Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Namba mbili hamna swali..swali la 3 Mungu alikua anajifunua kwa mara ya kwanza kwa kile kizazi kilichoenda utumwani na misri kulikua na miungu mingi na wachawi ambao Farao alikua anaitumia kufanya miujiza kama Ile Mungu wa waisrael anafanya kwaio pogo la mwisho lilikua na maana kubwa kuonyesha uwezo wake ili kile kizazi kimwamini
 
Huyo paulo sifa yake ya kwanza ni kupenda sifa,jingine ni muongo,Sasa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) ni mnyekevu na mkweli.
 
Sasa tuanzie hapo twende kwenye hivyo vitabu tuangalie ni vinafaa kuwa muongozo au au vinajipiga mitama kwa kuanza lete andiko kutoka kwenye hivyo vitabu linalosema watu wawe wakristo?
 
Huyo paulo sifa yake ya kwanza ni kupenda sifa,jingine ni muongo,Sasa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) ni mnyekevu na mkweli.
Mtume sio mnyenyekevu angekua mnyenyekevu asingekua anaua watu na kuoa wake za wanaume waliowaua kwa lazima huu ulikua ubakaji ndomana mke wake wa kiyahudi alimlipizia kwa kumwekea sumu kwenye chakula
 
Sasa tuanzie hapo twende kwenye hivyo vitabu tuangalie ni vinafaa kuwa muongozo au au vinajipiga mitama kwa kuanza lete andiko kutoka kwenye hivyo vitabu linalosema watu wawe wakristo?
Unajua neno la kuwa mkristo kwanza?
Soma matendo ya mitume 2:36-47 Roho mtakatifu akusaidie ili upate kuongoka maana Yesu kristo katupa ahadi kwasisi tutakaomfuata ni uzima wa milele ila Muhammad ana ahadi atakayokupa wewe Muislam kwani nayeye amekufa kama babu yangu wote wanasubiri hukumu
 
Hili andiko ulilotoa linakazia lile andiko kwamba yesu akutumwA ila kwA waisraeli waliopotea.
 
Wewe mlokole uchwara huna unalojua kuhusu biblia. Ungekuwa unajua ungekuja na majibu ya maswali yangu badala ya kuniuliza swali la kipuuzi.
Asante wewe mlokole ulohitimu mafunzo na unasoma biblia halafu hupati majibu. tatizo lako unasoma pasipo kumshirikisha Roho Mtakatifu. Unasoma kama hadithi za sungura na fisi, pili alokwambia mimi mlokole nani au unakariri maisha kijana.
 
Hili andiko ulilotoa linakazia lile andiko kwamba yesu akutumwA ila kwA waisraeli waliopotea.
Nikweli kila kitu kilianzia kwao maana Mungu alianza nao toka alipowatoa misri ila wao kwasasa wamemuasi Mungu na wapo katika njia zao kwa maana walimkataa masihi
 
Kusema ukweli ni lugha hasa ndo imekuwa changamoto lakn pia biblia ukitaka kusoma usisome kama gazeti la udaku omba uwepo wa MUNGU
 
Bro naomba nikujibu hapa.....

Bismillah!!
Naomba nijibu utata kuhusu nani ni adui wa jibril... Quran 2: 98
"Aliyekuwa adui wa Mwenyezi Mungu na malaika wake, na mitume wake na jibril na mikail basi hakika Mwenyezi Mungu ni adui wa makafiri"

👆👆👆👆 Hapo tumepata jibu kumbe adui wa jibril ni yoyote aliye kinyume na Mungu (kafiri)

Haya utata wako unaibuka hapa.... Iweje kafiri atumike kuitelemsha Quran katika kifua cha mtume kwa idhini ya Allah??

Ni kwamba hapo adui wa jibril ni Israeli baada ya kuwaua mitume na kuwakataa na kubadiri maandiko ya Mwenyez Mungu na kufanya machafu mbele za Mungu..... Ikawa ni sababu ya Mungu kuteremsha Quran kwa mtume
Enzi na enz Mwenyezi Mungu huwa hatoi adhabu bila kumleta muonyaji (mtume)

Kwahyo Israel kuasi kwao kuliwafanya wawe maadui wa Mungu na Jibril... Kwakuwa wao ndo walikuwa n kitabu (taurat) na wamekisoma ila wakapindisha mafundisho yake, wakawa ni sababu ya Allah kushusha kitabu kingine kwenye kichua cha Mtume
(Wao baada ya kuasi waligeuka sababu au kichocheo cha Quran kushuka)
Asante🤝
 
Kusema ukweli ni lugha hasa ndo imekuwa changamoto lakn pia biblia ukitaka kusoma usisome kama gazeti la udaku omba uwepo wa MUNGU
Mkikosaga sababu mnakimbilia kusema tusisome kama gazeti tukimbilie kuomba roho mtakatifu. Nani anashindwa kujua kuwa kulikuwa na Farao huko Misri hadi roho mtakatifu aje?
 
Asante wewe mlokole ulohitimu mafunzo na unasoma biblia halafu hupati majibu. tatizo lako unasoma pasipo kumshirikisha Roho Mtakatifu. Unasoma kama hadithi za sungura na fisi, pili alokwambia mimi mlokole nani au unakariri maisha kijana.
Acha ujinga wewe. Yaani kujua kama waisrael walikuwa Misri na kuamua kwenda kanaani nayo inahitaji roho mtakatifu?
 
Acha ujinga wewe. Yaani kujua kama waisrael walikuwa Misri na kuamua kwenda kanaani nayo inahitaji roho mtakatifu?
Naona unataka kuniharibia siku wewe sasa kama hujui kwanini Mungu alikuwa anaruhusu vifo kwa wanaisrael halafu unajiita Mkiristo hio ni aibu. sina muda wa kupoteza kujibizana na wewe. mimi ni mjinga sawa ukiwa mwerevu wewe inatosha. Bila shaka wewe una watoto/mtoto ukimkataza kitu mara nyingi asifanye na anafanya utamhadhibu au unamwacha? na usipoelewa mfano mdogo huo basi mwalimu wakoshuleni inaelekea alipata shida sana
 
Utamhadhibu ❌ utamwadhibu ✅
Baba yako anaweza kuwaletea joka muishi nalo chumbani akitegemea kuwa hatawadhuru?
 
Acha ujinga wewe. Yaani kujua kama waisrael walikuwa Misri na kuamua kwenda kanaani nayo inahitaji roho mtakatifu?
pia unachokiandika hukijui. hivi una uhakika kuwa waisrael waliamua wenyewe kutoka misri kwenda kanaani au ilikuwa ni agizo kutoka kwa Mungu wao. hata huelewi unapayuka tu
 
Utamhadhibu ❌ utamwadhibu ✅
Baba yako anaweza kuwaletea joka muishi nalo chumbani akitegemea kuwa hatawadhuru?
uzi umeanzisha mwenyewe pia wewe unatoka nje ya mada inaonyesha kuwa wewe ni mtu aina gani. najichosha tu kujibizana na wewe.
 
Na nyi ambao hamna akili kabisa na kuongozwa na kipofu
 
Nikweli kila kitu kilianzia kwao maana Mungu alianza nao toka alipowatoa misri ila wao kwasasa wamemuasi Mungu na wapo katika njia zao kwa maana walimkataa masihi
Basi rudi kwa Muhammad S.A.W Mtume wa walimwengu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…