Acha blah blah wewe.Biblia huwezi kuisoma kama vitabu vingine ukaielewa. Kuna vitu vinaitwa parables na allegories nyingi kwenye biblia na pia unahitaji neema ya Mungu ikuangazie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha blah blah wewe.Biblia huwezi kuisoma kama vitabu vingine ukaielewa. Kuna vitu vinaitwa parables na allegories nyingi kwenye biblia na pia unahitaji neema ya Mungu ikuangazie
umeniwahi nilitaka kumuuliza swali kama hilo pia.Mkuu mbona haya maswali yote yana majibu, unasoma kweli biblia vizur au una rukaruka?
Qur 10-94.....Inasema na ikiwa unayo shaka katika tuliyokuteremshia,basi waulize wasomao kitabu kabla yako.kwa yakini imekwisha kujia haki kutoka kwa Mola wako mlezi.basi usiwe miongoni mwa wenye shaka:Haya wapi hiyo Aya imetaja biblia?Haya soma hii,Qur 11-110:Na kwa yakini tulimpa Musa kitabu ,zikazuka khitilafu ndani yake.Sasa wewe na Muhammad na Allah Nani anajua biblia vizuri kama wewe unajua kuliko Muhammad na Allah basi Waislam wakufuate wewe sio maneno ya Allah na Muhamad kama alivyosema kwenye Quran 10:94
Kabla ya Quran kuja kuandikwa Karne ya 6 kulikua na kitabu gani kabla?Qur 10-94.....Inasema na ikiwa unayo shaka katika tuliyokuteremshia,basi waulize wasomao kitabu kabla yako.kwa yakini imekwisha kujia haki kutoka kwa Mola wako mlezi.basi usiwe miongoni mwa wenye shaka:Haya wapi hiyo Aya imetaja biblia?Haya soma hii,Qur 11-110:Na kwa yakini tulimpa Musa kitabu ,zikazuka khitilafu ndani yake.
Allah aya ya kwanza anasema waulize waliosoma kitabu kabla yako je ni kitabu gani icho mwanzo ambacho aliambiwa Muhammad awaulize wasomao kitabu kabla yakeQur 10-94.....Inasema na ikiwa unayo shaka katika tuliyokuteremshia,basi waulize wasomao kitabu kabla yako.kwa yakini imekwisha kujia haki kutoka kwa Mola wako mlezi.basi usiwe miongoni mwa wenye shaka:Haya wapi hiyo Aya imetaja biblia?Haya soma hii,Qur 11-110:Na kwa yakini tulimpa Musa kitabu ,zikazuka khitilafu ndani yake.
wewe mwenyewe mbona usharukarukaMkuu mbona haya maswali yote yana majibu, unasoma kweli biblia vizur au una rukaruka?
Nipe uhakika juu ya adui wa Jibril, ni nani hasa adui wa Jibril?
Jibril ni malaika mwema, je malaika mwema anaweza kuwa na uaudui na malaika mwema mwenzie? Au wewe tuambie ni nani adui wa Jibril pengine sisi tumekurupuka kuthibitisha kuwa ni shetani
Wewe hangaika na hadithi zenu za kale, mythology,huku kuna wasomi wabobevuHiki kichaka mnachojifichia tumeshakichoma. Njoo na sababu nyingine
Endelea na imani yako yenye hadithi za kale, myths, huku kuna wasomi wabobevuAcha blah blah wewe.
Nakushukuru baba wa mbingu na nchi kwa kuwa mambo haya umeyaficha kwa wenye ''akili" na ukawafunulia walio kama watoto wadogo, naam ndicho ilivyo kupendeza....Hii kauli huwa naitilia sanaa mashaka.
1. Nimesoma vitabu kibao kama vya Robert Koyasaki na NIMEVIELEWA
2. Nimesoma kitabu cha dini ya kihindi (Biblia ya Hindu) na nimeielewa.
3. Kwanini Biblia yetu sisi wakristo HUWA UNAJIFICHIA HAPA???
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Tourari,Zaburi,Injili.Kabla ya Quran kuja kuandikwa Karne ya 6 kulikua na kitabu gani kabla?
