Hongera sana mchungaji Dkt. Kimaro kwa kufahamu ukweli

Kama kuna kitu nakupa Kongole ni kuwa objective katika maswala ambayo ni ya kweli.

Pamoja na kuwa Mkristo lakini huwa unasimamia ukweli pale panapo hitaji ukweli,Kwa hapo hakika umeonyesha jinsi ulivyo tofauti na wengine.

Mimi dini yangu ni Upendo, Haki na Ukweli.
Kunielewa itakupasa uwe na hayo mambo Matatu
 
Mimi mkristu mwenzio, jamaa wapi amedanganya?
 
Umeandika kwa jaziba mpaka umejikuta unaandika ujinga,hebu rudia tena kusoma ulicho kiandika alafu ujitathimini iwapo kichwa chako kiko sawa.
 
Daaah

Jf bana..
 

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Sasa Mkuu hiyo haiondoi ukweli WA nilichoandika,
Nilichoandika kinafanyika kila Siku yaani ndio Maisha yetu ya kila siku
 
NAUNGANA NA MCHUNGAJI ELIONA KIMARO" VIJANA WA KIISLAM NI WAAMINIFU KULIKO SISI VIJANA WAKIKRISTO" NITATOA SABABU
Hayo mahubiri aliyatoa zamani na niliwahi kuyaona kwenye mitandao. Kitendo cha kuyaibua leo siku ambayo amepewa likizo ni kutaka kulazimisha uhusiano wa haya matukio. mimi nadhani tusubiri uongozi wa KKKT kama wataamua watoe sababu za likizo hiyo au la, vinginevyo hayo ni maoni ya Mwamakula ambaye ni wa dhehebu la Moravian, na wewe ambaye sijajua ni wa dini au dhehebu gani
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Sasa Mkuu hiyo haiondoi ukweli WA nilichoandika,
Nilichoandika kinafanyika kila Siku yaani ndio Maisha yetu ya kila siku
Nilitaka nijue tu maoni yako kuhusu idadi kubwa ya vijana wanaokamatwa na madawa ya kulevya kuwa ni waisilamu
 
Kuna mwenzio Jana kapigwa Sandals akienda kujitetea Masjid
 
Pamoja na hoja zako nzuri sana, ukweli sisi wakristo sio waaminifu, kimavazi, kimaongezi, kiimani..amenena vizuri. Sisi sio waaminifu.
Tatizo kubwa la MAJUHA wengi ni KUFIKIRI kila mtu asiyekuwa MUISLAM Basi ni MKRISTO.

Ni aina fulani ya AKILI ya KIJUHA iliyochanganyikana na UZUZU.
 
Vijana hawa hawa wanaojifunga mabomu na kujilipua? Hawa magaidi? Inafikirisha
 
Leo ndiyo umejua kuwa hiyo ni tabia ya mtu na siyo dini eee??
 
Mbona haujajibu hoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…