Hizi dawa za kuongeza uanaume zinapatikana wapi hapa Tanzania?

Mzee hayo mazoezi ni kumfanya awe mkakamavu ila hamna chakula kinaweza ongeza sexual drive. Sexual drive ni hormones. Sasa hizo hormones zinatengenezwa kwenye pumbu tuu hapo lazima atumie vidonge au sindano za hiyo hormones kama vile mtu ansvyochoma insulin akiwa na kisukari
 
“Kataa ndoa, ndoa ni utapeli, ndoa ni ufisadi, ndoa ni mradi wa wanawake”

“Hatutaki kuoa kwasababu wanawake ni mafeminist”

“ukioa utagongewa na bodaboda”

Hizi ni kauli za wanaume wengi jf kwanini msije kuomba msaada kama wenzenu tujue tunawasaidiaje kuliko kukashfu wanawake wakati matatizo yanajulikana.

Upate msaada haraka kaka
 
Duuuh, kumbe ndiyo hivyo..!..

Samahani je unaweza kuwa na mtu ata mmoja anayepitia mateso kama yangu ?
Walau nimuulize kwa kina
 
Msaada wako tafadhari
 
Sasa huyo hana pumbu.. Hata kudinda hawezi mpaka apewe hizo hormones. Pumbu ni muhimu kwenye kudinda kutoka misuli mwili na kuota ndevu yani pumbu ndio inafanya mwanaume au wanaume mboo ni kifaa cha kukojoa tuu
Afadhari, maana wewe umenielewa kwa ufasaha Asante sana kwa kuwaelezea vizuri
 
Sina ila mimi nilikua kwenye forum moja ndio mtu ulikua na cancer ya pumbu wakazitoa alitoa confession yake jinsi maisha yalivyobadilika
Samahani kama utaweza ikumbuka hiyo forum naomba unitag nimcheki jamaa yawezekana ana uzoefu zaidi
 
Mkuu ushauri wangu huu ufuate kama katiba.

Umekiri kuwa huna korodani, jambo la msingi ni kukubaliana tu na hali kuwa huwezi kufanya mapenzi ukamridhisha mwanamke. Ili uondokane na wasiwasi mi bora umueleze ukweli mkeo ili yeye mwenyewe aamue la kufanya kama ni kukuacha ili akafuate watakaomridhisha au akuvumilie mpaka kifo.

Najua unaumia kwa hali unayopitia ila hakuna namna achana na kuforce kumfurahisha mke. Hayo masuala mengine ya uchovu naamini yataondoka baada ya kuachana na ngono.
 
Mtu huyo. Amesema hana pumbu hamna chakula kitampa nguvu za kiume zaidi ya dawa za mzungu za hormones ya kiume. Hivyo vyakula husaidia mtu mwenye pumbu tiyari
Dah!...huyu jamaa aende tu hospital.
 
Tatizo langu na video za x vinahusianaje?
 
Ushauri mzuri ila...

Kachunguze kazi ya korodani mwilini mwako halafu uje tusaidiane kutafuta suruhu ya kudumu maana hili tatizo haliathiri utendaji kazi wangu kwenye sex tu bali mfumo wangu wote wa maisha asante
 
Hiyo ndio tiba sahihi ya huyu jamaa tofauti na hapo anatafuta kuliwa pesa tu
Samahani mimi natafuta tiba ya mwili mzima siyo mapenzi tu nataka kuishi kama wanaume wengine...

Samahani ukipata muda hebu tafuta sehemu usome faida za korodani ndipo utanielewa
 
Point ni kuwa hata kama hana hizo makitu asikariri lazima kwenda muda mreeefu ati atamridhisha ke....au basi material yangu ya kitambo
Bado hujafahamu umuhimu wa korodani kwa mwanaume unaongea tu..

Ukipata muda soma ata huko Google ili uielewe dhana ninayoizungumzia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…