Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Ndugu nimepitia andiko lako,ila kwa uelewa mdogo nilionao juu ya biblia ni mkusanyiko wa nyaraka zilizoandikwa na wanadamu,kila waraka ulielekezwa kwa jamii fulani. Nadhani nyaraka hizi kwakuwa waandishi ni binadamu basi zina mapungufu mengi na inawezekana baadhi zimetungwa tu.

Mkuu usihangaike sana mengine ni ya kwenda kumwuliza mwenyewe huko.

Hapo unatembea kwa amani.

Au nasema uongo ndugu yàngu?
 
al-Bukhari 6614
Narrated Abu Huraira:
The Prophet (ﷺ) said, "Adam and Moses argued with each other. Moses said to Adam. 'O Adam! You are our father who disappointed us and turned us out of Paradise.' Then Adam said to him, 'O Moses! Allah favored you with His talk (talked to you directly) and He wrote (the Torah) for you with His Own Hand. Do you blame me for action which Allah had written in my fate forty years before my creation?' So Adam confuted Moses, Adam confuted Moses," the Prophet (ﷺ) added, repeating the Statement three times.

Hapa Muhammad anatuonyesha Mussa na Adam wanalaumiana sasa sijui alikutana nao wapi.kichekesho ichi
Obviously hujui wahyi ni nini
Don't be a moron nani aliyekuwa anaandika mazungumzo ya Mungu,Adam,Eve,na Nyoka muongeaji au nani alishuhudia Mosses akipiga story na Yehova?
 
Mkuu mkuu mkuu nimekuita mara tatu bibilia siyo kitabu cha ukweli (siyo cha Mungu) ndani ya bibilia kuna vitabu havijulikani muandishi ni nani na kama hio haitoshi bibilia ni maneno (utashi) wa Paulo,
3;15 wagalatia ,
Matendo ya mitume 11:25-26 , kubatizwa napo story zake ni utata mtupu, kifo cha yesu napo hvo hvo , kufufuka napo kila mtume anasema lake yaani kitabu kimejaa utata kila kona, atakaye bisha alete point according to bibilia only
Wee ni mpumbafuu
 
Yaani mkuu bibilia imejaa kujichanganya , tukio la kubatwiza yesu katika bibilia ni la mchongo kumbuka hao waandishi Eti waliongozwa na roho mtakatifu ,
tukio la kufa yesu napo ni utata ,
tukio la kufufuka napo daah hadi aibu , ila ninacho ona wengi hawa isomi bibilia yote kikamilifu badala yake wanachaguliwa cha kusoma
Wee ni mjing sana sasa utata upi kifo cha Yesu kwani hakufa au
 
Obviously hujui wahyi ni nini
Don't be a moron nani aliyekuwa anaandika mazungumzo ya Mungu,Adam,Eve,na Nyoka muongeaji au nani alishuhudia Mosses akipiga story na Yehova?
Kwaio Muhammad ndio alikua anashuhudia hayo majibizano?
 
Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi;

1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?

2. Mwanzo 6 - 10 kuna stori maarufu ya Nuhu. Hii ni stori ina ukakasi zaidi. Nikiandika maswali yote niliyojiuliza uzi utakuwa mrefu. Ninashauri mkaisome ili tuifungulie uzi wake.

3. Kutoka 11:5-6 kuna maandiko yanayosema kuwa wazaliwa wa kwanza wote wa wamisri kwa upande wa binadamu hadi wanyama watauwawa na Mungu mwenyewe ili waisraeli wapewe ruhusa ya kwenda nchi ya ahadi. Kiukweli haya yalikuwa ni mauaji ya halaiki kwa wasio na hatia. Unaambiwa hadi mzaliwa wa kwanza wa mbuzi, kuku, ng'ombe, mbwa na farasi waliuwawa. Kwanini isingetumika njia nyingine hao waisraeli wakaondoka?

