Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Anaytishia kupiga wenzie bila kuwapiga na anayevamia na kuwapiga wenzie kwelikweli nani mbaya zaidi?Israel ana nucs.lkn haijawahi kutishia kumpiga yeyote
Lkn ayatolah kila siku akiwa msikitin anaapa kuiangamiza israel akimiliki nucs
Utaona kabisa kuna watu wanastahili kuongozwa sio kuongoza
Sa we jiulize ingekuwa iran wanafanya genocide kama Israel US na Europe wangeisha hata kwenda UN kutengeneza resolution ya kuivamia Iran kwani kwa Israel hawafanyi hayo. Pia wanampa silaha wengine wangeisha wapiga sunction hahaha Udini upo puaUwezagi kuchangia mada bila kutaja uislam?. Kwahiyo inayofadhili makundi ya kupigana na Israel ni Iran au Uislam?. Tenganisha haya mambo. Jitambue sababu unaupa uislam mtazamo hasi kwa watu
issue apa ni kwamba Iran aliapa kuipoteza israel yote, shida inakuja iran wameanza kutengeneza nuclear maaana haya makombora ya kawaida ni kama kufurahishana tu unarusha upande wa pili wanaipangua, ila kwa nuclear ata marekani hawezi pangua, hio ukirusha ikitua umeondoka na wananchi laki 5, hio ni kale kapisi kamojaHii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.
Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.
Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
Ndoto za kushiba ugali upo chini ya mti wa mawese tabu sana Israel hawezi kwenda hi vita na Iran zaidi ya mwezi au miezi 3 akijitahidi sana, atainua mikono hata asaidiwe vipi na US na EuropeKuna vyanzo vya ndani ya Israel vinasema dhumuni kuu la Israel ni kuiharibu kabisa Iran na kuikalia kimabavu, kwa kuweka military bases zake 5 ndani ya Iran ili kuweza kudhibiti mifumo yote ya silaha na siasa za Iran..Hii ni ya ndani kabisa muda utasema ..Baada ya Iran kumalizwa kutakua na military bases kubwa za Israel ndani ya Iran ili kuzuia isinyanyuke tena daima.. GOD BLESS ISRAEL.
Kwanini Iran inataka kuiangamiza Israel,? Mbona kijiographia wapo mbali mbaliMleta uzi hajafanya homework ya kutosha. Iran kasema sio mara moja au mara 2, kaapa sio mara moja sio mara 2 lakini hata chanzo cha hi vita ya Israel na Gaza/Hamas ni same Iran ndio kachochea; yaani anaweza ku supply silaha kwa vikundi vya uasi kama Hamas, Hezbollah na Houthis ili tu Israel ishambuliwe. Israel na uongozi wao watakua watu wa ajabu sana kama watakaa kimya bila kuchukua hatua dhidi ya mfadhiri mkuu. Iran sio tajiri kumzidi Saudia, Kuwait, Qatar, UAE why only him ndio ana supply silaha na mafunzo kwa waasi? Akiwa na nuclear atashindwa nini kuwapa kina Hezbollah, Hamas same weapons?
Mkuu ni sahihi unachosema lakini hata netanyahu si ana warrant ya kukamatwa pia?. Mimi kwangu sioni usahihi wa kuhusisha dini sababu matendo yanayotendeka kwenye vita ni kinyume na mapenzi ya Mungu. Tusizipe dini mitazamo hasi kwa la kinchi sababu hapo haupigani uislamu Wala ukristo. Israel na Iran.Sa we jiulize ingekuwa iran wanafanya genocide kama Israel US na Europe wangeisha hata kwenda UN kutengeneza resolution ya kuivamia Iran kwani kwa Israel hawafanyi hayo. Pia wanampa silaha wengine wangeisha wapiga sunction hahaha Udini upo pua
Iran sio sawa na HamasMkuu kauli ya nchi ya Iran kuifuta Israel kwenye USO wa dunia. alafu aliyetamka kauli hiyo anataka kutengeneza mabomu ya nyukilia. Na anafadhil vikundi unavyopambana navyo. Je utamwacha tu ukikenua meno?.
Anachokifanya Russia kwa Ukraine
ndicho anachokifanya Israel kwa Iran
Anategemea back up ya USA ambae atabiriki.Ni kama wewe hapo nyumbani kwako jirani yako akupangie kuwa usifuge mbwa kwakua watamzuia kuja kukuchokoza na ukikataa aje kuua watoto wako ndo alichofanya Israel , sasa ndani ya masaa 72 kilichomkuta tunaona kanchi kao kameanza kufanana na Gaza, alafu anajitokeza tena kwenye vyombo vya habari kulalamika kama anaonewa
Na hiyo chuki kaianzisha Israel mwenyewe.Kwa mfano, maandamano makubwa ya umma yaliyofanyika mwezi Oktoba 2023 katika ukanda mzima wa Kiarabu yalihusisha karibu kila nchi ya Kiarabu, zikiwemo hata hizo ulizozitaja. Maandamano hayo yalitokea wakati wa mgogoro kati ya Hamas na Israel. Ingawa uhusiano uliopo kati ya baadhi ya nchi hizo na Israel ni wa kidiplomasia, kwa upande wa itikadi na hisia za wananchi, takriban asilimia 99 ya nchi za Kiarabu zina chuki au upinzani mkali dhidi ya Israel.
