fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shauri yako!Wewe ni msukule hajitambui
Pythagoras usisahau kuwa Mh. Zitto alilia na kutoa machozi bungeni akilalamika Mama yake kusemwa watu waliheshimu wakamuacha, ila kaa hili dude kaliamsha watu wanasema kama ndiyo hivyo basi Mh. Zitto na yeye aende akazikwe na Mama yake huko Mwandiga na ikiwezekana asijilize maana kufa kwa Mama yake wahanga wa uchawi wake walishangilia kifo cha Mama yakeAnawajua Umoja party?
Bahati mbaya nipo mbali ningeweza kukupa ushahidi. Baada ya leo kusikika mitaani kwamba kuna chama kimeanzishwa cha JPM wafuasi wake pale sokoni kilombero Arusha kina mama wafanya biashara waliitana na kuunda kamati ya watu watatu haraka waende Dar kufuatilia kadi na hawa kina mama wapo wengi zaidi ya 3000 kwa hiyo msidharau kuiita Sukuma gang italeta kilio very soon na pia nasubiri kadi
Huu huzi nimeukubali lazima niupate najua hiki chama kitakomba ukoo wangu wote.
Somo lako limechelewa kutufikia sisi tumeshafanya maamuzi tusipangiane.Nina mahaba mazito na UMOJA PARTY.Siku zote tumekuwa tukiimba wimbo wa demokrasia na ndio hii.Chama cha siasa siyo kundi la watu wanaofuatana kinyumbunyumbu, lazima kiwe na itiikadi na sera zinazoeleweka kwa mustakabali mwema wa taifa.
Kutofautiana kwa uongozi kwa sababu ya maslahi au mapenzi ya kikundi kidogo ndani ya chama siyo sababu ya kuanzisha chama kingine.
Kama umoja party imeanzishwa kwa sababu tu ya ufuasi wa Magufuli basi hicho kitakuwa siyo chama chanye watu wenye kuona mbali.
Yeye mwenyewe ndio jambazi namba moja.Haya ndiyo yalikuwa majambazi kipindi Cha jiwe!!
Haujawahi kuwa na msimamo hata siku moja, wewe ulihama ccm kwenda Chadema kumfuata Lowasa, mlipokosa mlichofuata wote mkarudi ccm, na huko ccm chama kimerudi mikononi mwa wenyewe sasa mmekuwa kama malaya mnatapatapa tu.Somo lako limechelewa kutufikia sisi tumeshafanya maamuzi tusipangiane.Nina mahaba mazito na UMOJA PARTY.Siku zote tumekuwa tukiimba wimbo wa demokrasia na ndio hii.
Tuacheni tutekeleze haki yetu ya msingi kwa utulivu na amani ukizingatia hatujavunja sheria za nchi.
Kwani mnateseka?
Msimamo wangu mimi ni akili yangu halafu nitake radhi sijawahi kuwa katika chama cha kihunihuni.Haujawahi kuwa na msimamo hata siku moja, wewe ulihama ccm kwenda Chadema kumfuata Lowasa, mlipokosa mlichofuata wote mkarudi ccm, na huko ccm chama kimerudi mikononi mwa wenyewe sasa mmekuwa kama malaya mnatapatapa tu.
Hopeless kabisa.
Tunahitaji kuwa watu wanaofikiri, kuamua na kutenda kwa sababu ya maslahi mapana ya jamii yetu na taifa kwa ujumla.Somo lako limechelewa kutufikia sisi tumeshafanya maamuzi tusipangiane.Nina mahaba mazito na UMOJA PARTY.Siku zote tumekuwa tukiimba wimbo wa demokrasia na ndio hii.
Tuacheni tutekeleze haki yetu ya msingi kwa utulivu na amani ukizingatia hatujavunja sheria za nchi.
Kwani mnateseka?
Wewe si ulikwenda Chadema na mafuriko ya Lowasa? au mnadhani records hazipo?Msimamo wangu mimi ni akili yangu halafu nitake radhi sijawahi kuwa katika chama cha kihunihuni.