Dei Gratia Rex
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 423
- 696
Utashangaa mpaka leo bado kuna wajinga wanaamini story za Biblia, kwa kweli tumepigwa changa la macho hapa. Quran nayo hivyo hivyo, shetani hajakiacha mbali kitabu cha Quran hata kidogo.Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi;
1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?
2. Mwanzo 6 - 10 kuna stori maarufu ya Nuhu. Hii ni stori ina ukakasi zaidi. Nikiandika maswali yote niliyojiuliza uzi utakuwa mrefu. Ninashauri mkaisome ili tuifungulie uzi wake.
3. Kutoka 11:5-6 kuna maandiko yanayosema kuwa wazaliwa wa kwanza wote wa wamisri kwa upande wa binadamu hadi wanyama watauwawa na Mungu mwenyewe ili waisraeli wapewe ruhusa ya kwenda nchi ya ahadi. Kiukweli haya yalikuwa ni mauaji ya halaiki kwa wasio na hatia. Unaambiwa hadi mzaliwa wa kwanza wa mbuzi, kuku, ng'ombe, mbwa na farasi waliuwawa. Kwanini isingetumika njia nyingine hao waisraeli wakaondoka?
4. Kitabu kizima cha Joshua kimejaa stori za mauaji matupu. Ikumbukwe Joshua alichukua nafasi ya Musa kwenye kuwaingiza waisraeli nchi ya ahadi baada ya kifo cha Musa. Nchi waliyoahidiwa ilikuwa tayari ina wakazi wake ambao ilibidi wauwawe wote ili kuwapisha waisraeli. Hivi ilishindikana vipi kufanya kama alivyofanya Mama Samia kuwatoa wamasai Ngorongoro na kuwapeleka Msomera kwa amani kabisa bila kumwaga damu? Kama leo 2024 bado kuna maeneo duniani hayajakaliwa na binadamu ilikuwaje enzi za Joshua? Ukisoma kitabu cha Joshua utaona kila sehemu waliyopita walikuwa wakiua wenyeji watakaowakuta. Kulikuwa na sababu zipi za msingi za mauaji haya yote?
5. Ayubu 1:6-12 utaona stori ya shetani alipojiunga na wana wa Mungu kupita mbele ya Mungu kumwabudu hadi Mungu akashangaa imekuwaje shetani akawa eneo lile? Baada ya hapo Mungu na Shetani wakakubaliana kwenda kumjaribu Ayubu kwa sharti la kutogusa mwili wa ajabu (kumuua). Katika yale majaribu watoto wa Ayubu waliuwawa na shetani. Naweza kusema ni mauaji yaliyokuwa na approval toka juu. Ilikuwa kazi maalum. Je, sio kwamba wawili hawa hukutana na kukubaliana baadhi ya mambo? Sio kwamba kuna kazi za shetani zina kibali maalum?
Quran ni kitabu cha shetani alichompa Muddy kutangaza kanuni zake.Mnabishana na mtabishana sana hapa.
Ila TAFAKARI haya ya chini.
Uislam ulianzishwa miaka 600 baada ya Ukristo.
Ni muongozo wa Dini ya Kiyahudi + Kikristo.
(Wakaunda Dini yao based na fauntation hizo )
Na wakaandika kitabu chao, hakijashushwa wala nn[emoji23][emoji23][emoji23].
Data za 2022 zinasema (google) duniani kuwa 32% ni wakristo
25% ni waislam
Zinazobaki ni dini nyingne.
Nashauri Tuamini tulichoachiwa.
Ila Mungu yupo.
Ndio maana nili kuuliza una maana gani?, si ungejibu, alafu sisi wengine wapenda ukweli hatupendi kona kona, na ndio maana nikatoa hoja nyingi na Utetezi wake kutoka ktk bibilia ila najua siku zote bibilia huwezi kuitetea maana kimejaa madhaifuSasa Kama umeshindwa kunielewa hapo hatuwezi kuendelea mbele, Hicho kitabu chenyewe cha wagalatia hata hujakielewa.
