Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Sahii kabisa, hivi kiongoz inawezekana vp mtu akazima vile Bila kuchangia chochote?
Usiasahau pombe nazo zinazimisha hadi network inakata kabisa. Ijapokuwa uchawi (madawa ya kulevya) unaweza ukawa umeachangia lakini kwa ulevi ule waliokunywa hadi saa 8 alfajiri, kuna uwezekano mkubwa pombe kikawa chanzo.

Nahisi pia baada ya kuibiwa kijinga anaweza kujitetea kama alivyosema ili kuficha udhaifu wake. Haiwezekani mtu uwe hujitambui tangu ukiwa BAR halafu ufufukie LODGE, never. Kama angefufukia pale pale bar, ninemuelewa.

Huyo mhaya anajaribu kuficha uadhaifu wake kwa kuwa hawa watani zetu huwa wanapenda sana kujimwambafai.
 
I'll kweli aisee,jamaa Alikua na misifa Sana
Anavoita mhudumu Ni mwendo wa kufoka foka Ili mradi wote bar wajue wako na mtu wa serikali[emoji4]
 
Usiasahau pombe nazo zinazimisha hadi network inakata kabisa. Ijapokuwa uchawi (madawa ya kulevya) unaweza ukawa umeachangia lakini kwa ulevi ule waliokunywa hadi saa 8 alfajiri, kuna uwezekano mkubwa pombe kikawa chanzo.

Nahisi pia baada ya kuibiwa kijinga anaweza kujitetea kama alivyosema ili kuficha udhaifu wake. Haiwezekani mtu uwe hujitambui tangu ukiwa BAR halafu ufufukie LODGE, never. Kama angefufukia pale pale bar, ninemuelewa.

Huyo mhaya anajaribu kuficha uadhaifu wake kwa kuwa hawa watani zetu huwa wanapenda sana kujimwambafai.
Sema pia huenda hayambo yapo kweli maana hata pale polisi wanasema kesi ya mhaya kupigwa tukio pale pale bar limekua la 3
 
Sema pia huenda hayambo yapo kweli maana hata pale polisi wanasema kesi ya mhaya kupigwa tukio pale pale bar limekua la 3
Hakomi....ngoja makahaba waendelee kumfilisi ili liwe fundisho kwa wengine
 
Yaani ni bora wangetupilia kesi mbali maana kuwapata wale malaya labda wafanye upelelezi kwa mhudumu au wahudumu wa ile Bar na wawape hongo ili watoe code za wale makahaba.
Hilo wazi Kuna mtu pia kanipa, kingine inasemekana wale makahaba michongo ile hula na polisi wakistukiwa
 
Vijana walevi mna mambo mengi sana. Unavyosimulia jinsi mlivyokua mnakunywa mipombe hiyo as if ni kitu kitamuuu!

Tusiokunywa tuna maisha matamu sana. Outing ni hotel nzuri, mnaagiza chakula kizuri na vinywaji safi then ukitoka hapo uko flesh physically and emotionally...unaenda kula mbususu Kwa kadri ya nguvu zako.

Unakua huna risk za kudhalilika kama hizo.
 
Kuopoa demu Sinza na kwenda kumalizia bata Tabata mixer kuchanganya beer na pombe kali, hiyo tayari ni dawa tosha mkuu.
Ukizubaa lazma umezwe coz hizo zote ni danger zones.
 
Wakuu,

Kuna Ela nilikua nidai Taasisi flan MDA mrefu Sana Bila kulipwa, baada makao makuu kuhamishiwa dodoma na boss husika niliefanya nae hiyo biashara kuhamishiwa wizara nyngn, Basi matumaini ya kulipwa tena Ela ile yakawa kama yameyeyuka kabsa.

Maana Boss aliepo anadai Ile biashara anaitambua ila haikufuata utaratibu rasmi wa ofisi,hawezi kuidhinisha hayo malipo kwa Sasa. Anashughulikia kwanza madeni aliyoyakuta yaliyo ktk utaratibu rasmi.

Basi Katika fatilia sn Deni Lile makao makuu, nikakutanishwa na jamaa wawili wa ofisi ile ile wakaahidi kunisaidia Hadi nilipwe, ila mkono mtupu haulambwi, wakifanikisha nikalipwa, 30% itakua ya kwao. Nikasema POA, Haina shida pambaneni nirudishe hata nusu hasara.

Jumatatu asbh wakanipigia kua muamala tayar,tutumie chetu,nikawaambia sijaona sms yoyote ya bank deposit, Wakasema check salio, kuangalia hamna kilichoongezeka. Pesa ilkuja kuingia usiku saa 3, nikawapigia nmeiona ntawatumia mgao wenu kwny Simu zenu kesho asbh na mapema Sana.
Wakasema POA.
Madawa ya kienyeji a.k.a. uchawi
 
Dawa zingine zinapatikana pharmacy simple tu zinaitwa Valium[emoji769](Diazepam) zinatumika kutuliza watu ambao wako aggressive kama vichaa au mtu mwenye Convulsions(pepopunda). ukipewa hio dawa unalala fofofo. Ukiwekewa kwenye kinywaji lazima ukate moto ipo ya vidonge na sindano pia
 
Back
Top Bottom