Toka 2014 namfuatilia mate, kuna wanaume walibahatika kupata wake wazuri. Mmoja wapo ni Mume wa Ummy
Uko sahihi kabisa. Ndiyo maana kikiongewa kitu kinachom favor JPM makofi mengi sana. Hawako kwaajili ya kuangalia mustakabari wa nchi. Kiujumla 99.9999% ni CCM.swali lipo wazi 3/4 ya wabunge ni wamfukoni kwa Magufuli, ambaye karma ilimfyeka, hawakuchaguliwa na wananchi. Kuna Covid19 hawa wanamwakilisha nani
Wapinzani, au magufuli ndiye anaye elekea kupotezwa mazima?Wapinzani wanazidi tu kupotezwa, sijui mwaka 2025 watakuja na sera gani!!
If you can't beat em,join em.Speech ya mama ina 80% ya yale aliyoyaacha Hayati. Keep on resting in peace Master Mind.
Matusi yapi? Nipe mfano wa hayo matusi.Mwendazake labda hajawahi kukutusi wewe tu ila alitutukana sana watanzania.
Kwanza kabisa kutuita wanyonge ni tusi kubwa.