Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi;

1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?

2. Mwanzo 6 - 10 kuna stori maarufu ya Nuhu. Hii ni stori ina ukakasi zaidi. Nikiandika maswali yote niliyojiuliza uzi utakuwa mrefu. Ninashauri mkaisome ili tuifungulie uzi wake.

3. Kutoka 11:5-6 kuna maandiko yanayosema kuwa wazaliwa wa kwanza wote wa wamisri kwa upande wa binadamu hadi wanyama watauwawa na Mungu mwenyewe ili waisraeli wapewe ruhusa ya kwenda nchi ya ahadi. Kiukweli haya yalikuwa ni mauaji ya halaiki kwa wasio na hatia. Unaambiwa hadi mzaliwa wa kwanza wa mbuzi, kuku, ng'ombe, mbwa na farasi waliuwawa. Kwanini isingetumika njia nyingine hao waisraeli wakaondoka?

4. Kitabu kizima cha Joshua kimejaa stori za mauaji matupu. Ikumbukwe Joshua alichukua nafasi ya Musa kwenye kuwaingiza waisraeli nchi ya ahadi baada ya kifo cha Musa. Nchi waliyoahidiwa ilikuwa tayari ina wakazi wake ambao ilibidi wauwawe wote ili kuwapisha waisraeli. Hivi ilishindikana vipi kufanya kama alivyofanya Mama Samia kuwatoa wamasai Ngorongoro na kuwapeleka Msomera kwa amani kabisa bila kumwaga damu? Kama leo 2024 bado kuna maeneo duniani hayajakaliwa na binadamu ilikuwaje enzi za Joshua? Ukisoma kitabu cha Joshua utaona kila sehemu waliyopita walikuwa wakiua wenyeji watakaowakuta. Kulikuwa na sababu zipi za msingi za mauaji haya yote?

5. Ayubu 1:6-12 utaona stori ya shetani alipojiunga na wana wa Mungu kupita mbele ya Mungu kumwabudu hadi Mungu akashangaa imekuwaje shetani akawa eneo lile? Baada ya hapo Mungu na Shetani wakakubaliana kwenda kumjaribu Ayubu kwa sharti la kutogusa mwili wa ajabu (kumuua). Katika yale majaribu watoto wa Ayubu waliuwawa na shetani. Naweza kusema ni mauaji yaliyokuwa na approval toka juu. Ilikuwa kazi maalum. Je, sio kwamba wawili hawa hukutana na kukubaliana baadhi ya mambo? Sio kwamba kuna kazi za shetani zina kibali maalum?
Namba mbili hamna swali..swali la 3 Mungu alikua anajifunua kwa mara ya kwanza kwa kile kizazi kilichoenda utumwani na misri kulikua na miungu mingi na wachawi ambao Farao alikua anaitumia kufanya miujiza kama Ile Mungu wa waisrael anafanya kwaio pogo la mwisho lilikua na maana kubwa kuonyesha uwezo wake ili kile kizazi kimwamini
 
Paulo alikua msomi wasifu wake unasemwa kwenye biblia,Muhammad hajasoma ndomana alikua anaoloteza masimulizi atakayoyasikia kutoka kwa wakristo na kuyaweka kwenye Quran nani wakumwamini hapa huyu asuyejua kusoma aliyekuja karne ya 6 au Paulo aliyekuwepo na kuonana na mitume wa Yesu? Fatilia mambo acha kudanganywa Masjid Taqwa
Huyo paulo sifa yake ya kwanza ni kupenda sifa,jingine ni muongo,Sasa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) ni mnyekevu na mkweli.
 
Ndio biblia yenyewe sasa kwa mujibu wa Allah na Muhammad hivi vitabu vilikua sahihi Nani wakumwamini Allah na mtume wake Muhammad?au wewe Muislam wa masjid Taqwa,jitahidi kufanya reasoning tunajua uislam bila uongo unakufa ila tumia akili yako ya kawaida uchambue vitu vyenye logic
Sasa tuanzie hapo twende kwenye hivyo vitabu tuangalie ni vinafaa kuwa muongozo au au vinajipiga mitama kwa kuanza lete andiko kutoka kwenye hivyo vitabu linalosema watu wawe wakristo?
 
Huyo paulo sifa yake ya kwanza ni kupenda sifa,jingine ni muongo,Sasa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) ni mnyekevu na mkweli.
Mtume sio mnyenyekevu angekua mnyenyekevu asingekua anaua watu na kuoa wake za wanaume waliowaua kwa lazima huu ulikua ubakaji ndomana mke wake wa kiyahudi alimlipizia kwa kumwekea sumu kwenye chakula
 
Sasa tuanzie hapo twende kwenye hivyo vitabu tuangalie ni vinafaa kuwa muongozo au au vinajipiga mitama kwa kuanza lete andiko kutoka kwenye hivyo vitabu linalosema watu wawe wakristo?
Unajua neno la kuwa mkristo kwanza?
Soma matendo ya mitume 2:36-47 Roho mtakatifu akusaidie ili upate kuongoka maana Yesu kristo katupa ahadi kwasisi tutakaomfuata ni uzima wa milele ila Muhammad ana ahadi atakayokupa wewe Muislam kwani nayeye amekufa kama babu yangu wote wanasubiri hukumu
 
Hili andiko ulilotoa linakazia lile andiko kwamba yesu akutumwA ila kwA waisraeli waliopotea.
 