Iran Ina wataalamu lukuki kama haujui.Hili ni jambo linalochukua muda, kuandaa mwanasayansi mwenye uzoefu na uaminifu wa hali ya juu si kazi ya siku moja. Na kwa wakati huo ambapo Iran inaanza kuwaandaa wataalamu wa aina hiyo, unadhani Israel watakuwa wamelala? Hapo ndipo unapogundua kwa nini operesheni za Israel zimekuwa zikilenga kimkakati kudhoofisha uwezo wa kijeshi wa Iran.
Huyo jamaa unamjibu wa nini?Huu ndio upuuzi unaotakiwa kupigwa vita
🤣 🤣🤣🤣🤣! Wabongo bhana unawazidi hadi Mossad the way unavyoijua Iran na Israel. No wonder mtasema wale waliouliwa ni feki kamandaz. HIVI NIKUULIZE MAREKANI LEO HII IKIINGIA VITANI NA ALSHABAB KISA LABDA ALSHABAB AMESHAMBULIA WATALII WA MAREKANI UTAKUWA UPANDE UPI?Israel ni taifa limmekwa na US na Europe kuwadhuru mataifa ya kiarabu na ya kislam. Israel ana haki ya kumiliki Nuclear wengine hawana hahahahaha
Israel ana haki ya kuwauwa civilian wengine hawana.
Israel akipigwa Europe na US wanaenda mtetea pia na vibaraka wao wa nchi za kiarabu
Any way Israel safari hi kakosea step Iran ana Missiles hakuna anaye weza kutegemea. USA hata apeleke carriers zingine hawezi zuia Missiles za Iran. Netanyahu anajidai na kujisifu US Aur force zinangusha drones na Missiles za Iran lakini bado vitu vinatua Israel.
Afu Iran mnajua sababu gani anarusha Missiles usiku? Ni sababu anawachezea akili Israel na USA ametengeneza fake Missiles Israel wanaenda zipiga hapo anizudi kuwatia hasara. Akirusha Missiles mchana watagundua hahaha msikilizeni huyo Muiran anasema nini ofcourse wale wanaujua Qur'an kiarabu hakiwapigi chenga.
View: https://youtu.be/BvtkyZ7mlMU?si=TXR3to34qJIvqKhM
Yule jamaa alipigwa risasi tano kichwani na kifuani tena akiwa kwake Ubelgiji, Mossad waliona wammalize mapema isiwe nongwa.Kuna injinia mmoja alitaka kumtengenezea Saddam Hussein mzinga mkubwa unaoweza kupiga hadi Israel. Alikuwa mzungu wa Ulaya. Mossad wakamsaka wakammaliza.
Kazi kweli kweliUwezagi kuchangia mada bila kutaja uislam?. Kwahiyo inayofadhili makundi ya kupigana na Israel ni Iran au Uislam?. Tenganisha haya mambo. Jitambue sababu unaupa uislam mtazamo hasi kwa watu
Kumbe hata magaidi huwa yanalia
Hapana ndugu Israel imeundwa kwa target ya kushambulia Uislam na hata Netanyahu alipo hutubia bunge la America alikuwa ana quote bible zenu.Mkuu ni sahihi unachosema lakini hata netanyahu si ana warrant ya kukamatwa pia?. Mimi kwangu sioni usahihi wa kuhusisha dini sababu matendo yanayotendeka kwenye vita ni kinyume na mapenzi ya Mungu. Tusizipe dini mitazamo hasi kwa la kinchi sababu hapo haupigani uislamu Wala ukristo. Israel na Iran.
Na uwenda Kama tukijua yaliyo nyuma ya panzia yanaweza kutushangaza
mashehe wapalestina washatangaza wazi wazi wakinukuu vifungu vya vitabu vyao vya dini kwamba israel haitakiwi kua hapo mashariki ya kati, je utafanya two state solutn na jirani ambaye ameshasema mbele ya hadharal bila kificho kwamba anataka akuangamize? ebu sema ungekua we ungefanyaje? hapo jerusalem kuna maeneo yanagombaniwa ambayo kila upande unayataka..hapo two state soln itafanyaje kazi? yani waugawe msikiti au?Hakuna zaidi ya ubabe wa marekani na Israel. Makubaliano ya two state solution yalishafikiwa. Kwanini sasa Israel hataki Palestine iwe na taifa lake huru?
mashariki ya kati waislamu wanataka wamiliki hilo eneo pekeyao hawataki wayahudiHapana ndugu Israel imeundwa kwa target ya kushambulia Uislam na hata Netanyahu alipo hutubia bunge la America alikuwa ana quote bible zenu.
Swali kwanini UK, France, USA, Serbia, Italy., Germany na hata Jordan wakimbilie kumlinda? Tupe reason kama si udini. Jordan yule mfalme ana damu ya kizungu kama si Kiyahudi.