Hongera Masoud Kipanya ila tunaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hii gari yako

Hongera Masoud Kipanya ila tunaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hii gari yako

1. Ukichaji kwa masaa sita linakuwa kimekula units ngapi za umeme?
2. Kinauwezo wa kusukuma Tani ngapi if not kilos?
3. Kikiharibika kinaenda garage au kwa fundi simu/ radio?
4. Kina shelf life ya miaka mingapi kwa engine take na max load capacity
2.Kina uwezo wa kubeba kilo 400
 
nimeona mwananchi wameweka kuwa Gari la kwanza la umeme ndio limezinduliwa mbona huu uongo jamani? kwa nini msifamye tafiti kwanza jaman?

Kule Arusha watu wametengeneza Gari tena za Kwenda Mbugani ni full umeme tu!

acheni kukuza watu kwa kuwa tu wana majina makubwa! acheni kumtafutia mtu promo kiboya

angalieni hapa
Hawa wanabadili mfumo wa gari kuwa wa umeme,ni kama wale wanaobadilisha kuwa wa gesi
 
Semi valid!

Statement yako imeniibulia maswali lukuki katika fikra. Hivi hiyo test, gari Kama Nissan Extrail, Prado, Voxy nk, na zenyewe zimepitia?

Sina ujuzi wowote wa magari.

Nchi za wenzetu hautengenezi gari na kuingiza sokoni kienyeji.

Hizo test zote lazima.

Ndo maana karibu gari zote za wenzetu zinakuwa na safety ratings.

Hizo noah voxy ukitafuta safety ratings zake utazipata.
 
Hakuna gari hapo hiyo ni toy time will tell suala la ugunduzi wa kitu mpaka likubalike katika nyanya zote iliwemo ubora, ballance barabarani, na mambo kadha ws kadha ya kiusslama lazima ipitie test nyingi za idara mbalimbi za nje na ndani zinazohusiana na ubora na hati miliki.
 
Magari ya mafuta yataendelea kuwa bora siku zote, embu fikiria una safari ya ghafla usubiri masaa 6 chaji, au linakuzimikia batabarani upeleke chaji usubirie, mafuta hata kwa dumu unafuata na maisha yanasonga
 
Mmesahau kuwa mlimuita kwa kumhoji juu ya cartoon za mwendazake zenye kichwa chenye nundu kubwa usoni!! Leo nyie wale wale mnamsifia kuwa ni kichwa; hovyoo!
Jana si leo mpwaaa.....

#Siempre JMT🙏
 
Magari ya mafuta yataendelea kuwa bora siku zote, embu fikiria una safari ya ghafla usubiri masaa 6 chaji, au linakuzimikia batabarani upeleke chaji usubirie, mafuta hata kwa dumu unafuata na maisha yanasonga
Yes kwa Afrika bado sana kutumika hayo magari.
Maana utaambiwa kila baada ya kutembea 100km ukachaji tena sasa imagine imekuzimikia upo kimbiji au mkuranga utapata wapi charging points.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Hongera Masoud kwa ufumbuzi huu. Hivi umeshindwa kweli kuja na design nyingine shinda hii ya mwaka 1920? Na je, kutoka hapo Mwenge (Mlimani City) mpaka Kinondoni inachukua siku ngapi kufika huko?
 
Hakuna gari hapo hiyo ni toy time will tell suala la ugunduzi wa kitu mpaka likubalike katika nyanya zote iliwemo ubora, ballance barabarani, na mambo kadha ws kadha ya kiusslama lazima ipitie test nyingi za idara mbalimbi za nje na ndani zinazohusiana na ubora na hati miliki.
Watu tukiuliza maswali muhimu tunaambiwa kua tuna chuki
 
Back
Top Bottom