4. Kitabu kizima cha Joshua kimejaa stori za mauaji matupu. Ikumbukwe Joshua alichukua nafasi ya Musa kwenye kuwaingiza waisraeli nchi ya ahadi baada ya kifo cha Musa. Nchi waliyoahidiwa ilikuwa tayari ina wakazi wake ambao ilibidi wauwawe wote ili kuwapisha waisraeli. Hivi ilishindikana vipi kufanya kama alivyofanya Mama Samia kuwatoa wamasai Ngorongoro na kuwapeleka Msomera kwa amani kabisa bila kumwaga damu? Kama leo 2024 bado kuna maeneo duniani hayajakaliwa na binadamu ilikuwaje enzi za Joshua? Ukisoma kitabu cha Joshua utaona kila sehemu waliyopita walikuwa wakiua wenyeji watakaowakuta. Kulikuwa na sababu zipi za msingi za mauaji haya yote?

5. Ayubu 1:6-12 utaona stori ya shetani alipojiunga na wana wa Mungu kupita mbele ya Mungu kumwabudu hadi Mungu akashangaa imekuwaje shetani akawa eneo lile? Baada ya hapo Mungu na Shetani wakakubaliana kwenda kumjaribu Ayubu kwa sharti la kutogusa mwili wa ajabu (kumuua). Katika yale majaribu watoto wa Ayubu waliuwawa na shetani. Naweza kusema ni mauaji yaliyokuwa na approval toka juu. Ilikuwa kazi maalum. Je, sio kwamba wawili hawa hukutana na kukubaliana baadhi ya mambo? Sio kwamba kuna kazi za shetani zina kibali maalum?
Umeanza kujitambua hongera,wafia dini aka makondoo unapohoji mambo kama haya wanakuona wewe ni mvuta bangi wakati kiuhalisia biblia na quran zina contradiction za kutosha
 
Angalau kwa biblia ila Kuna kitabu hiko Kuna Aya hadi leo inanifikirisha sana na sielewi kwanini wafuasi wake wanakaza shingo kukiamini

Qu'ran 2:97
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Nani ni adui wa Jibril? Jibu ni shetani
Kwanini shetani ateremshe Quran na tunaambiwa kuran ni tukufu?

Hili swali haitatakea nikapata jibu la kuridhik

Angalau kwa biblia ila Kuna kitabu hiko Kuna Aya hadi leo inanifikirisha sana na sielewi kwanini wafuasi wake wanakaza shingo kukiamini

Qu'ran 2:97
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Nani ni adui wa Jibril? Jibu ni shetani
Kwanini shetani ateremshe Quran na tunaambiwa kuran ni tukufu?

Hili swali haitatakea nikapata jibu la kuridhika
Bibie FaizaFoxy tunaomba utufafanulie huu mstari
 
Bibie FaizaFoxy tunaomba utufafanulie huu mstari
Bibie FaizaFoxy tunaomba utufafanulie huu mstari
Wala si mimi wa kufafanuwa, soma watafsiri wanasema nini halafu useme umeelewa au haukuelewa?:

قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّۭا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُۥ نَزَّلَهُۥ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ ٱللَّهِ مُصَدِّقًۭا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًۭى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ ٩٧

Say: Whoever is an enemy to Gabriel-for he brings down the (revelation) to thy heart by Allah's will, a confirmation of what went before, and guidance and glad tidings for those who believe,-
— A. Yusuf Ali
Sema, ewe Mtume, kuwaambia Mayahudi waliposema, “Jibrili ni adui yetu miongoni mwa Malaika.”: “Mwenye kuwa ni adui wa Jibrili, basi ajue kuwa yeye ameiteremsha Qur’ani na kuitia ndani ya moyo wako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu Aliyetukuka, ikiwa ni yenye kuvisadikisha vitabu vya Mwenyezi Mungu vilivyoitangulia, yenye kuongoza kwenye njia ya haki na yenye kuwapa wenye kuamini bishara ya kila wema wa dunia na Akhera.”
— Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Source: Surah Al-Baqarah - 1-286 - Quran.com

Sifahamu nini msichokielewa hapo?
 
Ona u
Na Kwa kukuchanganya zaidi kwenye Hiyo Aya ya 3...!

