Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Karibu tubadilishane mawazo kama umejiunga 2015 kurudi nyuma mkuu!! 2019 hawezi kuwa mkongwe, kipindi hicho hasa ndio upumbavu ulikuwa unaanza kushamiri.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dah
Anko unatutenga hivihivi.

Miaka ya 2020 kuendelea ndio mambo yalianza kuwa mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…