Wewe mlokole uchwara huna unalojua kuhusu biblia. Ungekuwa unajua ungekuja na majibu ya maswali yangu badala ya kuniuliza swali la kipuuzi.
Asante wewe mlokole ulohitimu mafunzo na unasoma biblia halafu hupati majibu. tatizo lako unasoma pasipo kumshirikisha Roho Mtakatifu. Unasoma kama hadithi za sungura na fisi, pili alokwambia mimi mlokole nani au unakariri maisha kijana.
 
Hili andiko ulilotoa linakazia lile andiko kwamba yesu akutumwA ila kwA waisraeli waliopotea.
Nikweli kila kitu kilianzia kwao maana Mungu alianza nao toka alipowatoa misri ila wao kwasasa wamemuasi Mungu na wapo katika njia zao kwa maana walimkataa masihi
 
Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi;

1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?

2. Mwanzo 6 - 10 kuna stori maarufu ya Nuhu. Hii ni stori ina ukakasi zaidi. Nikiandika maswali yote niliyojiuliza uzi utakuwa mrefu. Ninashauri mkaisome ili tuifungulie uzi wake.

3. Kutoka 11:5-6 kuna maandiko yanayosema kuwa wazaliwa wa kwanza wote wa wamisri kwa upande wa binadamu hadi wanyama watauwawa na Mungu mwenyewe ili waisraeli wapewe ruhusa ya kwenda nchi ya ahadi. Kiukweli haya yalikuwa ni mauaji ya halaiki kwa wasio na hatia. Unaambiwa hadi mzaliwa wa kwanza wa mbuzi, kuku, ng'ombe, mbwa na farasi waliuwawa. Kwanini isingetumika njia nyingine hao waisraeli wakaondoka?

4. Kitabu kizima cha Joshua kimejaa stori za mauaji matupu. Ikumbukwe Joshua alichukua nafasi ya Musa kwenye kuwaingiza waisraeli nchi ya ahadi baada ya kifo cha Musa. Nchi waliyoahidiwa ilikuwa tayari ina wakazi wake ambao ilibidi wauwawe wote ili kuwapisha waisraeli. Hivi ilishindikana vipi kufanya kama alivyofanya Mama Samia kuwatoa wamasai Ngorongoro na kuwapeleka Msomera kwa amani kabisa bila kumwaga damu? Kama leo 2024 bado kuna maeneo duniani hayajakaliwa na binadamu ilikuwaje enzi za Joshua? Ukisoma kitabu cha Joshua utaona kila sehemu waliyopita walikuwa wakiua wenyeji watakaowakuta. Kulikuwa na sababu zipi za msingi za mauaji haya yote?

5. Ayubu 1:6-12 utaona stori ya shetani alipojiunga na wana wa Mungu kupita mbele ya Mungu kumwabudu hadi Mungu akashangaa imekuwaje shetani akawa eneo lile? Baada ya hapo Mungu na Shetani wakakubaliana kwenda kumjaribu Ayubu kwa sharti la kutogusa mwili wa ajabu (kumuua). Katika yale majaribu watoto wa Ayubu waliuwawa na shetani. Naweza kusema ni mauaji yaliyokuwa na approval toka juu. Ilikuwa kazi maalum. Je, sio kwamba wawili hawa hukutana na kukubaliana baadhi ya mambo? Sio kwamba kuna kazi za shetani zina kibali maalum?
Kusema ukweli ni lugha hasa ndo imekuwa changamoto lakn pia biblia ukitaka kusoma usisome kama gazeti la udaku omba uwepo wa MUNGU
 
Angalau kwa biblia ila Kuna kitabu hiko Kuna Aya hadi leo inanifikirisha sana na sielewi kwanini wafuasi wake wanakaza shingo kukiamini

Qu'ran 2:97
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Nani ni adui wa Jibril? Jibu ni shetani
Kwanini shetani ateremshe Quran na tunaambiwa kuran ni tukufu?

Hili swali haitatakea nikapata jibu la kuridhika
Bro naomba nikujibu hapa.....

