Hofu yenu kwa Umoja Party ni jibu tosha

Hofu yenu kwa Umoja Party ni jibu tosha

Ninaachaje chama kinachohubiri "UMOJA"?? kule kijani wabaki wanaojiita wenye chama,walamba asali. Sisi wanyonge na malofa jahazi letu limeshatia nanga
 
Jamani mmesema CCM imerudi kwa wenyewe tumekubali wacha tujaribu Umoja Party kelele tayari hao mnaowaita sukuma gang ni taifa kubwa sivyo mnavyodhani. Anzia Tabora, nenda Geita, Shinyanga, Mwanza, Musoma na Bukoba yote hiyo ndio Sukuma gang. Usisahau kwamba Sukuma na Wanyamwezi ndio wengi ukirudi nyuma na kuwasomba majeruhi Ndugai, Profesa Pala na wengineo unapata think tankers wa uhakika. Wapitishe usajili wa muda waone ndani ya mwezi mmoja kama hawatasajili milioni kumi
 
Anawajua Umoja party?
Pythagoras usisahau kuwa Mh. Zitto alilia na kutoa machozi bungeni akilalamika Mama yake kusemwa watu waliheshimu wakamuacha, ila kaa hili dude kaliamsha watu wanasema kama ndiyo hivyo basi Mh. Zitto na yeye aende akazikwe na Mama yake huko Mwandiga na ikiwezekana asijilize maana kufa kwa Mama yake wahanga wa uchawi wake walishangilia kifo cha Mama yake
 
Bahati mbaya nipo mbali ningeweza kukupa ushahidi. Baada ya leo kusikika mitaani kwamba kuna chama kimeanzishwa cha JPM wafuasi wake pale sokoni kilombero Arusha kina mama wafanya biashara waliitana na kuunda kamati ya watu watatu haraka waende Dar kufuatilia kadi na hawa kina mama wapo wengi zaidi ya 3000 kwa hiyo msidharau kuiita Sukuma gang italeta kilio very soon na pia nasubiri kadi
 
Haaah haaah!!we waache tu Waendelee kuleta madharau,watashangaa kitakachotokea mwisho wa siku
 
Hivi hadi sasa kuna vyama vingapi vya siasa vyenye usajili?

Nchi inapenda siasa kuliko maendeleo
 
Chama cha siasa siyo kundi la watu wanaofuatana kinyumbunyumbu, lazima kiwe na itiikadi na sera zinazoeleweka kwa mustakabali mwema wa taifa.
Kutofautiana kwa uongozi kwa sababu ya maslahi au mapenzi ya kikundi kidogo ndani ya chama siyo sababu ya kuanzisha chama kingine.
Kama umoja party imeanzishwa kwa sababu tu ya ufuasi wa Magufuli basi hicho kitakuwa siyo chama chanye watu wenye kuona mbali.
 
Somo lako limechelewa kutufikia sisi tumeshafanya maamuzi tusipangiane.Nina mahaba mazito na UMOJA PARTY.Siku zote tumekuwa tukiimba wimbo wa demokrasia na ndio hii.

Tuacheni tutekeleze haki yetu ya msingi kwa utulivu na amani ukizingatia hatujavunja sheria za nchi.

Kwani mnateseka?
 
Haya ndiyo yalikuwa majambazi kipindi Cha jiwe!!
Yeye mwenyewe ndio jambazi namba moja.

IMG_20211028_135238_003.jpg
 
Somo lako limechelewa kutufikia sisi tumeshafanya maamuzi tusipangiane.Nina mahaba mazito na UMOJA PARTY.Siku zote tumekuwa tukiimba wimbo wa demokrasia na ndio hii.

Tuacheni tutekeleze haki yetu ya msingi kwa utulivu na amani ukizingatia hatujavunja sheria za nchi.

Kwani mnateseka?
Haujawahi kuwa na msimamo hata siku moja, wewe ulihama ccm kwenda Chadema kumfuata Lowasa, mlipokosa mlichofuata wote mkarudi ccm, na huko ccm chama kimerudi mikononi mwa wenyewe sasa mmekuwa kama malaya mnatapatapa tu.

Hopeless kabisa.
 
Chama sijasikia sera zake kimeshanipa midadi.
 
Haujawahi kuwa na msimamo hata siku moja, wewe ulihama ccm kwenda Chadema kumfuata Lowasa, mlipokosa mlichofuata wote mkarudi ccm, na huko ccm chama kimerudi mikononi mwa wenyewe sasa mmekuwa kama malaya mnatapatapa tu.

Hopeless kabisa.
Msimamo wangu mimi ni akili yangu halafu nitake radhi sijawahi kuwa katika chama cha kihunihuni.
 
Somo lako limechelewa kutufikia sisi tumeshafanya maamuzi tusipangiane.Nina mahaba mazito na UMOJA PARTY.Siku zote tumekuwa tukiimba wimbo wa demokrasia na ndio hii.

Tuacheni tutekeleze haki yetu ya msingi kwa utulivu na amani ukizingatia hatujavunja sheria za nchi.

Kwani mnateseka?
Tunahitaji kuwa watu wanaofikiri, kuamua na kutenda kwa sababu ya maslahi mapana ya jamii yetu na taifa kwa ujumla.
Demokrasia sawa, pia akili zetu zitumike katika hiyo demokrasia.
Siasa za ufuasi wa kinyumbunyumbu ziepukwe. Umasikini wa taifa unatokana na kukosa fikra sahihi.
 
Back
Top Bottom