gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Inaonekana bado una iman na hii serikil.pole sana kwa kutokujitambua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la nchi hii sio mvua ni akili.kwahiyo kama nawewe ulioni ilo itakua nawewe ni mjinga.we ndiyo mjinga, Dsm kuna bwawa la kuzalisha umeme?
Magufuli alipata akili zakujenda bwawa.unadhani kwa akili zako zakutegemea jiographia ungekua na hiyo akili.endelea kukariri.Kweli kabisa, yaani wengine wanabwabwaja tu hata hawakumbuki kwa nini walisoma jiografia.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Watu wengine wanajifanya kama hawasikii vile😁😁Si uliambiwa kuwa matengenezo ya miundo mbinu yanaendelea hadi miezi sita tangu August 2023, tuendelee kuvumilia.
Ni shidaHivi sasa nazungumza kwa uchungu sana tokea jana saa 5 usiku hadi mda huu saa 7 mchana umeme hamna shida ni nini TANESCO na mvua ndo hizi zinanyesha sana baadae mje kusema umeme wa shida maji yamekauka mda ndo huu kusanyeni maji ili tuwe na umeme wa kutosha hizi sio zama za kukaa gizani !
Ukute hata shida haikuwa ni ukosefu wa maji. Watakuja na sababu nyingine kabisa kuwa mtambo unafanyiwa ukarabatiHivi sasa nazungumza kwa uchungu sana tokea jana saa 5 usiku hadi mda huu saa 7 mchana umeme hamna shida ni nini TANESCO na mvua ndo hizi zinanyesha sana baadae mje kusema umeme wa shida maji yamekauka mda ndo huu kusanyeni maji ili tuwe na umeme wa kutosha hizi sio zama za kukaa gizani !
Ngoja ni jaribu kukupa elimu kidogo ndugu charles ni hivi kukatika kwa umeme sio mara zote husababishwa na upungufu wa maji la hasha, mara nyingi hasa vipindi vya mvua kama hivi matatizo ni mengi hasa ya kimiundombinu mfano, kipindi cha mvua nguzo nyingi huanguka na baadhi ya miti ipo jirani na line za umeme hivyo huleta shida ya kukatika kwa umeme!Hivi sasa nazungumza kwa uchungu sana tokea jana saa 5 usiku hadi mda huu saa 7 mchana umeme hamna shida ni nini TANESCO na mvua ndo hizi zinanyesha sana baadae mje kusema umeme wa shida maji yamekauka mda ndo huu kusanyeni maji ili tuwe na umeme wa kutosha hizi sio zama za kukaa gizani !
Kwani miti haikatwi along the line?solution ni nguzo za zege na underground cablesNgoja ni jaribu kukupa elimu kidogo ndugu charles ni hivi kukatika kwa umeme sio mara zote husababishwa na upungufu wa maji la hasha, mara nyingi hasa vipindi vya mvua kama hivi matatizo ni mengi hasa ya kimiundombinu mfano, kipindi cha mvua nguzo nyingi huanguka na baadhi ya miti ipo jirani na line za umeme hivyo huleta shida ya kukatika kwa umeme!
Mbona hata uko upajapo mvua zinagonga hatariMvua za dar zinahusika vipi na mabwawa ya mtera?
Iringa inanyesha?
Kabisa,kuna kinachoendelea chino kwa chiniUmeme si mahindi kwamba mvua kidogo tu tayari.
Kuna period ya kusubiri kidogo.
Japokuwa hayo matangenezo naona kama ni politics
Inaweza kuwa maji yamezidi kupita kiwango kinachohitajika kuzalisha umeme, wanasubiri mvua ziishe ili maji yapungueHivi sasa nazungumza kwa uchungu sana tokea jana saa 5 usiku hadi mda huu saa 7 mchana umeme hamna shida ni nini TANESCO na mvua ndo hizi zinanyesha sana baadae mje kusema umeme wa shida maji yamekauka mda ndo huu kusanyeni maji ili tuwe na umeme wa kutosha hizi sio zama za kukaa gizani !
Leta hoja acha kuhoji elimu yangu wew kijana chawa wa mamaMaji ya mvua ya Dar tutayachota kwa ndoo kuyapeleka kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme kweli ndugu yangu, au jiografia yako uliiacha darasani ukamwachia mwalimu wako
Waziri mkuu ana majibu ya uhakika na atawapatia soon, kuweni na subira
Sawa,maana tunawategemea aiseeWaziri mkuu ana majibu ya uhakika na atawapatia soon, kuweni na subira
Kua na amaniSawa,maana tunawategemea aisee
@TANESCOAu ni mimi tu siyo sielewi chanzo cha huu mgao unaondelea sasa mwezi Novemba umeanza? Sasa hivi wamekata tena umeme na utarudi baada ya giza.
-