Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahii kabisa, hivi kiongoz inawezekana vp mtu akazima vile Bila kuchangia chochote?Ndio hivyo tena; ajifunze kustarehe Dar kwa adabu.
Usiasahau pombe nazo zinazimisha hadi network inakata kabisa. Ijapokuwa uchawi (madawa ya kulevya) unaweza ukawa umeachangia lakini kwa ulevi ule waliokunywa hadi saa 8 alfajiri, kuna uwezekano mkubwa pombe kikawa chanzo.Sahii kabisa, hivi kiongoz inawezekana vp mtu akazima vile Bila kuchangia chochote?
I'll kweli aisee,jamaa Alikua na misifa SanaUsiasahau pombe nazo zinazimisha hadi network inakata kabisa. Ijapokuwa uchawi (madawa ya kulevya) unaweza ukawa umeachangia lakini kwa ulevi ule waliokunywa hadi saa 8 alfajiri, kuna uwezekano mkubwa pombe kikawa chanzo.
Nahisi pia baada ya kuibiwa kijinga anaweza kujitetea kama alivyosema ili kuficha udhaifu wake. Haiwezekani mtu uwe hujitambui tangu ukiwa BAR halafu ufufukie LODGE, never. Kama angefufukia pale pale bar, ninemuelewa.
Huyo mhaya anajaribu kuficha uadhaifu wake kwa kuwa hawa watani zetu huwa wanapenda sana kujimwambafai.
Sema pia huenda hayambo yapo kweli maana hata pale polisi wanasema kesi ya mhaya kupigwa tukio pale pale bar limekua la 3Usiasahau pombe nazo zinazimisha hadi network inakata kabisa. Ijapokuwa uchawi (madawa ya kulevya) unaweza ukawa umeachangia lakini kwa ulevi ule waliokunywa hadi saa 8 alfajiri, kuna uwezekano mkubwa pombe kikawa chanzo.
Nahisi pia baada ya kuibiwa kijinga anaweza kujitetea kama alivyosema ili kuficha udhaifu wake. Haiwezekani mtu uwe hujitambui tangu ukiwa BAR halafu ufufukie LODGE, never. Kama angefufukia pale pale bar, ninemuelewa.
Huyo mhaya anajaribu kuficha uadhaifu wake kwa kuwa hawa watani zetu huwa wanapenda sana kujimwambafai.
Hakomi....ngoja makahaba waendelee kumfilisi ili liwe fundisho kwa wengineSema pia huenda hayambo yapo kweli maana hata pale polisi wanasema kesi ya mhaya kupigwa tukio pale pale bar limekua la 3
Kapigwa parefu mno,ofsa kawa mpole Kama kanyeshewa[emoji4]Hiyo inaitwaga karibu mjini, malaya kamuotea parefu milioni 2.5 mzee na kumpata ndiyo hawezi.
Yaani ni bora wangetupilia kesi mbali maana kuwapata wale malaya labda wafanye upelelezi kwa mhudumu au wahudumu wa ile Bar na wawape hongo ili watoe code za wale makahaba.Kapigwa parefu mno,ofsa kawa mpole Kama kanyeshewa[emoji4]
Hilo wazi Kuna mtu pia kanipa, kingine inasemekana wale makahaba michongo ile hula na polisi wakistukiwaYaani ni bora wangetupilia kesi mbali maana kuwapata wale malaya labda wafanye upelelezi kwa mhudumu au wahudumu wa ile Bar na wawape hongo ili watoe code za wale makahaba.
Daaah hii ishakuwa nungwa yaani jamaa mhaya atajifunza na ushamba utaisha.Hilo wazi Kuna mtu pia kanipa, kingine inasemekana wale makahaba michongo ile hula na polisi wakistukiwa
Kuna la kujifunza Hapa[emoji848]
Inamaana mkuu hi michezo kumbe IPO Toka kitambo?
Madawa ya kienyeji a.k.a. uchawiWakuu,
Kuna Ela nilikua nidai Taasisi flan MDA mrefu Sana Bila kulipwa, baada makao makuu kuhamishiwa dodoma na boss husika niliefanya nae hiyo biashara kuhamishiwa wizara nyngn, Basi matumaini ya kulipwa tena Ela ile yakawa kama yameyeyuka kabsa.
Maana Boss aliepo anadai Ile biashara anaitambua ila haikufuata utaratibu rasmi wa ofisi,hawezi kuidhinisha hayo malipo kwa Sasa. Anashughulikia kwanza madeni aliyoyakuta yaliyo ktk utaratibu rasmi.
Basi Katika fatilia sn Deni Lile makao makuu, nikakutanishwa na jamaa wawili wa ofisi ile ile wakaahidi kunisaidia Hadi nilipwe, ila mkono mtupu haulambwi, wakifanikisha nikalipwa, 30% itakua ya kwao. Nikasema POA, Haina shida pambaneni nirudishe hata nusu hasara.
Jumatatu asbh wakanipigia kua muamala tayar,tutumie chetu,nikawaambia sijaona sms yoyote ya bank deposit, Wakasema check salio, kuangalia hamna kilichoongezeka. Pesa ilkuja kuingia usiku saa 3, nikawapigia nmeiona ntawatumia mgao wenu kwny Simu zenu kesho asbh na mapema Sana.
Wakasema POA.