Kiufupi wewe unachukua aya ya kitabu bila kusoma kitabu chote.
Sasa utaielewaje Biblia.
Don't mess with quraanUtashangaa mpaka leo bado kuna wajinga wanaamini story za Biblia, kwa kweli tumepigwa changa la macho hapa. Quran nayo hivyo hivyo, shetani hajakiacha mbali kitabu cha Quran hata kidogo.
Maana yangu ipo kwenye maneno niliyo yaandika, Sasa Kama hujayaelewa nitakusaidiaje ?Na
Ndio maana nili kuuliza una maana gani?, si ungejibu, alafu sisi wengine wapenda ukweli hatupendi kona kona, na ndio maana nikatoa hoja nyingi na Utetezi wake kutoka ktk bibilia ila najua siku zote bibilia huwezi kuitetea maana kimejaa madhaifu
Kila page, huna hoja na huwezi kupinga hoja zangu kwa points
Alafu usidhani Mimi sijaziona hizo Aya zako zingine.Na
Ndio maana nili kuuliza una maana gani?, si ungejibu, alafu sisi wengine wapenda ukweli hatupendi kona kona, na ndio maana nikatoa hoja nyingi na Utetezi wake kutoka ktk bibilia ila najua siku zote bibilia huwezi kuitetea maana kimejaa madhaifu
Kila page, huna hoja na huwezi kupinga hoja zangu kwa points
🤣🤣🤣EeeehMi bado najiuliza lile Andiko mtume paulo anasema yeye anamiminwa yaani kivipi?
Okay mkuu nisha Kupata, lakini pia kuna ushahidi mkubwa kuwa Paulo ndio muenezaji wa ukristo, pia hilo jina la kristo mwenyewe YESU hakuta kuitwa kristo ila Paulo aka kaidi, pia wana theologia wana tambua uwepo wa vitabu ktk bibilia ambavyo hawajui nani kaviandika, hv ni dhahiri kusema kuwa wakristo wasoma kitu kisicho julikana na ni chakubuni, pili bibllia ni kitabu ukikisoma kwa akili timamu utagundua kuna ukweli una pindishwa, hebu jiulize kituAlafu usidhani Mimi sijaziona hizo Aya zako zingine.
Mimi nipo kwenye hiyo sehemu ya Kwanza unayosema kwamba maneno ya Biblia yametoka kwa Paulo.
Maana yangu ipo kwenye maneno niliyo yaandika, Sasa Kama hujayaelewa nitakusaidiaje ?
Labda nikuulize wewe ambaye umesoma kitabu cha wagalatia kwamba unaielewaje aya ya 13 kabla ya kwenda kwenye aya ya 15 ?
Maana Kama hujaelewa kilichopita pia huwezi kuelewa kinachokuja.
Hapa nazungumzia Wagalatia Sura ya 3.
Mkuu huwezi kumtenganisha Paulo na bibilia (ukristo), Paulo ndio alioueneza ukristo, Paulo ndio aliye anzisha jina la kristo ili hali yeye mwenyewe YESU hakutaka, na ukristo ni mafundisho ya Paulo sasa sujui una kataa nini,Maana yangu ipo kwenye maneno niliyo yaandika, Sasa Kama hujayaelewa nitakusaidiaje ?
Labda nikuulize wewe ambaye umesoma kitabu cha wagalatia kwamba unaielewaje aya ya 13 kabla ya kwenda kwenye aya ya 15 ?
Maana Kama hujaelewa kilichopita pia huwezi kuelewa kinachokuja.
Hapa nazungumzia Wagalatia Sura ya 3.
