FEBIANI BABUYA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 2,232
- 4,390
Sasa ngoja tuone kama wataua na elimu zao au fikra zao!! πππMkuu kauli ya nchi ya Iran kuifuta Israel kwenye USO wa dunia. alafu aliyetamka kauli hiyo anataka kutengeneza mabomu ya nyukilia. Na anafadhil vikundi unavyopambana navyo. Je utamwacha tu ukikenua meno?.
Anachokifanya Russia kwa Ukraine
ndicho anachokifanya Israel kwa Iran
Hilo halipo ndiyo maana hiyo Israel inayoumiwa meno na maadui walioizunguka pande zote.Sasa ngoja tuone kama wataua na elimu zao au fikra zao!! πππ
Na waziri wa ulinzi wa israel kaesema watampondo njoka kichwani na kumchuna ngozi yakeSasa Mkuu unamlalamikia nani humu JF?ππ
Wanasema ukitaka kuua nyoka unapiga kichwani siyo kwingineko!
Ndiyo hivyo Israel kuua Scientists ni kuua programe nzima ya shughuli za kinuklea!
Lakini lengo siyo Nuklea programe za Iran,hilo linatumika kama kigezo lengo ni kuangamiza utawala wa Iran ambao ni tishio kwa Israel.
Mkuu nikwambie kitu kuhusu Hawa viongozi Kuna wakati wanapotafuta engo ya uhalali Wana quote maneno ya Mungu kupata uhalali au kupata sapoti ya Imani husika aliyoi quote. wanaongoza kwa Aina furani ya ujanja na Hila na ndipo mwisho wa Nia zao wanaishia kuchafua Imani za watu wakati mlengo wao ni tamaa ya utawala tu.Hapana ndugu Israel imeundwa kwa target ya kushambulia Uislam na hata Netanyahu alipo hutubia bunge la America alikuwa ana quote bible zenu.
Swali kwanini UK, France, USA, Serbia, Italy., Germany na hata Jordan wakimbilie kumlinda? Tupe reason kama si udini. Jordan yule mfalme ana damu ya kizungu kama si Kiyahudi.
Ndoto za kushiba ugali upo chini ya mti wa mawese tabu sana Israel hawezi kwenda hi vita na Iran zaidi ya mwezi au miezi 3 akijitahidi sana, atainua mikono hata asaidiwe vipi na US na Europe
kweli wewe kobaziNdoto za kushiba ugali upo chini ya mti wa mawese tabu sana Israel hawezi kwenda hi vita na Iran zaidi ya mwezi au miezi 3 akijitahidi sana, atainua mikono hata asaidiwe vipi na US na Europe
Wewe ita utakavyo mimi huwa sijali wakanisa sababu najua wanamuabudu mtoto wa Mariam (Binadamu )kweli wewe kobazi
Wewe ndiyo unaamini hivyo lakini ukiangalia Iran bado sana kuifuta Israel.Iran hata asipokua na nuclia akitaka kuifuta Israel kwenye ramani anaitandika tu si umeona kinachotokea. Hili suala la Nuklia ni sababu tu inatafutwa ili kuiangusha utawala wa Iran.
Sawa kobazi mkuu. Iran inabid amshukuru sana PutinNdoto za kushiba ugali upo chini ya mti wa mawese tabu sana Israel hawezi kwenda hi vita na Iran zaidi ya mwezi au miezi 3 akijitahidi sana, atainua mikono hata asaidiwe vipi na US na Europe
Mbona mtume wenu ni mbakaji na hajui kusoma na kuandika lakini tumekaa kimya.πππWewe ita utakavyo mimi huwa sijali wakanisa sababu najua wanamuabudu mtoto wa Mariam (Binadamu )
Wapalestina wenyewe walishakataa mapendekezo mengi tu yaliyofikiwa hapo kabla ikiwemo na hiyo 2 state solution.Hakuna zaidi ya ubabe wa marekani na Israel. Makubaliano ya two state solution yalishafikiwa. Kwanini sasa Israel hataki Palestine iwe na taifa lake huru?
Sio kila haki inatekelezwa. Hata South Africa ilikuwa ina nyuklia ikabidi izikabidhi kwa Marekani na kutojihusisha tena na hayo mambo. Botha na Mandela walipewa tuzo za Nobel kimchongo kwa kukubali kwao kuachana na mambo ya nyuklia.Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.
Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.
Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
We kobazi tuu..Umeona lori za Iran zilizobeba silaha zinavyoangamizwa huko Iran..Wewe ita utakavyo mimi huwa sijali wakanisa sababu najua wanamuabudu mtoto wa Mariam (Binadamu )
Unajifanya haujui? Na mnaanza kulia lia sasa hivi. Si mlisema Israel hawezi kitu kwa Iran!? Na hapo wameingia vitani wakiwa tayari wamepigana vita na Ma-proxies wenu wa Hezbollah, Hamas na Islamic Jihad kwa mwaka na nusu, tena huku wakishikwa mkono mmoja kwa maana ya masimango, vikwazo toka kwa UN, Qatar ikichochea propaganda kupitia Al Jazeera, Democrats ya US, France, UK, Spain, Canada, Australia, Russia na China. Na bado anawapa kichapoHii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.
Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.
Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
Ni kweli kwamba Iran ina idadi kubwa ya wataalamu wa nyuklia waliobobea, lakini operesheni zinazofanywa na Israel dhidi ya wanasayansi waandamizi wa Iran zimekuwa na athari kubwa, zimesababisha kucheleweshwa kwa kiasi kikubwa, na huenda zikaweza kuzima kabisa juhudi za Iran za kutengeneza silaha za nyuklia. Kama operesheni hizo zisingekuwepo, huenda Iran ingekuwa tayari imefanikiwa kufikia hatua ya kuwa taifa lenye silaha za nyuklia. Hapa tunazungumzia mkakati wa makusudi wa kuzuia au kulemaza jitihada hizo kabla hazijazaa matunda.Iran Ina wataalamu lukuki kama haujui.
Ndio maana ukimuua huyu utashangaa yule kachaguliwa muda sana.
Wenzako wameshaandaa mfumo wa kurithishana majukumu muda sana.
Kwani hao wanasayansi wameanza kuuliwa mwaka huu?
Kila mwaka wanauliwa ila Iran Bado inasonga mbele kiutaalamu wa nuclear .
Shida kobaz watakuzinghaMkuu kauli ya nchi ya Iran kuifuta Israel kwenye USO wa dunia. alafu aliyetamka kauli hiyo anataka kutengeneza mabomu ya nyukilia. Na anafadhil vikundi unavyopambana navyo. Je utamwacha tu ukikenua meno?.
Anachokifanya Russia kwa Ukraine
ndicho anachokifanya Israel kwa Iran