Kuzima kabisa hilo suala ni gumu mkuu.Ni kweli kwamba Iran ina idadi kubwa ya wataalamu wa nyuklia waliobobea, lakini operesheni zinazofanywa na Israel dhidi ya wanasayansi waandamizi wa Iran zimekuwa na athari kubwa, zimesababisha kucheleweshwa kwa kiasi kikubwa, na huenda zikaweza kuzima kabisa juhudi za Iran za kutengeneza silaha za nyuklia. Kama operesheni hizo zisingekuwepo, huenda Iran ingekuwa tayari imefanikiwa kufikia hatua ya kuwa taifa lenye silaha za nyuklia. Hapa tunazungumzia mkakati wa makusudi wa kuzuia au kulemaza jitihada hizo kabla hazijazaa matunda.
Acha tu mkuuShida kobaz watakuzingha
Sina hakika sana, nitaandika kwa mtazamo wangu binafsi, sija refer anywhere but through uzoefu wangu wa kukaa na Waislamu.Kwanini Iran inataka kuiangamiza Israel,? Mbona kijiographia wapo mbali mbali
Ndio kobazi haoAcha tu mkuu
Halaf hivi kwani iran alifanyiwa nini kibaya na israel kias cha kutaka kuifuta israel kwenye uso wadunia?Israel ana nucs.lkn haijawahi kutishia kumpiga yeyote
Lkn ayatolah kila siku akiwa msikitin anaapa kuiangamiza israel akimiliki nucs
Utaona kabisa kuna watu wanastahili kuongozwa sio kuongoza
Imani za kidini tuHalaf hivi kwani iran alifanyiwa nini kibaya na israel kias cha kutaka kuifuta israel kwenye uso wadunia?
Duuu! Kwahyo ndo awachukie kiasi cha kuwafuta dunian mazima?Imani za kidini tu
Ayatolah msenge sana anajifcha kwenye dini
Hapana ndugu Israel imeundwa kwa target ya kushambulia Uislam na hata Netanyahu alipo hutubia bunge la America alikuwa ana quote bible zenu.
Swali kwanini UK, France, USA, Serbia, Italy., Germany na hata Jordan wakimbilie kumlinda? Tupe reason kama si udini. Jordan yule mfalme ana damu ya kizungu kama si Kiyahudi.
Wachaa maneno mengi leo Netanyahu anasema anajilaumu kugusa IranHapana. Israel haishambulii uislamu. Kumbuka wapo waisrael waislam. Na waisrael si wakristo. Waislamu wengi huwa na inferiority complex dunia nzima. Kwa nini Israel hagombani na Egypt, Oman etc? Iran inafadhili magaidi wanaokuja ua watu Israel na kusababisha Palestine pia isikalike. Hakuna haja ya kuweka udini hapa. Nyie mnapenda kuweka udini na hamtaki tumia akili au ku reason. Siku ile sisi tumeteka na kuua watu wa kiyahudi kulikuwa na sherehe humu JF umesahau?
Wachaa maneno mengi leo Netanyahu anasema anajilaumu kugusa Iran
View: https://youtu.be/Ooco7bBVkc8?si=NnT9ftdrtNbItHPp
Russia ilisema wazi kuwa ita annex Ukraine kuwa sehemu ya urusiChina au Russia ni nchi gani moja wapo ya hizo ishasema kuwa wataifuta nchi nyingine kwenye uso wa dunia?. Iran Hilo ndiyo kosa lake angedili kimya kimya bila kuangaika na Israel angefanikiwa lakini kufanya kila kitu kijeshi kwa ajili ya Israel lazima jicho la Israel liwe pale mda wote.
Tanzagiza tuzuiliwe tu. Shithole hii inavyozidi kuwa ya kipumbavu kila iitwapo leo chini ya viongozi wa sisiem wanaozidi kuwa fyatu kila siku, ikimiliki nuclear hata vikao na mikutano ya wapinzani itakuwa targeted kwa kutumia nuclear.Huu ndio upuuzi ambao inatakiwa kupigwa vita. Kwa taarifa Yako hata Tanzania Leo hii haturuhusiwi kuwa na silaha za Nuklia. Je sisi tuna mtishia nani?
Ni kweli wanazijua akili za watu wa middle east wangepewa nguvu hii dunia ingegeuka majivuUpo mpango wa neocons wa huko marekani toka kitambo kuwa hawataki nchi za middle east Iran included ziwe na Indigeneous knowledge ya mambo ya nuclear technology. Kwa hiyo wanahakikisha wanaua hata wenye knowledge.
Iran wanatekeleza kwa vitendo, tayari wanafadhili magaidi wapigwe tuRussia ilisema wazi kuwa ita annex Ukraine kuwa sehemu ya urusi
same to China wataichukua Taiwan kuwa sehemu ya mainland China.
Trump alitishia kuondoa watu wote Gaza na kuifanya sehemu ya USA.
Same to Israel inasema gaza itakua sehemu ya Israel na sio taifa huru.
Hata uturuki iliapa kuwafuta kabisa Kurds huko Turkey na Syria.
Ila hao wote sijaona wakiguswa na so called viranja wa dunia. Ila akisema tu Iran ndio inageuka kosa?
Hivi unasemaje kulifuta taifa lenye nguvu. Unafikili Iran angetamka kuifuta Russia. Russia angemuacha? Alafu adhamini vikundi vipigane na russia. Huyo Iran ni adui wa wazi wa Israel hakuna Cha kushangaza hapo ni mda walikuwa wanatafutana na Iran alianza kupiga Israel miezi kadhaa iliyopita Israel akajibu pakatulia now Israel kaanzisha yeye.Russia ilisema wazi kuwa ita annex Ukraine kuwa sehemu ya urusi
same to China wataichukua Taiwan kuwa sehemu ya mainland China.
Trump alitishia kuondoa watu wote Gaza na kuifanya sehemu ya USA.
Same to Israel inasema gaza itakua sehemu ya Israel na sio taifa huru.
Hata uturuki iliapa kuwafuta kabisa Kurds huko Turkey na Syria.
Ila hao wote sijaona wakiguswa na so called viranja wa dunia. Ila akisema tu Iran ndio inageuka kosa?
Bora Rungu, upanga wenye makaliMakobaz hayawezi kukubaliwa kumilki nyuklia, ni kama kumpa mwendawazimu rungu sokonii...haikubalki kamwe!
Wachaa maneno mengi leo Netanyahu anasema anajilaumu kugusa Iran
View: https://youtu.be/Ooco7bBVkc8?si=NnT9ftdrtNbItHPp