mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 837
- 1,482
Truth is only threat to those who benefit from lies05 May 2024
Abdulrahman Kinana Amvaa Tundu Lissu Suala la Rais Mzanzibari, "Nani Amekataa?".
View: https://m.youtube.com/watch?v=zFJ1jRSRBXsLeo Mei 5,2024, Makamu Mwenyekiti wa CCM anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali zilizoibuliwa na upinzani ambazo CCM wameziita ni za kibaguzi dhidi ya Muungano.
Kinana amekuj na yeye aonekane yumoHata mimi nawashangaa watu ambao wanaona Kinana kajibu hoja.
Wakati wenzake amehoji ratio ya Wapiga kura na Majimbo yeye wanazungumzia idadi ya majimbo/wawakilishi.
Pia, Kile anachojaribu kuwatuhumu CDM kuwa wanachokita wao ndiyo kiwe ndicho hicho hicho wanachokifanya wao CCM.
Una manisha ThreatTruth is only treat to those who benefit from lies
Waliivaa kama ilivyo bila kuwa na strategies wakaangukia puaHakuna haki miliki ya hoja, kumbuka elimu bure ilikuwa ajenda ya cdm ccm wakarukia. Ama hujui unaoongea Nini dogo?
Au ahachiwe mwaburukusi kazi ya kumjibu kinanaNasubiri Spana za Wakili msomi Tundu Antiphas Mugwahi Lissu.
😊🙏Una manisha Threat
Tazama HILI KOBE LA ZAMBARAU! Jingaaa Nini weye kwahiyo nyie mna hati miliki ya hoja za nchi hii? Upuuzi kama huu peleka MWANDIGA huko nyambafu.Sera ya muungano ilikuwa hoja ya act wazakendo, sera ya muungano ilikuwa sera ya DP sasa hawa washenzi washaacha sera zao za kupambana na ufisadi na kupigania utalawala wa majimbo sasa wamerukia sera zingine kabisa yaani wanayumba ka ngama ya wakara
Inamaana hamjui kama hilo nalo ni BUMUNDA jipya? Mtu kanene Hadi mate ataongea Nini? HAPA ccm mmeweka galasa, LISSU anajipigia tu atakavyo yaani ni mwendo wa kuwabinua tu na hakuna mwenye hoja mbele ya LissuSasa kinana anaanza kujibishana na watoto wadogo akina lissu, makalla yuko wapi kufanya hiyo kazi, mie naona mama amrudishe sophia mjema
Mwenezi wa CCM YUKO WAPIKatika CCM ya sasa watu pekee ambao naweza kusema wana maarifa na uwezo wa kuweza kujibu hoja nzito za wapinzani na Watanzania ni Makamu Mwenyekiti wa chama Ndug. Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu Ndug. Emmanuel Nchimbi.
Kitendo cha Kinana leo kutoka na kumjibu Lissu kimeonesha kuwa japo huyu mtu sasa anazeeka ila bado ana uwezo mkubwa sana wa kujibu hoja za Wapinzania na angalau akaeleweka kwa Jamii ya watu wasomi wanaofikiri vizuri.
Pamoja na kuweza kuzijibu hoja za Tundu Lissu japo si kwa kiwango ambacho wengi walitegemea hasa kwenye maswali magumu ya Katiba yetu na masuala ya Muungano naweza kusema huko mbeleni suala la Katiba na Muungano zinaweza kuwa hoja ngumu sana kwa CCM
Maswali ya Lissu kuhusu wazanzibari kushika nafasi Tanzania Bara ambazo hazihusiani na masuala ya Muungano, pamoja na Katiba yetu kuwapa nguvu wanasiasa zaidi ya wataalam na kutoweka mazingira ya kuwawajibisha wanasiasa ni hoja nzito sana ambazo nina uhakika kwa kadri siku zinavyokwenda zitawapa wana CCM wakati mgumu sana katika kuzijibu.
Mimi ni CCM ila napenda kukiri kati ya Mambo ambayo ni lazima yafanyiwe kazi sasa ni:
1. Kukubaliana na Mawazo ya Marehemu Rais Karume kwa kuufanya Muungano wetu kuwa wa Nchi Moja na Serikali Moja
2. Kurekebisha Katiba iliyopo au kuja na Katiba mpya ambayo itaweka iwajibikaji wa Wanasiasa na Viongozi kwa Wananchi kiasi ambacho itamlazimu Kiongozi kuiheshimu na kuilinda katiba ambayo itambana kutofanya jambo lolote kinyume na Katiba.
We dogoTazama HILI KOBE LA ZAMBARAU! Jingaaa Nini weye kwahiyo nyie mna hati miliki ya hoja za nchi hii? Upuuzi kama huu peleka MWANDIGA huko nyambafu.
Kwenye Katiba na Muungano tutamuonea tu Kinana. Lile ni fupa gumu ambalo hakuna anayeweza kutoa majibu akaelewa awe ndani ya CCM au hata atoke mbinguni.
Kati ya vitu ambavyo CCM tunatakiwa kurekebisha haraka ni kuunda muungano wa Serikali 1 na nchi moja na kuweka Katiba Mpya.
