Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Huyo Alifariki [warumi]
Mkuu
Tofautisha marehemu warumi na dada Nifah

Warumi alikuwa mwanaume lakini mbea wa udaku haijapata kutokea. Aliishi unique life yake na hakuwahi kujitambulisha kama mwanamke. Alifariki kwa matatizo ya figo kama sikosei. Lakini aliwahi kuweka uzi kuhusu maisha yake

Nifah ni mdada mwenye wajihi wake, ndiye anayetajwa kuwa na uhusiano na yule mtunzi gwiji wa story za kijasusi.
 
Mimi kipindi najiunga hao ndo walikuwa sio mchezo.

Cc. Dada la Dada Madame B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…