2.Kina uwezo wa kubeba kilo 4001. Ukichaji kwa masaa sita linakuwa kimekula units ngapi za umeme?
2. Kinauwezo wa kusukuma Tani ngapi if not kilos?
3. Kikiharibika kinaenda garage au kwa fundi simu/ radio?
4. Kina shelf life ya miaka mingapi kwa engine take na max load capacity
Kasema bei yake haitazidi 10m,anahisi itakuwa milioni 8-9Yani ashindane na kirikuu ambayo Bei yake ni chini karibia 12m afu hiyo yake kasema imemgarimu zaidi ya 40 atashindanaje Sasa hapo..????
Hawa wanabadili mfumo wa gari kuwa wa umeme,ni kama wale wanaobadilisha kuwa wa gesinimeona mwananchi wameweka kuwa Gari la kwanza la umeme ndio limezinduliwa mbona huu uongo jamani? kwa nini msifamye tafiti kwanza jaman?
Kule Arusha watu wametengeneza Gari tena za Kwenda Mbugani ni full umeme tu!
acheni kukuza watu kwa kuwa tu wana majina makubwa! acheni kumtafutia mtu promo kiboya
angalieni hapa
uskute uwezo wake ni spidi 15 tu
Iko chini kidogo ya suzuki carry2.Kina uwezo wa kubeba kilo 400
Suzuki carry inabeba kilo ngapi?
Semi valid!
Statement yako imeniibulia maswali lukuki katika fikra. Hivi hiyo test, gari Kama Nissan Extrail, Prado, Voxy nk, na zenyewe zimepitia?
Sina ujuzi wowote wa magari.
YES kipo chini ya shirika la Taifa la Maendeleo. NDCSiyo cha kuunda, ni cha kuunganisha magari, pale ilipokua TAMCO.
Jamaa ni "kichwa" haswaa👍
Jana si leo mpwaaa.....Mmesahau kuwa mlimuita kwa kumhoji juu ya cartoon za mwendazake zenye kichwa chenye nundu kubwa usoni!! Leo nyie wale wale mnamsifia kuwa ni kichwa; hovyoo!
Jana si leo mpwaaa.....
#Siempre JMT🙏
Yes kwa Afrika bado sana kutumika hayo magari.Magari ya mafuta yataendelea kuwa bora siku zote, embu fikiria una safari ya ghafla usubiri masaa 6 chaji, au linakuzimikia batabarani upeleke chaji usubirie, mafuta hata kwa dumu unafuata na maisha yanasonga
Ok, tofauti ni ndogo
Watu tukiuliza maswali muhimu tunaambiwa kua tuna chukiHakuna gari hapo hiyo ni toy time will tell suala la ugunduzi wa kitu mpaka likubalike katika nyanya zote iliwemo ubora, ballance barabarani, na mambo kadha ws kadha ya kiusslama lazima ipitie test nyingi za idara mbalimbi za nje na ndani zinazohusiana na ubora na hati miliki.