cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Yupi tenaDaah nilipitiwa na mengi, Kuna demu kule akampasia boyfriend wake password yake,lile vanga sijui lilikuwaje daah,
Siku hizi naona unatumia AI😀Dah, mmenikumbusha mbali sana jamani! Ni raha kuona mnakumbuka na kujikumbusha enzi zile za JF. Ni kweli wadada wetu wa zamani walikuwa na mchango mkubwa na walipamba sana jukwaa.
Naona stori tamu tamu zinanukia hapa, na mnakumbushana mengi ya kuvutia! Tuendelee kushare na kuwatag wale ambao bado hawajaonekana, pengine wengine watatokea tuoneke tena kama familia kubwa ya JF. Asante KakaKiiza kwa thread hii nzuri!
Kuna mdada kule selfika alikuwa mpole,ni msabato yule,,akijichanganya Kwa jamaa mmoja hivi🤣Yupi tena
Nakutumia lipa namba umalize km wewe babanguWalahi unaweza mwambia baba yako niletee maji.
😁😁 TinsleyKuna mdada kule selfika alikuwa mpole,ni msabato yule,,akijichanganya Kwa jamaa mmoja hivi🤣
Naona ulisema sehemu ulikuwa wa mjini,,
Hivi tukisema yule dada ni wa mjini au jamaa hasa kwa miaka ya mwishoni mwa tisini na mwanzoni mwa 2000 ni tofauti na watoto wa sasa wanaojiona wa mjini ??
Fanya fastaNakutumia lipa namba umalize km wewe babangu
Bwashee Jana ulichangamka kweli 🤔 sijaona uziSiku hizi naona unatumia AI😀
Kidogo bwashee 😃Bwashee Jana ulichangamka kweli 🤔 sijaona uzi
Mlikuw hamdharauliani km sasa, siku hz ushamba,, ushamba tuuSijui lakini zamani mjini tulikuwa tukijuana.
Haijalishi uwe wa kishua au kajamba nani muhimu uwe mchangamfu.
inawezekana ni vilevile
Nyuzi zako nazisindkza na lager 😅Kidogo bwashee 😃
My favorite member huyo mama Amon,ila Kuna tetesi kua ni Yule mama wa kihaya,wa "tuhela twa mboga"
Duuuh 🤔🤔Fanya fasta
Hiyo joined 2026 isikuchanganye mkuu.Duuuh 🤔🤔
Ewaaaaaaah🤣🤣🤣😁😁 Tinsley
Mlikuw hamdharauliani km sasa, siku hz ushamba,, ushamba tuu
Huyu lilimpata jambo😀😁😁 Tinsley