Ndiyo zinatushughulisha kwa kufanya kazi au biashara kwa bidii kuzisaka au nyie wanaume huwa hamzitafuti kwa kujishughulisha mnazitafuta kwa namna nyingine?Hahaha Maniokor, hela zitawashughulisha sana watoto wa kike
Hahah mngekuwa mnazitafuta kwa nguvu na bidii hivyo vilio vya kutaka kupewa hela vingepungua humu.Ndiyo zinatushughulisha kwa kufanya kazi au biashara kwa bidii kuzisaka au nyie wanaume huwa hamzitafuti kwa kujishughulisha mnazitafuta kwa namna nyingine?
Sipo tayari kuiacha na kwa sababu sipo tayari kuiacha basi ndo tutafute namna ambayo sitakuwa nafanya majukumu mengi kukuzidi wewe ili nisichokeWe usiongee tu kwa vile una mdomo, on a serious note. Hio kazi yako upo tayari kuiacha ili uwe mama wa nyumbani na uishi maisha ndani ya kipato changu bila kunistress na tamaa za kijinga!?
Siku wanaume mkikubali kwamba kufanya kazi za nyumbani ni jukumu lenu pia basi hata wanawake tutakubali kwamba kutafuta pesa ni jukumu letu pia hata hivyo sisi tumeshaanza kukubali kuwa kutafuta pesa ni jukumu letu pia ila ninyi bado hamtaki kukubali kuwa kufanya kazi za nyumbani ni jukumu lenu piaHahah mngekuwa mnazitafuta kwa nguvu na bidii hivyo vilio vya kutaka kupewa hela vingepungua humu.
Otherwise ni mambo mbaya tu itahappen!
Sijawahi lakini pia baba ndo aliyekuwa anahudumia familia nzima na siyo mama sasa hapa mimi naongelea wale wanaume ambao mke anasaidia majukumu yote ya mume ila mume majukumu ya mke hasaidii hivi kwani tunashindwa kuelewana nini hapo? Kama hautaki kumsaidia mkeo kwanini yeye unataka akusaidie?Uwe unajiskiliza kabla hujapost basi mtu wangu.
Hivi ulishawahi kushuhudia baba yako anaosha vyombo badala ya mama yako, au anapiga deki nyumba akitoka kazini?
Maishaaaa! Yani hio biashara unayolazimisha labda umpate boyfriend wa kitasha...Na kwanini ulazimishe hilo?Siku wanaume mkikubali kwamba kufanya kazi za nyumbani ni jukumu lenu pia basi hata wanawake tutakubali kwamba kutafuta pesa ni jukumu letu pia hata hivyo sisi tumeshaanza kukubali kuwa kutafuta pesa ni jukumu letu pia ila ninyi bado hamtaki kukubali kuwa kufanya kazi za nyumbani ni jukumu lenu pia
Huwa mnanichekesha, ilapokuja suala la majukumu yetu mnashupaza shingo na misuli yote. Majukumu yenu sasa mnataka tuwasaidie[emoji23][emoji23][emoji23] SMHMaishaaaa! Yani hio biashara unayolazimisha labda umpate boyfriend wa kitasha...Na kwanini ulazimishe hilo?
Wewe binti wa kitanzania umelelewa umeona sasa sijui ubishi wa nini! Wewe ni mwanamke na utafanya majukumu ya nyumbani bila exceptions kama hutaki spend the rest of your life a single momma.
Hamna alieomba kusaidiwa jukumu lakini. Hata usipofanya hio kazi familia itaenda tu mind that!Huwa mnanichekesha, ilapokuja suala la majukumu yetu mnashupaza shingo na misuli yote. Majukumu yenu sasa mnataka tuwasaidie[emoji23][emoji23][emoji23] SMH
Kaka hpana huyo black gal na mm,mm mchumba kabbisaaa??!!Hahahhh
Wapo mkuu tena wanachapwa kabbisa.Nimtawale kwa misingi ipi? Kwani kuna wanaume wanatawaliwa na wanawake?
Kweli mkuu mm nawashangaa madada blackish ama African ladies.Hahah mngekuwa mnazitafuta kwa nguvu na bidii hivyo vilio vya kutaka kupewa hela vingepungua humu.
Otherwise ni mambo mbaya tu itahappen!
Thubutuuu mambo gani yaende kwamfani!!!Hamna alieomba kusaidiwa jukumu lakini. Hata usipofanya hio kazi familia itaenda tu mind that!
Usitumie kazi kama kichaka cha kuficha tabia yako ya uvivu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila unanifurahisha sana sema hivi wewe ndo hauwezi kufanya hayo ila wapo wanaume wengi tu wanafanya siyo kwamba kwa sababu tunapiga kelele humu basi ndo udhani labda hatujui kuwa kuna wanaume wanafanya wapo tena wengi tu ila tunataka na wanaume wengine muige mfano wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maishaaaa! Yani hio biashara unayolazimisha labda umpate boyfriend wa kitasha...Na kwanini ulazimishe hilo?
Wewe binti wa kitanzania umelelewa umeona sasa sijui ubishi wa nini! Wewe ni mwanamke na utafanya majukumu ya nyumbani bila exceptions kama hutaki spend the rest of your life a single momma.
Dada unashindwa kuielewa point muhimu.Sijawahi lakini pia baba ndo aliyekuwa anahudumia familia nzima na siyo mama sasa hapa mimi naongelea wale wanaume ambao mke anasaidia majukumu yote ya mume ila mume majukumu ya mke hasaidii hivi kwani tunashindwa kuelewana nini hapo? Kama hautaki kumsaidia mkeo kwanini yeye unataka akusaidie?
Wapo mkuu tena wanachapwa kabbisa.
Hao whites unaosema tujifunze kutoka kwao kumbuka wanaume wanapika, wanafua, wanaosha vyombo, wanafanya usafi tena huku wake zao wapo na wala hawaumwi na kwao wanaona ni kitu cha kawaida sasa kwa blacks wanaume mnaweza kufanya hayo?Kweli mkuu mm nawashangaa madada blackish ama African ladies.
Wenzao Asians wakiwa na hela wanakuhudumia aisee km mm ktk ujana wangu nimelelewa sana na mitoto ya kiarabu ila ndio hvyo wana wivu sana had choon wakusindikize.
Ila kupata mparee mara chupi imetoboka mara naenda buchani kusuka yan alot of.
Embu wajifunze toka kwa whites angalau jaman