Wanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF,
Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile!
Mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto? Hebu wa-tag waje hapa tuwakumbuke tujikumbushe enzi zil @maria
Maria Roza huyu nimemmiss mnooWanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF,
Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile!
Mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto? Hebu wa-tag waje hapa tuwakumbuke tujikumbushe enzi zile.
Lala 1 alikufa?Lara 1. RIP.
Natamani nijue 🆔 yako ya zamani,we inaonekana umebadiliEwaa japo umesahau kunitag😅😅
Evelyn Salt ladyfurahia Lady doctor Heaven on Earth lara 1 @khatwe miss chagga Miss Natafuta ...hapa kuna wa zamani sn na wa kati hapo niliwakuta wakati naingia jf😅
duh sijui km wapo hawa watu au wamebadirisha ID jmn
duh wengine nimesahau
TUMBOO, ukhuty, MamaWanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF,
Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile!mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto hebu watag waje hapa tuwakumbuke tujikumbushe!enzi ile.
Kina TUMBOOMzee baba...
Wachuchu wa enzi zako washakuwa wamama sasa na wengine wana wajukuu sasa hata JF hawagusi kivileeee...
Sasa hivi huwezi kuwapata tena hapa kina Kaunga, Kongosho, Afrodenzi, Cacico. Gfsonwin, Zinduna, Preety, kisukari, Fixed Point, The Secretary...
Lakini utapata kina Preta Chocs Madame B Miss Neddy BelindaJacob marejesho wapo mjengoni hadi sasa...
Dah kitambo sana...!Maria Roza huyu nimemmiss mnoo
Nadhani baadhi wapo humu wamebadili badili 🆔 zaoDah kitambo sana...!
Umen̈ikumbusha kiumbe aliyekuwa anavutia sana hapa JF.
Warumi ndio alikufagaLala 1 alikufa?
Mkuu Kuna mmoja Sasa hv sio mdada Tena, ni Bibi nanii , tayari ana MjukuuWanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF,
Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile!
Mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto? Hebu wa-tag waje hapa tuwakumbuke tujikumbushe enzi zile.
Abeeee
Nakumbuka maandishi yako, ulisema tusikufokee unamimba.Nioneshe niliposema nina mimba
Ewaaaaaaaah! 😂Na wote watakaopinga wananuka makwapa sio🤠😁!
Alikuwa kiboko Yako sio poaFaizafoxy yuko wapi?