Mungu alikua analeta mapigo Kwa farao, HALAFU TENA ANAMWINGIA FARAO KIROHO NA KUUFANYA MOYO WAKE KUWA MGUMU, Yani kifupi ni hivi, kama Mungu asingeufanya Moyo wa Farao kuwa Mgumu, basi Farao angeshawaruhu Wana Israel kitambo na yote ya kuuliwa Kwa Uzao wa kwanza kuanzia Sungura, Ng'ombe, Mbuzi mpaka Binadamu yasingetokea.

Tatizo lako unatumia Akili Yako ya Kibinadamu kuelewa Mambo ya Kiroho, Utakua na Maswali mpaka Yesu anarudi....!

GOD IS THE SPIRIT.
Ona ulivyo ndezi kulikua na haja gan ya Mungu kuufanya moyo wa farao kuwa mgumu,
Sikia mkuu, Quran kariim ipo clearly, haiitaji roho mtakatifu bali akili, ulichoweka hapo si ulicho kisema, alafu kila siku mna sahihishwa lakini wapi, hakuna swali ambalo Quran kariim haija jibu, Quran kariim ni maneno ya Allah, ipo wazi, jibril ni malaika wa ALLAH na Shetani ni adui wa wanaadamu, je Quran kariim haija sema hivo?, (ndio hoja yako ipo hapo?
Una uhakika gani hayo ni maneno ya Mungu?,hebu jaribuni kufiki nje ya box
 
Kama Mungu hayupo basi ka lale na mamayo, vinginevyo Mungu yupo, hiyo sayansi haijui lolote kuhusu mwamke ispokua ni mzalishaji, sasa kamzalishe mama yako, Mark My words, only Mungu tu kamzungumzia mama kwa hadhi ya juu siyo hyo sayansi yako ya kijinga
Wewe ni mtumwa wa fikra,unatumia nguvu kubwa sana kumtetea huyo Mungu why asijitetee mwenyewe?
 
Una uhakika gani hayo ni maneno ya Mungu?,hebu jaribuni kufiki nje ya box
أَمْ يَقُولُونَ ٱفْتَرَىٰهُ ۖ قُلْ فَأْتُوا۟ بِسُورَةٍۢ مِّثْلِهِۦ وَٱدْعُوا۟ مَنِ ٱسْتَطَعْتُم مِّن دُونِ ٱللَّهِ إِن كُنتُمْ صَـٰدِقِينَ ٣٨

Or do they say, "He forged it"? say: "Bring then a Sura like unto it, and call (to your aid) anyone you can besides Allah, if it be ye speak the truth!"
— A. Yusuf Ali
Au kwani wao wanasema kwamba Muhammad ameizua hii Qur’ani yeye mwenyewe? Wao wanajua kwamba yeye ni mwanadamu kama wao. Waambie, «Basi leteni sura moja inayofanana na hii Qur’ani katika mpango wake na uongozi wake, na takeni usaidizi wa kufanya hilo kwa mnayemuweza, badala ya Mwenyezi Mungu, miongoni mwa majini na binadamu, iwapo nyinyi ni wakweli katika madai yenu.»
— Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
 
Kama kweli unataka kujua ilitakiwa umtafute anayejua akufundishe

Quran imeletwa Kwa lugha ya kiarabu na kiswahili ni mtoto wa lugha ya kiarabu Yani 95% ya misamiati ya kiswahili ni kiarabu hivyo kiswahili akina uwezo wa kutafsiri Kwa ufasaha lugha ya kiarabu

Ila maana halisi ya hiyo Aya ni hii yapa

Sema:Anayemfanyia uadui Jibrail(anajisumbua),hakika yeye(Jibrail) ameiteremsha (Qur’an) moyoni mwako,kwa idhni ya Mwenyeezi Mungu,inayosadikisha yale yaliyokuwa kabla yake,na ni uongofu na bishara ya waumini”.