Mimi naungana na wewe pia kwa sababu kwa uelewa wangu mdogo vitabu vilivyoingizwa kwenye bibilia ni vyingi kuliko vile vilivyoachwa hii inadhihirishwa na idadi ya vitabu vilivyomo kwenye bibilia ya katoliki na vile vipatikanavyo katika bibilia za madhehebu mengine(bibilia ya RC ina vitabu 72 huku Iie ya madhehebu mengine ikiwa na vitabu 66). Yawezekana wakatoliki nao walipunguza idadi ya vitabu toka mamia hadi 72, madhebu mengine 72 hadi 66 kulingana na contents walizozitaka.Naungana nawe ndugu yangu, ikizingatiwa pia vitabu hivi mpaka kutufikia kwa lugha mama yetu kuna lugha nyingi , kiebrania ,kiyunani, kilatini, kiingereza , kiswahili, kiswahili cha kisasa, lazima kuwe na makosa na sintofahamu nyingi.
Pia hivyo vitabu vimeakwa kwa mfumo wa usimuliaji, na mapokezano ya masimulizi kisha kuandikwa.
Afadhali mkuu umenisaidia kuweka na mifano iliyowazi, hii ni kwa wakristo na wasomaji wa ukristo, ukweli ni vyema usemwe hata kama ni mchungu, haya wana theologia na wakristo wa timamu, mu mjibu mkuu hapo tena Kwa hoja sasa na mifano sahihi piaMimi naungana na wewe pia kwa sababu kwa uelewa wangu mdogo vitabu vilivyoingizwa kwenye bibilia ni vyingi kuliko vile vilivyoachwa hii inadhihirishwa na idadi ya vitabu vilivyomo kwenye bibilia ya katoliki na vile vipatikanavyo katika bibilia za madhehebu mengine(bibilia ya RC ina vitabu 72 huku Iie ya madhehebu mengine ikiwa na vitabu 66). Yawezekana wakatoliki nao walipunguza idadi ya vitabu toka mamia hadi 72, madhebu mengine 72 hadi 66 kulingana na contents walizozitaka.
Swali langu ni kwamba kama vile vitabu viliandikwa na watu walioongozwa na roho mtakatifu iweje vitabu vingine vipuuzwe na madhebu mengine kwa kisingizio cha kutokukidhi mahitaji yao? Nauliza hili swali nikiwa na akili timamu na majibu nayataka!
Hivyo!
Mpe majibu kwa Faida ya wote kama alivyoyauliza!Mkuu mbona haya maswali yote yana majibu, unasoma kweli biblia vizur au una rukaruka?
Okay mkuu nisha Kupata, lakini pia kuna ushahidi mkubwa kuwa Paulo ndio muenezaji wa ukristo, pia hilo jina la kristo mwenyewe YESU hakuta kuitwa kristo ila Paulo aka kaidi, pia wana theologia wana tambua uwepo wa vitabu ktk bibilia ambavyo hawajui nani kaviandika, hv ni dhahiri kusema kuwa wakristo wasoma kitu kisicho julikana na ni chakubuni, pili bibllia ni kitabu ukikisoma kwa akili timamu utagundua kuna ukweli una pindishwa, hebu jiulize kitu
Ikiwa YESU ka sali ktk SINAGOGI ni kwa nini wakristo wana sali ktk KANISA ?,
Na nina aliye waambia wakristo wa sali ktk KANISA?,
Ikiwa YESU alitaka waumini wake wa sali ktk KANISA ni kwa nini yeye hakuwaambia wanafunzi wake wayajenge ili wafanyie ibada ?,
in short hili neno KANISA halikutumika hapo kabla,
na neno KANISA maana yake ni mkusanyiko na siyo nyumba ya ibada au sehemu ya ibada.
na hapo mkuu ndipo tunapo rudi pale pale Paulo kafanya mengi sana ktk bibilia na ndio ka u shape huu ukristo, Kwa mantiki hiyo hii aya 3:15 wagalatia, ina maana kubwa sana, Paulo alihubiri ukristo antiokia na mfalme Agripa aka kataa,.

Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi;
1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?
2. Mwanzo 6 - 10 kuna stori maarufu ya Nuhu. Hii ni stori ina ukakasi zaidi. Nikiandika maswali yote niliyojiuliza uzi utakuwa mrefu. Ninashauri mkaisome ili tuifungulie uzi wake.
