MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Lakini katiba haijasema chochote kuhusu nini kitatokea baada ya kutoa maoni.Sio kwel mkuu,mliki naye anamakandokando mengi ndio maana katoka mbio kuomba radhi ,lakin kikatiba jamaa Yuko sawa maana katiba inasema kila mtu Yuko huru kutoa maoni yake tena haisemi atolee wapi . Lakin mkuu unazani tutakuwa na taifa la waoga kiasi hiki mpaka lini??