Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Izi meza za bunge ni magogo mangapi ya miti ? Na kama wame import bac iyo nchi mitinyake ipo vyema
 
Nawaonya wale wote wanaodhani kuondoka kwa jeipiemu kutakuwa hakuna usimamizi wa mali za umma, uzembe, wizi...nataka niseme hayati amekwenda peke yake, maono yake tunaendelea kuyafanyia kazi.....
 
swali lipo wazi 3/4 ya wabunge ni wamfukoni kwa Magufuli, ambaye karma ilimfyeka, hawakuchaguliwa na wananchi. Kuna Covid19 hawa wanamwakilisha nani
Uko sahihi kabisa. Ndiyo maana kikiongewa kitu kinachom favor JPM makofi mengi sana. Hawako kwaajili ya kuangalia mustakabari wa nchi. Kiujumla 99.9999% ni CCM.
 
IMG_8032.jpg
 
Mama amekonga mioyo ya watumishi wa Umma, nimesikia akisisitiza hilo, huyu mama kweli kaja kuleta furaha kwenye mioyo ya watanzania.
 
aaah this is too much ma nigaas hayo mabench bado tunayategemea makofi gani hayo?
 
Unapotunga sheria ikusaidie kwa wakati fulani kuna wakati itakurudi

Nafahamu serikali inatamani hotuba ingekuwa katika 'streams, blogs , forums etc live'

Sheria ile ile walioinyamazia sasa inawarudi

JokaKuu Mag3
 
Mwendazake labda hajawahi kukutusi wewe tu ila alitutukana sana watanzania.

Kwanza kabisa kutuita wanyonge ni tusi kubwa.
Matusi yapi? Nipe mfano wa hayo matusi.

Halafu matusi ni relative term, kuna kitu utakiona wewe ni tusi na mwingine asikione tusi lakini kuna matusi yanajulikana mfano sehemu za siri za maumbile ya binadamu.

Sasa naomba unipe matusi aliyotukana mwendazake.

Jambo la pili, wanyonge tumeitwa toka kwa Nyerere, mbona hakuna aliesema Nyerere amewatukana?

Nataka hoja za maana.
 
Back
Top Bottom