Bismillah!!
Naomba nijibu utata kuhusu nani ni adui wa jibril... Quran 2: 98
"Aliyekuwa adui wa Mwenyezi Mungu na malaika wake, na mitume wake na jibril na mikail basi hakika Mwenyezi Mungu ni adui wa makafiri"

👆👆👆👆 Hapo tumepata jibu kumbe adui wa jibril ni yoyote aliye kinyume na Mungu (kafiri)

Haya utata wako unaibuka hapa.... Iweje kafiri atumike kuitelemsha Quran katika kifua cha mtume kwa idhini ya Allah??

Ni kwamba hapo adui wa jibril ni Israeli baada ya kuwaua mitume na kuwakataa na kubadiri maandiko ya Mwenyez Mungu na kufanya machafu mbele za Mungu..... Ikawa ni sababu ya Mungu kuteremsha Quran kwa mtume
Enzi na enz Mwenyezi Mungu huwa hatoi adhabu bila kumleta muonyaji (mtume)

Kwahyo Israel kuasi kwao kuliwafanya wawe maadui wa Mungu na Jibril... Kwakuwa wao ndo walikuwa n kitabu (taurat) na wamekisoma ila wakapindisha mafundisho yake, wakawa ni sababu ya Allah kushusha kitabu kingine kwenye kichua cha Mtume
(Wao baada ya kuasi waligeuka sababu au kichocheo cha Quran kushuka)
Asante🤝
 
Kusema ukweli ni lugha hasa ndo imekuwa changamoto lakn pia biblia ukitaka kusoma usisome kama gazeti la udaku omba uwepo wa MUNGU
Mkikosaga sababu mnakimbilia kusema tusisome kama gazeti tukimbilie kuomba roho mtakatifu. Nani anashindwa kujua kuwa kulikuwa na Farao huko Misri hadi roho mtakatifu aje?
 
Asante wewe mlokole ulohitimu mafunzo na unasoma biblia halafu hupati majibu. tatizo lako unasoma pasipo kumshirikisha Roho Mtakatifu. Unasoma kama hadithi za sungura na fisi, pili alokwambia mimi mlokole nani au unakariri maisha kijana.
Acha ujinga wewe. Yaani kujua kama waisrael walikuwa Misri na kuamua kwenda kanaani nayo inahitaji roho mtakatifu?
 
Naona unataka kuniharibia siku wewe sasa kama hujui kwanini Mungu alikuwa anaruhusu vifo kwa wanaisrael halafu unajiita Mkiristo hio ni aibu. sina muda wa kupoteza kujibizana na wewe. mimi ni mjinga sawa ukiwa mwerevu wewe inatosha. Bila shaka wewe una watoto/mtoto ukimkataza kitu mara nyingi asifanye na anafanya utamhadhibu au unamwacha? na usipoelewa mfano mdogo huo basi mwalimu wakoshuleni inaelekea alipata shida sana
 
Naona unataka kuniharibia siku wewe sasa kama hujui kwanini Mungu alikuwa anaruhusu vifo kwa wanaisrael halafu unajiita Mkiristo hio ni aibu. sina muda wa kupoteza kujibizana na wewe. mimi ni mjinga sawa ukiwa mwerevu wewe inatosha. Bila shaka wewe una watoto/mtoto ukimkataza kitu mara nyingi asifanye na anafanya utamhadhibu au unamwacha? na usipoelewa mfano mdogo huo basi mwalimu wako alipata shida sana
Utamhadhibu ❌ utamwadhibu ✅
Baba yako anaweza kuwaletea joka muishi nalo chumbani akitegemea kuwa hatawadhuru?
 
Acha ujinga wewe. Yaani kujua kama waisrael walikuwa Misri na kuamua kwenda kanaani nayo inahitaji roho mtakatifu?
pia unachokiandika hukijui. hivi una uhakika kuwa waisrael waliamua wenyewe kutoka misri kwenda kanaani au ilikuwa ni agizo kutoka kwa Mungu wao. hata huelewi unapayuka tu
 
Utamhadhibu ❌ utamwadhibu ✅
Baba yako anaweza kuwaletea joka muishi nalo chumbani akitegemea kuwa hatawadhuru?
uzi umeanzisha mwenyewe pia wewe unatoka nje ya mada inaonyesha kuwa wewe ni mtu aina gani. najichosha tu kujibizana na wewe.
 
Shida ni kuitumia Akili ya Asili na wala sio ubobevu wa madarasa na vyuo,Mfano angalia wataalamu wetu kwenye upande wa siasa ikitajiwa Elimu zao unaogopa rudi kwenye maamuzi ndo utachoka ndo sawa na waumini wa kikristo wote mna Akili za kiPaulo paulo.
Na nyi ambao hamna akili kabisa na kuongozwa na kipofu
 
Nikweli kila kitu kilianzia kwao maana Mungu alianza nao toka alipowatoa misri ila wao kwasasa wamemuasi Mungu na wapo katika njia zao kwa maana walimkataa masihi
Basi rudi kwa Muhammad S.A.W Mtume wa walimwengu wote.
 
Back
Top Bottom