Watu wakizidi kuamka kwenye haya huko mbeleni tutagawana mbao
Nyerere alifanya vile wakati wa dunia ya nchi zisizofungamana na upande wowote wakati wa dunia ya vita baridi.Mfumo huu wa Muungano ni wazo la Nyerere na wala halikuwa pendekezo la Karume.
Kwa hali ilivyo na tunavyoelekea huko mbele itakuwa shida sana kuutetea huu muungano hasa watanganyika wakiona kuna watu wananufaika zaidi na what is called Muungano kuliko wao.
Hata zinazosemwa kero za Muungano ukiangalia kwa undani suluhisho lake sio Serikali 2 au 3 bali ni Serikali 1
Kuna mambo kama tunaipenda lweli nchi yetu ni lazima tuyafanyie maamuzi sasa.
Kila mtu ana kwao Jumbe kwao ni mji mwema , Mwinyi kwao ni Mkuranga, Magufuli kwao Chato , Idrissa Wakil kwao Makunduchi, Seif Shariff Kwao ni Mtambwe, Nyerere kwao ni Butiama, , Salmini kwao ni Kidongo vipi uwape watu wote wa Zanzibar sehemu Za bara kuwa ndio kwao ??? hiyo ndiyo elimu ya CCM na kanisa kutaka kuvimeza visiwa. Hiyo Tanganyika ina laana kwa kuivamia Zanzibar na haiwezi kufanya lolote la maana mpaka iombe radhi kwa Zanzibar kwa kumwaga damu Za watu kwa maelfu au karma itawashika tu . Mliowavamia hawana nguvu wanamuelekea Mungu. Dua ya mnyonge hairudiNyerere alifanya vile wakati wa dunia ya nchi zisizofungamana na upande wowote wakati wa dunia ya vita baridi.
Hakutaka Zanzibar iwe ni mlango wa kuivuruga Tanzania katika masuala ya kiulinzi wakati ule wa Urusi na Marekani kuwa katika vita za chini kwa chini zisizokwisha.
Naamini ulinzi wa huku bara bado ni kipaumbele hata katika hii dunia yenye muelekeo tofauti wa kisiasa na miaka ile ya wakati wa uhuru.
Pia wazenji wengi wanadanganywa na waarabu wanaoishi nao huko visiwani. Asili yao ni huku bara na hilo wangelitambua kwa kina kabla ya kujiona 'Baab Kubwa'.
Upotoshaji mkubwa, toa reference wapi imeandikwa Nyerere alimfuata Karume kutaka Muungano? Nyie mmekuwa chawa sana sasa.Mfumo huu wa Muungano ni wazo la Nyerere na wala halikuwa pendekezo la Karume.
Kwa hali ilivyo na tunavyoelekea huko mbele itakuwa shida sana kuutetea huu muungano hasa watanganyika wakiona kuna watu wananufaika zaidi na what is called Muungano kuliko wao.
Hata zinazosemwa kero za Muungano ukiangalia kwa undani suluhisho lake sio Serikali 2 au 3 bali ni Serikali 1
Kuna mambo kama tunaipenda lweli nchi yetu ni lazima tuyafanyie maamuzi sasa.
Mambo madogo sana haya. Watanzania tuko 61 Million na ardhi yetu ina 945,000 Sqaure kilometres za ukubwa.Mfumo huu wa Muungano ni wazo la Nyerere na wala halikuwa pendekezo la Karume.
Kwa hali ilivyo na tunavyoelekea huko mbele itakuwa shida sana kuutetea huu muungano hasa watanganyika wakiona kuna watu wananufaika zaidi na what is called Muungano kuliko wao.
Hata zinazosemwa kero za Muungano ukiangalia kwa undani suluhisho lake sio Serikali 2 au 3 bali ni Serikali 1
Kuna mambo kama tunaipenda lweli nchi yetu ni lazima tuyafanyie maamuzi sasa.
Sasa shida ipo wapi?Upotoshaji mkubwa, toa reference wapi imeandikwa Nyerere alimfuata Karume kutaka Muungano? Nyie mmekuwa chawa sana sasa.
Baada ya Mapinduzi ya Zanzibar Karume ndiyo alimtafuta Nyerere kuomba Muungano. Na Karume alitaka Zanzibar uwe mkoa Nyerere alikataa. Sasa nyie waongo chawa mnatoka wapi na story ati Nyerere alitaka Muungano. Nyerere vile vile alifuatwa na Kenyatta na Obote waungane lakini Nyerere alikataa kuwa kinara.
Vitabu vipo kwa nini hamsomi
Kuna ushahidi upi wa Karume kumfuata Nyerere hayo ni maneno ya Nyerere hatujamsikiapo Karume kutamka hivyo. Hata hivyo kuna ushahidi wa Nyerere zamani kabla uhuru wa kuvichukia hivi visiwa na pia wa kuleta jeshi kuipindua na kuliweka jeshi lake kabla Huo uvamizi kupewa jina la muunganoSasa shida ipo wapi?
Kwani watu wanabishana kuhusu nani alimfuata mwenzake au muundo wa Muungano unaosababisha watu wengine kujiona hawana nafasi sawa na wenzao?
Elimu bure ilikua ni agenda ya Cuf mwaka 2000 chini ya LipumbaHakuna haki miliki ya hoja, kumbuka elimu bure ilikuwa ajenda ya cdm ccm wakarukia. Ama hujui unaoongea Nini dogo?