unajua kutofautisha kati ya Mwanaume na mvulana hapo Wewe pambana na Hali Yako
 
Reactions: apk
Vumilia. Hizo ndiyo shida na raha za ndoa
 
Hapa ndio tatizo lilipoanzia
princess ariana haya makitu hayana formula. Unaweza kufanya due deligence nzuri sana lakini mambo yakabadika.
Mmh sidhani; unajua kuna vipimo vya mtu kuwa mumeo? Au watu hawapimagi, na cha kwanza
-Mwanaume kuwa hana spirit ya kupambana tu hafai kuwa mume!
-Mwanaume mwenye ubishoo mwingi yani yeye hata akiachishwa u bank teller leo hawezi kubeba zege! Heri atafute jimama limlee. HAFAI!
Palipobaki ziada
 
Aisee watu tofauti sana
Yaani mimi hata nikiwa holiday bado nitatafuta kitu cha kufanya hata voluntarily
Lakini kukaa kihasara hell πŸ‘Ž
 
Acha uongo yaani unakaa na mwanaume ndani hapambani,unakuwa unafanya biashara gani,utamsadia mtu unaona kweli kakwama na anaendelea kupambana.
Nikukumbushe tu ni ngumu mwanamke kubeba majukumu ya mwanaume na familia ikabaki salama,nature ni nature tu
 
😁😁😁😁

Work hard mkuu chakula kodi mavazi mambo hayo yakikushinda je hapa duniani unaweza nini.

😁😁😁😁
 
Mimi siwezi kwa kweli.
 
Ukitaka kujua kuwa wanawake wana maisha magumu tazama maisha ya singo maza ,ikiwa hawezi kulea mtoto mmoja how she can take care of her husband???
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Work hard mkuu chakula kodi mavazi mambo hayo yakikushinda je hapa duniani unaweza nini.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa mfano mimi nafanya kazi na naweza kujihudumia kila kitu lakini eti mwanaume akae tu hapo haieleweki anajenga mi nimtunze?kwanza mwanaume anayeweza kuvumilia kutunzwa huyo hana sifa ya kuwa mwanaume
 
Ukitaka kujua kuwa wanawake wana maisha magumu tazama maisha ya singo maza ,ikiwa hawezi kulea mtoto mmoja how she can take care of her husband???
Hivi hayo majukumu ya kutake care your husband yanafanywa na nani?labda sugar mamy,waulize akina uchebe na rommy wanayokutana nayo kwa kupenda kulelewa?
Manhood we ina maana kubwa sana
 
Sawa mfano mimi nafanya kazi na naweza kujihudumia kila kitu lakini eti mwanaume akae tu hapo haieleweki anajenga mi nimtunze?kwanza mwanaume anayeweza kuvumilia kutunzwa huyo hana sifa ya kuwa mwanaume

Mkuu wewe hauwezi kwakuwa haujasimama vizuri financially.

Endelea kupambana utajipata

Kuna wenzio wanhudumia familia kubwa hadi ya baba mkwe.

Endelea kujitafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…