Hizi mvua zote kwanini bado TANESCO wanakata umeme?

subirini kwanza tunamalizia kuuza stock yetu ya mwisho ya majenereta tanzania nzima
 
Mvua zinanyesha Dar hazisaidii kuijaza Mtera na Kihansi au Kidatu na Hale
 

Umeme si mahindi kwamba mvua kidogo tu tayari.
Kuna period ya kusubiri kidogo.

Japokuwa hayo matangenezo naona kama ni politics
 
Magu alikuwa anatupeleka kwenye viwanda.Viwanda vinahitaji umeme wa uhakika ndo Mana Hali ilikuwa inaridhisha.
Sasa mi sijui mama anatupeleka wapi.
Kumbuka hatembelei maofisini,yeye NI kuagiza TU.
"Mtanikumbuka sio kwa mabaya Bali mazuri"RIP MAGU,GREAT THINKER
 
Siyo kila mvua inayonyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi ya Tanzania maji yake yanaelekea kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme. Mfano, mvua ikinyesha Dar maji yake hayawezi kufika Mtera Kifaru, Kihansi na Nyumba ya Mungu kuzalisha umeme. Jikumbushe jiografia ukiyosoma shuleni.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Mvua za Mbeya, Iringa na Morogoro ndiyo zina impact kwenye mabwawa ya Kihansi, Kidatu na Mtera. Hizi za Dar zinapoza hali ya hewa tu na kuharibu barabara
 
Maji ya mvua ya Dar tutayachota kwa ndoo kuyapeleka kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme kweli ndugu yangu, au jiografia yako uliiacha darasani ukamwachia mwalimu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…