Hizi ndio nchi ambazo Marekani na Israel hawawezi kuthubutu kuingiza pua zao kushambulia kijeshi

Nazungumzia iran ilopeleka jeshi lake pakistan na ikajibiwa vizuri na vichaa wenzao wa pakistan sizungumzii vikundi vya kigaidi
 
Marekani kwa sasa haitoi tena msaada kwa Ukraine, huku Russia ikiendeleza kichapo kwa kibaraka huyo wa magharibi.
Kichapo cha siku tatu ndani ya miaka mmitatu. Europe jana wamepitisha euro bil50 kwa ukraine hii kitu ni bado mbichi tutaonyeshana makali. Marekani lini katangaza kua hatoi tena.
 
Kiboko ya Mmarekani ni Mrussia tu. Hapo USA hana jambo maana anajua kina chake si cha kitoto. Kuanzia tech kaachwa mbali sana.
Ndio mana mrusi kaichukua ukraine yote ndani ya siku tatu na kamwambia mmarekani asisogee
 
Putin sio mpumbavu wa kutoyajua haya. Pia sio mpumbavu wakutojua yaliyoikumba USSR. Anaijua Dunia na hawa USA kuliko mtu yoyote hapa Afrika
 
Ndiyo ukikaakaa hauna kazi unavyojidanganya?Usiendeshwe kwa hisia.Tafuta uhalisia.Kuna muda,wakati nikiwa mdogo,nilidhani tembo hauawi na simba.
 
Juzi tu Pakistan nao wameshambulia katika ardhi yao, acheni kuwapaisha, ata Iraq walisema haitowezekana, akapigwa, na Iran atapigwa tu. Ni suala la muda.
 
Mwaka 2021 Israel walishambulia kituo cha nuclear cha Iran cha Karaj kwa drones.

China na Marekani sio maadui kihivyo, juzi kati tu hapo Xi Jinping alikuwa California anagonga mvinyo na Biden.
Achana na huyo Mlevi wa dini bwashee
 
Nazungumzia iran ilopeleka jeshi lake pakistan na ikajibiwa vizuri na vichaa wenzao wa pakistan sizungumzii vikundi vya kigaidi
Ona sasa ulivyo hujui taarifa.
Iran haikupeleka jeshi bali ilishambulia kwa makombora na ndege zisizo na rubani katika kambi za vikundi vya kigaidi.
Pakistan haikuridhishwa kwasababu Iran haikutoa taarifa kwa mamlaka.
Na hata aliposhambulia Pakistan ye mwenyewe amekiri kashambulia maeneo ya waasi hakupiga kambi wala kulenga wanajeshi wa Iran moja kwa moja.
Muwe munatizama habari.
 
Juzi tu Pakistan nao wameshambulia katika ardhi yao, acheni kuwapaisha, ata Iraq walisema haitowezekana, akapigwa, na Iran atapigwa tu. Ni suala la muda.
Juzi au wiki zilizopita?
Pakistan kashambulia katika mpaka anaochangia na Iran,Boluchistan inakaliwa na wote Iran na Pakistan.
Hakushambulia katika mpaka halisi wa Iran.
Muwe munatizama taarifa za habari.
Usifananishe Iraq ilokua inaitegemea US kwa silaha na Iran inayojiundia silaha yenyewe
 
Usisahau kumkumbusha hata Mmarekani anachapwa iraq na juzi kachapwa Jordan na muajemi ila kakunja mkia
Hilo analijua sema ndo hivyo ana kwepa kwepa kuongea ukweli πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sawa sawa yani umemjibu sawa na akili yake ilipoishia.
 
Nazungumzia iran ilopeleka jeshi lake pakistan na ikajibiwa vizuri na vichaa wenzao wa pakistan sizungumzii vikundi vya kigaidi
Iran haikupeleka jeshi bali ilishambulia kwa kutumia ndege zisizokuwa na rubani huku wairan wenyewe wakiwa majumbani kwao wakiendelea na mambo yao. Hii ni tofauti na Israel ambayo imekuwa ikikusanya jeshi lote, midege yote na mivifaru yote kwenda kupambana na vijana wasiokuwa wanajeshi tena wenye silaha za kienyeji na bado Israel inatoka kapa bila kuwin vita πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndiyo ukikaakaa hauna kazi unavyojidanganya?Usiendeshwe kwa hisia.Tafuta uhalisia.Kuna muda,wakati nikiwa mdogo,nilidhani tembo hauawi na simba.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tembo anaweza kuuwawa na simba, lakini sio kwa simba mmoja, na sio kwa tembo mkubwa.

Nafikiri umenielewa vizuri ndugu.
 
Iran haimo acha ushabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…