Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Kwa akil hiz bila shaka wewe ni masikini wa kutupwa kifikraKila mtu ana kwao Jumbe kwao ni mji mwema , Mwinyi kwao ni Mkuranga, Magufuli kwao Chato , Idrissa Wakil kwao Makunduchi, Seif Shariff Kwao ni Mtambwe, Nyerere kwao ni Butiama, , Salmini kwao ni Kidongo vipi uwape watu wote wa Zanzibar sehemu Za bara kuwa ndio kwao ??? hiyo ndiyo elimu ya CCM na kanisa kutaka kuvimeza visiwa. Hiyo Tanganyika ina laana kwa kuivamia Zanzibar na haiwezi kufanya lolote la maana mpaka iombe radhi kwa Zanzibar kwa kumwaga damu Za watu kwa maelfu au karma itawashika tu . Mliowavamia hawana nguvu wanamuelekea Mungu. Dua ya mnyonge hairudi
Kinana hajajibu hoja yoyote. Hoja alizotoa Lissu kule Babati ni mbili kama ifuatavyo:Ni Mwanasiasa mahiri zaidi kuwahi kutokea katika karne hii kwa Chama cha Mapinduzi. Ndo mana aliaminiwa kuwa campaing manager na Mkapa then Kikwete na akaongoza Jahazi kuongoza kampeni za Magufuli 2015.
Hofu yangu ni kama akiondoka CCM watapata wapi mtu wa haiba na uwezo wake? Maana hawa waliopo sasa na tunaowaona wote ni weupe kupindukia, wanaweza siasa za kiki tu na sio hoja!
Kuhusu uuzwaji wa Bandari aliweza kujibu na hata mimi nilimuelewa. Alijibu vizuri kilichofanyika na kinachofanyika Bandarini ni uwekezaji na sio uuzwaji. Akatoa mfano ilivyofanyika TBL na NMB.Kinana hajajibu hoja yoyote. Hoja alizotoa Lissu kule Babati ni mbili kama ifuatavyo:
1. Rais Samia ni mZanzibar - Kinana Kajibu nini? Kwamba ni kweli mZanzibar. Hiyo ni hoja ya kujibu??!!??
2. Rais wa serikali ya muungano MZanzibar amepata madaraka ya kuuza Bandari zote za Tanganyika kwa waarabu na kuziacha za Zanzibar kwa sababu ya mfumo wa Muungano ulivyo sasa. Pia Rais wa wa serikali ya Muungano mZanzibar amepata madaraka ya kufukuza watanganyika kwenye ardhi zoa za asili kwa sababu ya mfumo wa Muungano ulivyo hivi sasa. Ardhi na Bandari siyo mambo ya Muungano. Kinana amejibu hii hoja?
Wewe mwenye akili endelea kuaminishwa na Propaganda Za CCM kuwa Wazanzibari wote wana kwao baraKwa akil hiz bila shaka wewe ni masikini wa kutupwa kifikra
Siamini hilo. Mimi nina fikra huruWewe mwenye akili endelea kuaminishwa na Propaganda Za CCM kuwa Wazanzibari wote wana kwao bara
Abdu Kindovu kitembo tutakudai tembo wetu hadi uende kabiriniHata mimi nawashangaa watu ambao wanaona Kinana kajibu hoja.
Wakati wenzake amehoji ratio ya Wapiga kura na Majimbo yeye wanazungumzia idadi ya majimbo/wawakilishi.
Pia, Kile anachojaribu kuwatuhumu CDM kuwa wanachokita wao ndiyo kiwe ndicho hicho hicho wanachokifanya wao CCM.
Usiamini maana Magufuli kapelekwa kwao Mtwara kuzikwa, Nyerere kazikwa Bagamoyo , Lowassa kazikwa kwao ChatoSiamini hilo. Mimi nina fikra huru
Kwan wewe ukipewa kitimoto, nguruwe yan, utakulaa au huliii??Usiamini maana Magufuli kapelekwa kwao Mtwara kuzikwa, Nyerere kazikwa Bagamoyo , Lowassa kazikwa kwao Chato
Kwani Yesu alikula kiti moto?Kwan wewe ukipewa kitimoto, nguruwe yan, utakulaa au huliii??
Ilianza kutekelezwa baada ya msukumo wa cdm kwenye kampeni za 2010, ilipofika 2015 ccm wakawa hawana jinsi zaidi ya kuibeba.Elimu bure ilikua ni agenda ya Cuf mwaka 2000 chini ya Lipumba
Kwan Yesu alikula chipsi yai?Kwani Yesu alikula kiti moto?
Mkuu ilianza kutekelezwa kabla hata ya mwaka 2003 kwa ngazi ya shule za msingi karo kwa shule za msingi zikafutwaIlianza kutekelezwa baada ya msukumo wa cdm kwenye kampeni za 2010, ilipofika 2015 ccm wakawa hawana jinsi zaidi ya kuibeba.
Wapi huko? Cdm walipodai mbona ccm hawakusema utekelezaji umeshaanza?Mkuu ilianza kutekelezwa kabla hata ya mwaka 2003 kwa ngazi ya shule za msingi karo kwa shule za msingi zikafutwa
Ndio mafundisho ya Mchungaji wako Tito?Kwan Yesu alikula chipsi yai?
Mkuu samahan kwan wewe kuamzia 2000 ulikua level gan ya kisomo?Wapi huko? Cdm walipodai mbona ccm hawakusema utekelezaji umeshaanza?
Nijibu swali mtanzania mwenzangu?Ndio mafundisho ya Mchungaji wako Tito?
Kuna uhusiano gani na hoja iliyopo, au umeishiwa na hoja?Mkuu samahan kwan wewe kuamzia 2000 ulikua level gan ya kisomo?
Sijaishiwa hoja kamanda maana that period mimi ndio nilikua nakaribia kuhitim shule ya msingi na karo za shule zilikua zimeshafutwa.Kuna uhusiano gani na hoja iliyopo, au umeishiwa na hoja?
Tafuta kwenye vipindi vya kuelekea uchaguzi wa 2010 vya ITV, wanaccm walikuwa wanaingia kwenye mijadala kusema kuwa elimu bure haiwezekani. Na mmoja wapo wa aliyekuwa kwenye vipindi hivyo ni Mzee Makamba na Mzee Wassira. Hili sio jambo la kuhadithiwa bali nimesikia kwa masikio yangu. Kuna wakati Mbunge wa Moshi mjini mzee Ndesamburo alitaka manispaa hiyo aianze kutoa elimu bure, mkurugenzi wa manispaa hiyo alikataa kupitia vikao rasmi vya halmashauri kwa kusema kuwa hiyo sio sera ya ccm. Haya Nina ushahidi nayo. Sasa hayo ya kwako sijui 40 hadi 20 ndio bure?Sijaishiwa hoja kamanda maana that period mimi ndio nilikua nakaribia kuhitim shule ya msingi na karo za shule zilikua zimeshafutwa.
Mwaka 2005 ikafuata sekondari ada za shule zikapunguzwa toka 40k to 20k nilikua kidato cha pili.
Sasa mbona unataka kubisha vitu huku huna evidence mkuu??.hiv karibu Magu akafuta kabisa kulipa ada sekondari ndio maana nakuambia hii ni hoja ccm ilianza kuitekelezwa before 2003 na hoja hii Lipumba ndio alikua kinara wa kuiuza upande wa upinzani na wala sio chadema mkuu.
Cdm wamekuja kuiongelea na kuidandia ishu hii ikiwa tayar katika program ya utekelezaji.