Hizi mvua zote kwanini bado TANESCO wanakata umeme?

Ni shida
 
Ukute hata shida haikuwa ni ukosefu wa maji. Watakuja na sababu nyingine kabisa kuwa mtambo unafanyiwa ukarabati
 
Ngoja ni jaribu kukupa elimu kidogo ndugu charles ni hivi kukatika kwa umeme sio mara zote husababishwa na upungufu wa maji la hasha, mara nyingi hasa vipindi vya mvua kama hivi matatizo ni mengi hasa ya kimiundombinu mfano, kipindi cha mvua nguzo nyingi huanguka na baadhi ya miti ipo jirani na line za umeme hivyo huleta shida ya kukatika kwa umeme!
 
Mvua zinanyesha dar tu zikinyesha iringa mbeya njombe tanga dodoma ndo uje tena hapa
 
Kwani miti haikatwi along the line?solution ni nguzo za zege na underground cables
 
Inaweza kuwa maji yamezidi kupita kiwango kinachohitajika kuzalisha umeme, wanasubiri mvua ziishe ili maji yapungue
 
Mama si aliwapa tanesco miezi 6
Sijui wanafanya matengezo miundombinu ya umeme...
Tokea atoe tamko ni miezi mingapi imefika vile

Ova
 
Maji ya mvua ya Dar tutayachota kwa ndoo kuyapeleka kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme kweli ndugu yangu, au jiografia yako uliiacha darasani ukamwachia mwalimu wako
Leta hoja acha kuhoji elimu yangu wew kijana chawa wa mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…