Lakini pia kama kweli unataka kujua nani aliyekuwa anamletea mtume Muhammad hiyo Quran mbona Aya nyingine zipo nyingi tu ambazo hazina lugha ngumu Kwa Nini usizisome hizo

Quran 16:102 -
Sema: Ameiteremsha hii Roho takatifu kutokana na Mola wako Mlezi kwa haki, ili awathibitishe wale walio amini, na kuwa ni uwongofu, na ni bishara kwa Waislamu.
Huyu Mungu wa kwenye vitabu vya dini biblia na quruan ni dhaifu sana,aliwezaje kuumba kiumbe dhaifu ilhali anajua kitamkosea?,isitoshe kusema sifa mnayompa ya kusema anajua yajayo na anajua mpaka mawazo yetu hastahili hiyo sifa kabisa,
 
Biblia, Koran na vijarida vingine vyote ni mawazp ta binadamu waliolenga kuwatawala kifikra binadamu wenzao (wasio na ufahamu)
Ukitoka nje ya box ykasoma hivyo vitabu utagundua makosa mengi mno na utashangaa inakuwaje watu wazima wanaviheshimu kiasi cha kuwa tayari kumchinja anayevikosoa!

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Hakika
 
Huyu Mungu wa kwenye vitabu vya dini biblia na quruan ni dhaifu sana,aliwezaje kuumba kiumbe dhaifu ilhali anajua kitamkosea?,isitoshe kusema sifa mnayompa ya kusema anajua yajayo na anajua mpaka mawazo yetu hastahili hiyo sifa kabisa,
Biblia siyo kitabu cha dini, usilinganishe na Qur'an.

Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vya watu.
 
Wala si mimi wa kufafanuwa, soma watafsiri wanasema nini halafu useme umeelewa au haukuelewa?:

قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّۭا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُۥ نَزَّلَهُۥ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ ٱللَّهِ مُصَدِّقًۭا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًۭى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ ٩٧

Say: Whoever is an enemy to Gabriel-for he brings down the (revelation) to thy heart by Allah's will, a confirmation of what went before, and guidance and glad tidings for those who believe,-
— A. Yusuf Ali
Sema, ewe Mtume, kuwaambia Mayahudi waliposema, “Jibrili ni adui yetu miongoni mwa Malaika.”: “Mwenye kuwa ni adui wa Jibrili, basi ajue kuwa yeye ameiteremsha Qur’ani na kuitia ndani ya moyo wako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu Aliyetukuka, ikiwa ni yenye kuvisadikisha vitabu vya Mwenyezi Mungu vilivyoitangulia, yenye kuongoza kwenye njia ya haki na yenye kuwapa wenye kuamini bishara ya kila wema wa dunia na Akhera.”
— Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Source: Surah Al-Baqarah - 1-286 - Quran.com

Sifahamu nini msichokielewa hapo?
Kwa ushauri wangu jitahidini kutumia hizo akili vizur,msiwe watu wa kumezeshwa kila kitu,nilitegemea utatumia ufahamu wako kujibu matokeo yake umerejea kwenye mistari ya quruan,na waandishi wa hivi vitabu waliwapa ukomo wa kufikir walijua mkihoji tuu basi mtauujua uongo wao
 
Attachments

  • IMG-20240521-WA0060(2).jpg
    IMG-20240521-WA0060(2).jpg
    61.9 KB · Views: 3
Kwa ushauri wangu jitahidini kutumia hizo akili vizur,msiwe watu wa kumezeshwa kila kitu,nilitegemea utatumia ufahamu wako kujibu matokeo yake umerejea kwenye mistari ya quruan,na waandishi wa hivi vitabu waliwapa ukomo wa kufikir walijua mkihoji tuu basi mtauujua uongo wao
Umeelewa nini kilichondikwa kwenye hiyo aya?

Au ulitaka kujuwa nini zaidi?
 
Biblia siyo kitabu cha dini, usilinganishe na Qur'an.

Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vya watu.
Uislam umewakaririsha vibaya sana kwamba
Mussa
Daudi
Yesu
Na baadae Muhammad
Walikuja na vitabu vyao, kinyume na mafundisho Ya kikristo ila kwakua wewe toka unakua unaelewa hivyo ni ngumu kubadilisha unachokiamini.
 
Back
Top Bottom