YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mvua ikinyesha ni kawaida Tanesco kukata umeme nani anayependa kunyeshewa na mvua akiwa kazini hata mkulima akiona mvua inanyesha huwa anaacha kulima anakimbilia ndani sembuse Tanesco? Wanakata umeme kabisa mvua ikinyesha ili wasipate usumbufu wa ohh huku umeme umekata ohh kuna short njooni .Wanazima wanakimbilia ndani maofisini hadi mvua itakapoisha
Habari ndio hiyo
Habari ndio hiyo