Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mzee alikua muongo sana, wahujumu maji waache kuhujumu gesi ambayo ndio gharama zaidi kuendesha na ndio inachangia 70% ya umeme wa Tanzania? Cheap popularityMarehemu Rais Maghufuli alilalamika kuna watu wana hujumu Tanesco ili wauze mafuta
Yapi hayo mkuu? CAG hakuona? Na huyo Biteko toka amekuja amefanya nini kusaidia umeme so far?kipara aliharibu nakupiga madili ya kifisadi
Ndio umeme ulikua unakatika mbona tofauti ni walikua hawatangazi ni mgao wa kimya kimya.magu angekuwepo unafikiri huu ujinga ungekuwepo mpaka sasa?
CCM ni ile ile hata JPM naye alikua anaangalia maslahi yake ndio maana kuna majizi ya makinikia kama Mwanyika hakuyafunga ila badala yake akampa ubunge!!Viongozi wanachoangalia ni maslai binafsi hawana habari na mwananchi tena.
Propaganda nyingine ya ajabu sana!! Jenereta la laki 5 ndio litafidia kiwanda cha hayo mafisadi ya CCM kikikosa umeme siku nzima?Mnataka majenereta yetu feki tuliyoagiza anunue nani..?
Nchi imejaa matapeli tupuYapi hayo mkuu? CAG hakuona? Na huyo Biteko toka amekuja amefanya nini kusaidia umeme so far?
Ndio umeme ulikua unakatika mbona tofauti ni walikua hawatangazi ni mgao wa kimya kimya.
CCM ni ile ile hata JPM naye alikua anaangalia maslahi yake ndio maana kuna majizi ya makinikia kama Mwanyika hakuyafunga ila badala yake akampa ubunge!!
Pamoja na ukatili wake lakini kwenye umeme alikuwa shujaaKilicho baki watakuja waseme Ubovu na uchakavu wa mitambo ulikua unamuogopa Magufuli ndio maana baada ya matamko yake tatizo la mgao wa umeme likakoma
...ni HITILAFU Sio ITILAFU ,,![emoji846]...Au ni mimi tu siyo sielewi chanzo cha huu mgao unaondelea sasa mwezi Novemba umeanza? Sasa hivi wamekata tena umeme na utarudi baada ya giza.
-
Majenereta, vipuli vya jenereta, dizeli na petroli atanunuwa nani babu?!Au ni mimi tu siyo sielewi chanzo cha huu mgao unaondelea sasa mwezi Novemba umeanza? Sasa hivi wamekata tena umeme na utarudi baada ya giza.
-
Hii niliishuhudia kipindi cha kampeni ya kikwete nilikua mwika nyumba niliyokua naishi mama wa hapo laijiandaa siku anasikia kikwete anapita akaenda kumuona aliporudi akawa naamsifia kwa kichagga kwamba kijana mweupe mzuri anatabasamu muda wote nilicheka sana ila kweli hayo mambo hayatayui kero za wananchi. Safari hii utaskia mwanamke mama naaweza tumpeni atatusikiliza😂😂😂 akipata anaendelea kuimega nchi kama keki yakePLO lumumba alisema, in Africa the affirnity with people with no ideas is amazing.
Yani nyomi inavyojaa na kumuunga mkono mgombea anayetukana mwenye matusi asiyekuwa na hoja wala plan ya kieleweka ya kutataua changamoto is amazing.
Utaskia wanawake, mimi jtampgoa kura kwanza kijana wa watu handsome, mwingine jamani kwanza hana makuu kijana yule mpole. Uhandsome na upole tangu lini ukakatatua changamoto
B mtera halijazwi na mvua zinazonyesha dar.Dar es salaam ndio siku ya 3. Mikoani Mvua leo wiki ya pili.
Mimi nilisikia wakisema kuna sababu 2 moja upungufu wa maji hivyo kuoungua kwa uzalishaji.Au ni mimi tu siyo sielewi chanzo cha huu mgao unaondelea sasa mwezi Novemba umeanza? Sasa hivi wamekata tena umeme na utarudi baada ya giza.
-
Hii hata mimi ya kikwete na uhandsome wanawake wengi nilisikia wakisema kipindi kile.Hii niliishuhudia kipindi cha kampeni ya kikwete nilikua mwika nyumba niliyokua naishi mama wa hapo laijiandaa siku anasikia kikwete anapita akaenda kumuona aliporudi akawa naamsifia kwa kichagga kwamba kijana mweupe mzuri anatabasamu muda wote nilicheka sana ila kweli hayo mambo hayatayui kero za wananchi. Safari hii utaskia mwanamke mama naaweza tumpeni atatusikiliza😂😂😂 akipata anaendelea kuimega nchi kama keki yake
Mikoani mvua siku ya 3 leo are you sure?,Arusha leo ndio imenyesha mvuaDar es salaam ndio siku ya 3. Mikoani Mvua leo wiki ya pili.
Mikoani mvua siku ya 3 leo are you sure?,Arusha leo ndio imenyesha mvua
Si uliambiwa kuwa matengenezo ya miundo mbinu yanaendelea hadi miezi sita tangu August 2023, tuendelee kuvumilia.Hivi sasa nazungumza kwa uchungu sana tokea jana saa 5 usiku hadi mda huu saa 7 mchana umeme hamna shida ni nini TANESCO na mvua ndo hizi zinanyesha sana baadae mje kusema umeme wa shida maji yamekauka mda ndo huu kusanyeni maji ili tuwe na umeme wa kutosha hizi sio zama za kukaa gizani !