Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

Hebu nikuulize mtoa post tangu umebalehe mpaka unamaliza kuandika hii posti ulishakula mbususu ngapi?
 
Wadada muelewe kuwa wanaume ndio tupo hivyo. Ndio maana mnatakiwa mjitunze kwa sababu wanaume wote unaowaona wanaokutazama barabara ukipita ni kwa sababu hawajakuzoea sio kwamba wewe ni mzuri na unamaajabu. Ukitaka uthibitishe hilo. Subiri ukae mwezi uone kama hiyo barabara iliyokuwa ukipita huku Watu na bodaboda wanakutazama na kupagawa kama watakutazama tena au kupagawa.
 
Mhmh inaonekana mke anakudharau mnoo kupita kiasi. Mnilunulie simu mpya na umsajilie lain nyingine but make sure hiyo lain ya zamani unaiharibu kabisa. Akikataa na hilo basi ujue kuna shida kubwa kuliko kawaida
Namba amekariri
 
Sentensi yako ya mwisho inachekesha sana 🀣🀣 Pole bro, ndio ukubwa huo !!
 
Mhmh inaonekana mke anakudharau mnoo kupita kiasi. Mnilunulie simu mpya na umsajilie lain nyingine but make sure hiyo lain ya zamani unaiharibu kabisa. Akikataa na hilo basi ujue kuna shida kubwa kuliko kawaida
Siku hizi watu wanaonana muda wote Instagram
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ewwwww
 
Yani ni balaa kwakweli, wife unamwambia achana kuwasiliana na x wako, anakwambia na ww hujakatazwa kuongea na ma-x wako😭😭 unaangalia panga unalizoooom unaishia kusema Ee! Mungu niongoze🀣
Mkate kidogo akuogope.
 
Uko sahihi Kaka, Sasa hivi nina ongozwa na nguvu ya Rohoni.

Sasa hivi sioni maajabu ya kuwa obsessed na mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…