Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Ni kwa sababu umeamua kukaa upande wa ukosoaji ndo maana unaona mabaya tu, yaani umeshaamia kuwa negative hakuna utakachokielewa katika biblia
 
akili Ina ukomo wa kuyajua mambo ya Mungu ama Mungu mwenyewe. Kwa mfano: akili ya mwanadamu haiwezi kujua maisha baada ya maisha haya. Nini kitafuata baada ya mtu kukutwa na mauti, akili haiwezi kujua.
Ukomo upo sikatai, lakini Allah ametanabaisha kupitia quraan hatma ya mwanadamu baada ya kufa , tena kimeeleza kwa upana wake na kimetoa tahadhari kwa watu , kimeeleza Uzito wa siku kwa mifano mingi tu, siyo hiyo tu kimeeleza binaadamu katokeaje , maisha ya tumboni mwa mama yake mpaka anakuja kuwa mtu yaani mimi na wewe, hakika quraani haijaacha kitu , na kitabu kisichokua na shaka,
Note hakuna kitabu cha dini iwe Buddha, taos, ukristo nk ambacho kimisema habari hizi hata Wanasayansi wenyewe wanajua habari za quraan na wakishindwa kupatajibu basi wakiinda ktk quraan wanashangaa wanakutana na majibu lukuki, pia kusomewa quraan hakutokubadilisha Iman yako
 
Umetokea kwenye tamthilia za Kituruki kutaka ziondolewa eti zinapendelea Uislamu sasa umekuja kwenye uzi wa Biblia unaleta aya za Quran ambazo hujui hata zina maana gani.
Punguza obsession na Uislamu
 
Wewe ndio wa hovyo unapoweka tafsiri lazima uufahamishe uma umepata wapi, na nani muhusika huko google , unataka kusema kuwa uislamu una waonea wanawake
 
Wewe ndio wa hovyo unapoweka tafsiri lazima uufahamishe uma umepata wapi, na nani muhusika huko google , unataka kusema kuwa uislamu una waonea wanawake
Alafu unasema kuwa waislamu ni Malaya kupitia quraan
 
Ni kwa sababu umeamua kukaa upande wa ukosoaji ndo maana unaona mabaya tu, yaani umeshaamia kuwa negative hakuna utakachokielewa katika biblia
Ushahidi upo ukitaka utaletewa
Note sio ushahidi wa andiko moja no ni maandiko mengi, sipo negative kama unavyo amini ila nipo ktk ukweli, niweka sana andiko linalo thibitisha kuwa bibilia ni maneno ya Paulo lakini hakuna mkristo aliyekuja kutoa andiko la kukataa badala yake wanataka
 
Tafsiri ya artificial Intelligence , wewe kweli chizi Surat An nnisah siyo hyo
 
Kama mtume wa Allah aliweza kutamani mkwe wake na kufanikiwa kumuoa sembuse kuruhusu kununua wanawake kwa waumini wake? SUNNI baadae wakapiga marufuku ila Shia Bado Wananunua wanawake kwa starehe zao
 
Umetokea kwenye tamthilia za Kituruki kutaka ziondolewa eti zinapendelea Uislamu sasa umekuja kwenye uzi wa Biblia unaleta aya za Quran ambazo hujui hata zina maana gani.
Punguza obsession na Uislamu
Ulisema "namna unavyokuja ndo namna unavyopokewa" na nimefanya hivyo
 
Wewe ndio wa hovyo unapoweka tafsiri lazima uufahamishe uma umepata wapi, na nani muhusika huko google , unataka kusema kuwa uislamu una waonea wanawake
HILO HALINA SHAKA NA INAJULIKANA
Uislamu una madhambi mengi saaana sio tu kuonea wanawake Bali pia kurneza chuki na ghasia dhidi ya wasio waislamu
 
Sisi tunaoamini biblia tuko huru hatufungwi kifikra ukileta hiko unachokiita "ukweli" ndiyo itakuwa vyema sana

Haya leta huo "ushahidi" na "ukweli"

Hilo andiko ni kipi na wewe umetumia vigezo gani kuthibitisha hicho ulichokileta
 
Kama mtume wa Allah aliweza kutamani mkwe wake na kufanikiwa kumuoa sembuse kuruhusu kununua wanawake kwa waumini wake? SUNNI baadae wakapiga marufuku ila Shia Bado Wananunua wanawake kwa starehe zao
Wanapigaje marufuku kitu kilichopo kwenye maandiko yao?
 
Wanapigaje marufuku kitu kilichopo kwenye maandiko yao?
Marufuku kwenye Quran zipo kibao tuu hii inatokea tuu pale Muhammad anataka apendelewe kuanzia Kuoa yeye alioa wanawake wengi,mtoto wa mke wako au mtoto uliomchukua kumlea kuwa kama mtoto halali ilikua inakubaliwa ila baada ya kisa cha mwanae wa kambo kuwa na mwanamke mzuri kupelekea Mtume wa Allah kumtamani,Adoption ikapigwa marufuku.

Sasa kwenye swala la Mutah hakuna Aya kwenye Quran iliokuja kukataza badala yake Ilikuja Hadith kitu ambacho kwa uislam Hadith haina nguvu kukataza jambo la Quran ila Quran ndio kauli ya mwisho kuliko Hadith kutokana na hivyo ndomana Shia wanaendelea na Kuchukua vimada kwa mda na kuwalipa hela.
 
Ona hii ng'ombe ya kike inayotaka kupandwa !! 95% ya misamiati ya kiswahili ni kiarabu?
 
Uislam bila uongo unakufa
Kuna Waislamu 2.3 biliion kati ya binadui 8 billion walioko ulimwenguni na huko Uingereza makanisa kadhaa yamekuwa misikiti.
Tumia Google meku au hujui ni nini hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…