Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Ungetuzingua kutulipa pesa yetu tungekufanyia kitu mbaya sn usingesahau maishani mwako na usifikiri tumefata Hii pesa sababu tuna njaa nayo Sana, Bali tulitaka tukufundishe adabu kuheshimu makubaliano tuliyokubaliana.
Vitisho vyoote kumbe hewa tu...
 
Kuna jamaa yangu aliwekewa dawa hio japo hata Mimi siijui kwenye redbull na mzigo akala fresh kisha akalala mpk saa tano ulikuwa weekend demu kasema na simu na card za bank katoa hela karibia mikoa minne M 10
sasa hiyo inatolewa heka mpka milioni 10 yeye alishndwa vip kui block hyo card
 
Narudi hivi punde...
 
Alitakiwa aisolve vipi mkuu, toa tips Nini kifanyike maana kesi bado mbichi hii na Dom hajarudi
kesi yake ni nyepesi mno sababu polisi hapo wana source ya intel za kutosha hasa kupitia namba za simu kwani wanatafuta watu 2 wenye kesi ya mtu mmoja na ote wameacha lead ya pakuanzia

Hivyo hata kama simu zimezimwa zote 2 lakini kupitia hizo line police lazma watrack location zao wanazokaa mda mrefu plus picha zao lazma ziwepo so ni simple tu ni swala la kwenda kuwabeba kama kondooo

pia wanaweza dakwa watu wao wa karibu mfano unaambiwa mama yako amedakwa yuko central haachiwi mpka uje,mwenyewe utajipeleka tu au awalete mpaka ulipo

muhimu watangaze dau kwa wazee ili kazi yao ifanyike haraka hata leo wanadakwa.
 
Kumbe na viongozi wa dini nao ukutwa madhira Kama yetu raia waovu [emoji1787][emoji1787]

Sipati picha hayo manung'uniko na majuto Yake,uskute zlkua Ni sadaka za waumini[emoji38]
🤣🤣🤣, padri alikuwa mgeni angekuwa mwenyewe asingepigwa kizembe hivyo na mtoto wa singida, ila huyo dada alijua kuzichezea hizo hela jamani after 1yr analia njaa akauza kila kitu akatokomea sijui oman
 
One on two....

Nanukuu,

"Punde SI punde marafiki zake binti wakafika, Basi ikawa Ni wanaume 3 na wanawake 3, mezani kumebalance. Basi Pombe zikaongezwa na nyama zikawa Ni mwendo wa bandika bandua mpk MDA flani nimeimaliza bapa ya 2,nmeianza bapa ya 3 nainuka Kwenda chooni haja ndogo, nikaanza kujihisi Kama network kichwani hazisomi vizur, najhs kizunguzungu."

Siku nikifanya hayo mliyo yafanya wewe, muhaya na mnyakyusa ntajiona na mdhambi zaidi ya shetani.....😀😀😀😀

Siku Moja nilipatwa na tukio sijawai kusimulia mtu mfukoni nilikua na kama laki 5,

Nikawa na appointment na rafik angu let say y nikiwa ma msubir mida ya saa Moja na nusu kuelekea mbili usiku lile eneo nilikua stranger....
Nikatafuta kijieneo nikae walau nisogeze muda wa kumsubir rafik angu y
Nikaona sehemu ya wazi wameweka viti na watu wanapata kinywaji so nikajongea Nika agiza flying fish Moja nikaanza kuinywa......
Yule mdada akaona Nina mapene mfukoni so akaja akawa ananisemesha na kunizoea am 4 real nipo cool na sinaga shobo na mazoea....
Nikamaliza flying fish Moja nikamwambia aniongeze ingine kumbuka jamaa y still hajafika....................
Nilipo kua naendelea kuburudika flying fish ya pili...
Wakawa wanapita jamaa watatu wanaonyesha wamelewa sana gafla mmoja wao alipo fika kwenye MEZA Kwa bahati mbaya akaigonga grass yangu ikadondoka chini....
Jamaa wakaniomba radhi muhudumu akaja akanibadilishia grass ikiwa na unyevu unyevu.....

Nikamimina kinywaji chote kwenye grass na kukinywa na kukimaliza....Nikapata wazo fasta ninyanyuke niende nyumbani nikanyanyuka nikaenda kupanda bajaji......

Nikafk mitaa ya karibu na home najulikana pale Huwa naendaga several times nikaenda sehemu wanauzaga chips mishikaki na kuku
Nika agiza waniandalie nikatafuta position ya pembeni kwenye kiti nikakaa....
Lahaula!! Nilikuja kuamka saa 8 usiku nikashituka nilileta tahamaki nyumbani kwetu...Kwa wife missed call kama 100 maana haikua kawaida 🤓😊
Kujisachi Kila kitu changu kipo sawa na kumbukumbu zangu hazina twakwimu ndipo nikaenda kwangu nili tafakar sana hiki kitendo....wale watu waliniwekea madawa SEMA Mwenyezi MUNGU alikua upande wangu....
 

Ha ha ha......dhambi iko wapi? Mbona kawaida kiongozi,Mambo ya ulevi Yana mengi sana[emoji4]
 
Inaonekana mhudumu uyo nae anahusika kwny huo mchezo, kvp analeta glass yenye unyevu,pia hao jamaa hawakujua ungeondoka fasta
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], padri alikuwa mgeni angekuwa mwenyewe asingepigwa kizembe hivyo na mtoto wa singida, ila huyo dada alijua kuzichezea hizo hela jamani after 1yr analia njaa akauza kila kitu akatokomea sijui oman
Apo padri aliziombea albadiri ya kikatolic[emoji4]
 
Wapiga maji tunasafari ndefu,zimenikuta mara mbili issue kama izo.Uveteran unanisaidia nashtuka asubuhi nipo guest niliyochukua nmefunga mlango ila nmeshndwa kupanda kitandani mbu zimenipiga kinoma.

Muhimu sehemu ngeni tujitahidi kutafuta machimbo yaliyotulia(ya wastaatabu)mara ya tatu Mpanda nilipigwa kisenge sana niliuza mechi na kuchapwa 50k sema nashkuru aliniachia pochi ATM card na vitambulisho vyote muhimu.
Ten yrs now nmekuw matured siwezi ishi life kama hilo coz majukum ya kifamilia na kiutafutaji yanatubadilisha

Mungu mkubwa tunaishi
 
Sio vichwa vinatofautiana jamani??. anyway wakazi wa huu mji sio wa kuwatetea ni vibaka na wakora Sana....hapo jamaa kanyweshwa valium bila kupenda
Siku zote ukiwa kwenye motion kilevi hakiwezi kikuchukua.....

Kuhusu valium Kuna jamaa walikua wanachanganya vidonge 10 kwenye kiroba (pombekali) na still wanapata normal vibe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…