Shida ni kuitumia Akili ya Asili na wala sio ubobevu wa madarasa na vyuo,Mfano angalia wataalamu wetu kwenye upande wa siasa ikitajiwa Elimu zao unaogopa rudi kwenye maamuzi ndo utachoka ndo sawa na waumini wa kikristo wote mna Akili za kiPaulo paulo.Endelea na imani yako yenye hadithi za kale, myths, huku kuna wasomi wabobevu
Ndio biblia yenyewe sasa kwa mujibu wa Allah na Muhammad hivi vitabu vilikua sahihi Nani wakumwamini Allah na mtume wake Muhammad?au wewe Muislam wa masjid Taqwa,jitahidi kufanya reasoning tunajua uislam bila uongo unakufa ila tumia akili yako ya kawaida uchambue vitu vyenye logicTourari,Zaburi,Injili.
Itoshe kusema wewe huna akili. Unajua maana ya makubaliano? Kama alikubaliwa kwanini alipewa sharti la kutomuua Ayubu na akatii? Kusingekuwa na masharti tungesema kakubaliwa.Nikusahihishe kidogo,Mungu na shetani hawakukubaliana kwenda kumjaribu ayub,ni shetani alikubaliwa akamjaribu.Nafikir unaelewa tofauti ya kukubaliana na kukubaliwa
Kingine usisome biblia kwa kutumia akili za kidemokrasia,Mungu hana demokrasia.
Ndio maana tunasema yeye ni mkamilifu,maana yake kila anachofanya ni sahihi.
Wewe mlokole uchwara huna unalojua kuhusu biblia. Ungekuwa unajua ungekuja na majibu ya maswali yangu badala ya kuniuliza swali la kipuuzi.umeniwahi nilitaka kumuuliza swali kama hilo pia.
Paulo alikua msomi wasifu wake unasemwa kwenye biblia,Muhammad hajasoma ndomana alikua anaoloteza masimulizi atakayoyasikia kutoka kwa wakristo na kuyaweka kwenye Quran nani wakumwamini hapa huyu asuyejua kusoma aliyekuja karne ya 6 au Paulo aliyekuwepo na kuonana na mitume wa Yesu? Fatilia mambo acha kudanganywa Masjid TaqwaShida ni kuitumia Akili ya Asili na wala sio ubobevu wa madarasa na vyuo,Mfano angalia wataalamu wetu kwenye upande wa siasa ikitajiwa Elimu zao unaogopa rudi kwenye maamuzi ndo utachoka ndo sawa na waumini wa kikristo wote mna Akili za kiPaulo paulo.
Matuc hayaonesh kuwa unauelewa mkubwa kuhusiana na mada uliyoileta.Itoshe kusema wewe huna akili. Unajua maana ya makubaliano? Kama alikubaliwa kwanini alipewa sharti la kutomuua Ayubu na akatii? Kusingekuwa na masharti tungesema kakubaliwa.
Tusisome biblia kwa kutumia akili za kidemokrasia? Wewe ni mpumbavu na nusu. Mungu alisema USIUE lakini kwenye biblia kuna ushahidi usiotia shaka kuhusika kwake na mauaji mengi mno. Wana wa Israel wote walifia jangwani isipokuwa Joshua na Kalebu pamoja na watoto wadogo hasa waliozaliwa jangwani.
Angalau kwa biblia ila Kuna kitabu hiko Kuna Aya hadi leo inanifikirisha sana na sielewi kwanini wafuasi wake wanakaza shingo kukiamini
Qu'ran 2:97
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Nani ni adui wa Jibril? Jibu ni shetani
Kwanini shetani ateremshe Quran na tunaambiwa kuran ni tukufu?
Hili swali haitatakea nikapata jibu la kuridhika
Swali lako la kwanza limejibiwa injili Yohana 1:1-3UZI UNAHUSU BIBLIA HALAFU WENDAWAZIMU WACHACHE WANAANZA KUBISHANIA QURAN? Kwa akili hizi tutafika kweli kama nchi?