Aah mkuu acha tu, tumetoka mbali sana๐๐Halafu ndala zetu zilikua na riboni za mkononi unaweza vaa kama bangili ama culture ๐คฃ
For shua , kitambo sanaAah mkuu acha tu, tumetoka mbali sana๐๐
KabisaHiyo Ni Kwa Kila Mmoja Labda Ambae Amekulia Ushuani. Yaan Hajashiliki Mapishi ya Nyumbani
TunabishaMimi katika Kila chakula ninachokula natia pilipili, nikiamka vibaya ninaweza nikatia hadi kwenye chai.
Hii ni serious kabisa msije mkabisha.
Unaasikia sauti inafoka inasema kuwa unakulaje nyama kabla ya mkubwa ๐๐Ukute huo wali una nyama ndio mnalewa kundini kunako sherehe wahuni huanza kushumbulia nyama kabla sinia halijatua chini
Haya mbishe kwa hoja muone kama mtafua dafu.Tunabisha
Wahuni walikua kwenye sherehe iliyopikwa wali wanaenda na mfuko wa Malboro Tonge moja mdomoni wakati anatafuna Tonge lingine linatupiwa kwenye mfukoUmenikumbusha jamaa mmoja alikuwa anaula wali kwa mikono miwili ili tu awashinde wenzake..... Walikuwa wanakula kwenye sinia.
Ilikuwa miaka ya 90 kwenye msiba wa katibu kata wetu.
Ulikua ujui mwambie na yule bilionea sijamuonaKupika pika ulianza kitambo kumbe
Kwahy mm nguzo ๐Nguzo muongo...
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ซก๐ซก๐ซก
๐๐Ngoma mpaka ipikwe ilikua ni shughuli na likipikwa tulikua tunasugua ndala zetu za bata bata zinga'aa kinouma na kitaa tunatangaza bifu kwa wenetu kuwa hatuchezi nao yani๐ค
Ahahha najua my queenUmenikumbusha mbali sana, ilikua lazima nizidishe kiasi nilichoambiwa kwa makusudi ili ubaki kesho tuje kunywea chai๐.
Ilikua mchele na unga wa ngano for chapati, maandazi lazima nizidishe makusudi๐๐
Umesema wanaume ila mimi ni mdada๐
Hahha na hapo hubanduki home. Na unaombea asije mgeni. Pia unakua na nidhamu ya hali ya juu. Ukitumwa una kimbia fasta ๐๐๐Ngoma mpaka ipikwe ilikua ni shughuli na likipikwa tulikua tunasugua ndala zetu za bata bata zinga'aa kinouma na kitaa tunatangaza bifu kwa wenetu kuwa hatuchezi nao yani๐ค
๐ ๐ Kwa kweli hii nchi tumeitoa mbali sana mkuu yaani tunaspaswa kujipongeza kama wananchi.Wahuni walikua kwenye sherehe iliyopikwa wali wanaenda na mfuko wa Malboro Tonge moja mdomoni wakati anatafuna Tonge lingine linatupiwa kwenye mfuko
Wewe ni mhenga bwashee ๐คฃHahha na hapo hubanduki home. Na unaombea asije mgeni. Pia unakua na nidhamu ya hali ya juu. Ukitumwa una kimbia fasta ๐๐๐
YeahWewe ni mhenga bwashee ๐คฃ