3. Kutoka 11:5-6 kuna maandiko yanayosema kuwa wazaliwa wa kwanza wote wa wamisri kwa upande wa binadamu hadi wanyama watauwawa na Mungu mwenyewe ili waisraeli wapewe ruhusa ya kwenda nchi ya ahadi. Kiukweli haya yalikuwa ni mauaji ya halaiki kwa wasio na hatia. Unaambiwa hadi mzaliwa wa kwanza wa mbuzi, kuku, ng'ombe, mbwa na farasi waliuwawa. Kwanini isingetumika njia nyingine hao waisraeli wakaondoka?
4. Kitabu kizima cha Joshua kimejaa stori za mauaji matupu. Ikumbukwe Joshua alichukua nafasi ya Musa kwenye kuwaingiza waisraeli nchi ya ahadi baada ya kifo cha Musa. Nchi waliyoahidiwa ilikuwa tayari ina wakazi wake ambao ilibidi wauwawe wote ili kuwapisha waisraeli. Hivi ilishindikana vipi kufanya kama alivyofanya Mama Samia kuwatoa wamasai Ngorongoro na kuwapeleka Msomera kwa amani kabisa bila kumwaga damu? Kama leo 2024 bado kuna maeneo duniani hayajakaliwa na binadamu ilikuwaje enzi za Joshua? Ukisoma kitabu cha Joshua utaona kila sehemu waliyopita walikuwa wakiua wenyeji watakaowakuta. Kulikuwa na sababu zipi za msingi za mauaji haya yote?
5. Ayubu 1:6-12 utaona stori ya shetani alipojiunga na wana wa Mungu kupita mbele ya Mungu kumwabudu hadi Mungu akashangaa imekuwaje shetani akawa eneo lile? Baada ya hapo Mungu na Shetani wakakubaliana kwenda kumjaribu Ayubu kwa sharti la kutogusa mwili wa ajabu (kumuua). Katika yale majaribu watoto wa Ayubu waliuwawa na shetani. Naweza kusema ni mauaji yaliyokuwa na approval toka juu. Ilikuwa kazi maalum. Je, sio kwamba wawili hawa hukutana na kukubaliana baadhi ya mambo? Sio kwamba kuna kazi za shetani zina kibali maalum?
Acheni masihara kurani yenyewe ni tupu ogopa haijiwezi kabisa na ndio maana inasaidiwa na hadithi njoo ueongo njoo tamu kolea,Sikia mkuu, Quran kariim ipo clearly, haiitaji roho mtakatifu bali akili, ulichoweka hapo si ulicho kisema, alafu kila siku mna sahihishwa lakini wapi, hakuna swali ambalo Quran kariim haija jibu, Quran kariim ni maneno ya Allah, ipo wazi, jibril ni malaika wa ALLAH na Shetani ni adui wa wanaadamu, je Quran kariim haija sema hivo?, (ndio hoja yako ipo hapo?
Maswali yako yote Yana majibu Sema umeamua kusoma bila kuelewaKwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?
Ndio maana nasema kila siku wakristo hamuwezi itetea bibilia kwa sababu bibilia haitetewi in nature lazima utaangukia pua, hiyo quraan haiwezi kuwa ngao yako hata siku moja maana Quran ipo well clearly,Acheni masihara kurani yenyewe ni tupu ogopa haijiwezi kabisa na ndio maana inasaidiwa na hadithi njoo ueongo njoo tamu kolea,
Kurani bila hadithi ni nyeupe kabisaa, utaishia kukariri tu maneno maana mafundisho mengi yapo kwenye hadhithi
Na hadithi ni hadithi tu, uongo ni mwingi
Haiwezekani huyo huyo mtume kashushiwa Kuruani, akaandika ila hauambiwi hadithi kashushiwa na nani, kwa hiyo hadithi ni stori zake za kutunga maana hakushushiwa popote
Sio kweli, kama yapo hayo majibu leta hapa, na mimi nina maswaliMaswali yako yote Yana majibu Sema umeamua kusoma bila kuelewa