Eeewaaaa. Nakumbuka. πGood old days!! Zile interviews kuna namna zilikuwa zinatukutanisha wanaJF kwa namna nzuri sana mixer amsha amsha
Yule member aliyeanzishaga hizi vitu alikuwa anaitwa muosha rungu, baadae alibadili jina akajiita DJ SEPETU
Nilimfanyia interview nae π€£
Habari za weekend wanaJF
Hatimaye leo tupo na mkuu/handsome wetu muosha rungu ambaye wengi tunamfahamu kwa ufanisi wake wa kutufanyia interview hususani sisi wanawake,nadhani baadhi yetu pia tunatamani kufahamu machache kumuhusu....
Kwa niaba ya wanawake naomba kumuhost
- Joanah
- Replies: 351
- Forum: JF Chit-Chats
Dahh jolie she was my girl ππAsante sana kwa kunikumbusha huyu mdada,nampenda sana,
Jolie popote ulipo tambua kwamba bado nakupenda na ninaendelea kukusubiri.
Yaani ilikuwa Hadi Raha , kwanza muda kama huu Tumesha Anza kujikusanya chitchat na MMU ndio muda wetu huu unapoanzia
Umeshajua kwa nini nimesema hivyo. π ππ π π kwanini
Noma sana huyo mtu Akili kubwa@lara1
Demiss alipachangamsha sana.Usinikumbushe !! πππππ
Eeewaaaa. Nakumbuka. π
Na alijua kulichangamsha jukwaa. Sijui ndo ana Id mpya sasa ama aliondoka tu Jf moja kwa moja.
Nimewakumbuka na wakaka wengine kina
Bonny
Daby
Davet
RRONDO japo huyu nimuombe msamaha hadharani nakumbuka miaka hiyo niliwahi kumkosea humu majukwaani akakasirika kimooja na ndo hata hataki kusahau mpaka leo. π
Nisamehe bana. π€
SawaDahh jolie she was my girl ππ
Sasa ikawaje hakukuaga na akakupotezea?Yaani suddenly akapotea hewani alikuwa mnyama sana , last time alihamia njombe ,
Hapana,hawezi kua Goma langu,mimi mbeba box,na yeye yupo huko Bongo,so ilikua ni urafiki tu wa JF.Kumbe na wewe alikuwa Goma lako lol π€£
π€£π€£π€£π€£Palikuwa na mademu humu Mzee that time Kila mtu alikuwa kwenye mahusiano humu πππ
Tena watu walikuwa wapo serious kabisa
Hata sijui Tulikuwa mbali mbali though!! So sijui nini kilitokea but alikuwa mtu poah sanaSawa
Sasa ikawaje hakukuaga na akakupotezea?
Hapana,hawezi kua Goma langu,mimi mbeba box,na yeye yupo huko Bongo,so ilikua ni urafiki tu wa JF.
Yaani. Hata na mie aisee.Watu wanapotea
Mimi nikipotea mazima ujue ni kifo changu kimesababisha
Ni ngumu sana kupotea JF mazima kama upo hai,Yaani. Hata na mie aisee.
Nakuwa busy ila nikipata nafasi kama hivi naandika. Sasa wengine wamepotea mazima.
Au ndo hizi Id New new humu majukwaani wamekuja kivingine. π π
Kusifike hukoπYaani. Na ndo ninakoelekea. πππ
Hakika Mkuu uko sahihi sababu kiukweli kabisa Jf ina uraibu wake na hauishagi kirahisi.Ni ngumu sana kupotea JF mazima kama upo hai,
Naamini wapo humu kwa ID's mpya baada ya maisha kubadilika kwa upande wao,vitu kama kuoa,kuolewa,kulea..
π π najua kidogo sio saaanaUmeshajua kwa nini nimesema hivyo. π π
Haya bana.