Sema hivi mwanamke anayeandika hivi hana sifa za kuwa mke wako maana wapo wanaume wenzio wengi tu wameoa wanawake wenye mitazamo kama hii na ndoa zimedumu halafu hata asipokuwa na sifa za kuwa mke wao kwani wewe ni nani na unaongea kama nani?Mwanamke anaeandika hivi tu, Hana sifa za akuwa mke.
Kwa kweliAbsolutely true, lazima ndoa ziwasumbue. Baba sio kujitambulisha tu kila wakati kama nyau. Akitimiza majukumu yake sawasawa kwahiari yao watakuita baba na mke anakuwa malkia kuita King of the state haoni shida. Tuwaombee tu kizazi chetu.
Hapana usiseme unawakimbia hao watu sema unayakimbia majukumu yakoNdio maana nawakimbia hao watu
Hapana usiseme unawakimbia hao watu sema unayakimbia majukumu yako
Mwanaume uliambiwa utakula kwa jasho lako ila mwanamke hakuambiwa hivyo kumhudumia mwanamke ni jukumu lako na ndo maana akaambiwa akutii na akuheshimuMkuu, mdada kama hawezi hata kujinunulia vocha huyo ni mzigo tena mzigo mzito. Ingekuwa enzi za mababu tungeuliza anajua kulimaa?
Binafsi mwanamke asiye na kipato huwa sijishughulishi naye namwacha apite tu sababu enzi za mababu tungemuita mvivu.
Huwa sipendi tabu kabisa nikiwa kwenye mahusiano.
Kila mtu ana mtazamo wake toa wewe hoja yako unataka mahusiano yaweje je mwanamke ndo afanye majukumu mengi kuliko mwanaume?Mkuu kama haya ndiyo yapo kwenye ubongo wako hakika huwezi kuyafurahia mahusiano.
Mke mwemaKila mtu ana mtazamo wake toa wewe hoja yako unataka mahusiano yaweje je mwanamke ndo afanye majukumu mengi kuliko mwanaume?
Siju hawasikii noma.kuna 1 kaja kakuta boxer kibao sijazivaa ziko stok na singlend kajisevie et nzur nimezipenda.napenda boxer za kiume!daah!Kuna mmoja jana kaja kaondoka na tisheti yangu da nime mind kinoma
Yabei au sio ya bei kulingana na uchumi wa muhusika.Sasa simu ya laki tatu nayo ni simu ya bei.
Mbona wanaume mnafanya vitu kutegemeana na tabia za wake zenu basi acheni na wanawake wafanye vitu kutegemeana na matendo ya waume zao yaani hautaki kumhudumia mkeo halafu unataka yeye akutii?Niliambiwa 'Nitakula kwa jasho' sikuambiwa 'utalisha kwa jasho'. Swala la kutii na kuheshimu ni amri ya Muumba kwa mwanamke.
Sasa kama mwanamke atasubiri kulishwa na mwanaume ndio amtii na kumweshimu nadhani hiyo itakuwa si heshima na utii bali kujipendekeza ili tu aweze kulishwa.
Unajua kama mwanaume ni tofauti na mwanamke? Na hii elimu ya wazungu waliyotuletea ya 50 50 ni ya uongo wanataka tusielewane. Hivi leo ni ngumu kupata mahusiano imara! Nahii inaletwa na hiyo 50 50 kwa sababu wote tunakuwa tumepoteza lengo la mahusiano yetu, mwanaume akiwa nakipato kikubwa ni shida! Mwanamke akipata ndiyo balaa zaidi.Mkuu hayo maandiko nayajua vizuri sana ila ninachoweza kusema ni kwamba wanaume mnayakumbukaga maandiko kwenye maswala yanayohusu wanawake tu ila maswala yanayowahusu wanaume mbona huwa hamyakumbuki maandiko?
Mngekuwa mnafuata maandiko msingekuwa mnachepuka na kuona ni kawaida kama wewe haujawahi kuchepuka na hautakaa uchepuke maishani mwako ndo uniambie hizo habari za kuwa mke mwema kumbuka siyo kila mwanaume anastahili mke mwema bali ni mume mwema tu ndo anayestahili huyo mke mwema
Sijaona uhusiano wowote kati ya huo mfumo wa 50/50 na mwanaume kuchepukaUnajua kama mwanaume ni tofauti na mwanamke? Na hii elimu ya wazungu waliyotuletea ya 50 50 ni ya uongo wanataka tusielewane. Hivi leo ni ngumu kupata mahusiano imara! Nahii inaletwa na hiyo 50 50 kwa sababu wote tunakuwa tumepoteza lengo la mahusiano yetu, mwanaume akiwa nakipato kikubwa ni shida! Mwanamke akipata ndiyo balaa zaidi.
Kuchepuka ni swala lingine! Na pia sio wanaume wote wanao chepuka, wanao chepuka wana roho ovu hii roho ikikuingia mtu hata apewe nini ataendelea tu.Sijaona uhusiano wowote kati ya huo mfumo wa 50/50 na mwanaume kuchepuka
Sasa na wanaume kama hao nao wanakwambia eti wanataka wapate wake wema kama anayezungumziwa kwenye biblia yaani kuna watu wana masihara kweliKuchepuka ni swala lingine! Na pia sio wanaume wote wanao chepuka, wanao chepuka wana roho ovo hii roho ikikuingia mtu hata apewe nini ataendelea tu.