Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Katika vipaumbele vyangu vya mwisho no ngono bwasheeTatizo we unawaza ngono tu!
Tengeneza rank ya vipaumbele vyako, moja hadi tano mangii!Katika vipaumbele vyangu vya mwisho no ngono bwashee
Binti yangu , mama , pesa , usingizi, na afya yangu bwasheeπTengeneza rank ya vipaumbele vyako, moja hadi tano mangii!
Binti amechukua sehemu kubwa ya maisha yako, naona unamzungumzia sana.Binti yangu , mama , pesa , usingizi, na afya yangu bwasheeπ
Hahaha naichukulia kama chakula tu ,ni sehemu ya mahitaji muhimu ya kiumbe hai bwashee πBinti amechukua sehemu kubwa ya maisha yako, naona unamzungumzia sana.
Mama sawa.
Pesa sawa.
Usingizi sawa.
Afya....sawa.
Pombe je?
Kwa hiyo huwa unatupanga sana kwamba wewe ni mlevi mbwa, unapenda pombe kuliko kitu chochote, unatupanga, nilijua tu!!π€ͺπ€ͺHahaha naichukulia kama chakula tu ,ni sehemu ya mahitaji muhimu ya kiumbe hai bwashee π
Nakunywa, ila sio ya kujigaragaza kama ninavyo andika bwashee πKwa hiyo huwa unatupanga sana kwamba wewe ni mlevi mbwa, ubaoenda pombe kuliko kitu chochote, unatupanga, nilijua tu!!π€ͺπ€ͺ
Tumezoea id's za kike zina majina softE
Eeenh!
Mwanaume ukijipekeza kwake ujue lazima upeleke marejesho kila ...ππ
Faller sana weweπ π πNakunywa, ila sio ya kujigaragaza kama ninavyo andika bwashee π
Nimefurahi kukuona Dokta [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Davet sijui amepotelea wapi
ππππππWe mtoto jamaniπ€£π€£π€£π€£
Unataka turudi tena Misri?
ππππ RaymondMzee wa "assist"...hadi mimi alinikopa nilivyo mgumu wa hela, Ka 10k kangu kakapotea shaaaπ€£π€£
AminπππUme-appreciate hadi kupitiliza.π Asante binti!
Sasa wa kiume mie nakuwa na namba zake za nini jamaniπ€£Thibitisha kama huna namba za mtu wa jf, tena wa kiumeπ π