Enheee bi mkubwa anampiga biti kigogo.
Nakubaliana na wewe chief.Angeyasema hayati tungesema anajisifia, pengine huyu watamuamini , sio 80% ni 100% , kinywa cha samia mwenye Mirada yote na ufanisi tumefanikiwa kutoka awamu ya tano, huyu mzee alilitendea haki taifa hili.
Mkusanya kodi ndo anaepanga matumizi usimpangie.kwani shinngapi!?Dah uvccm jaman!!!! Kwa hiyo wakiwepo ndani ya bunge kula Kodi za waNanchi kinyume Cha katiba ninyi ndo inawafurahisha?!!! Hivi maccm Ni kwa Nini vitu vya kuvunja katiba na sheria za nchi mwavishadidia Sana?!!! Hamuwez kuishi kwa haki bila dhuluma?!!!!
Sidhani kama serikali imeshindwa kumpata...hapo sasa anaharibu.
..angepotezea tu.
Labda genelo sekretari aliyepita wa sisiemuHili dongo kamtupia nani?
Imekwishaaa
Unaona ulivyo mjinga?Matusi yapi? Nipe mfano wa hayo matusi.
Halafu matusi ni relative term, kuna kitu utakiona wewe ni tusi na mwingine asikione tusi lakini kuna matusi yanajulikana mfano sehemu za siri za maumbile ya binadamu.
Sasa naomba unipe matusi aliyotukana mwendazake.
Jambo la pili, wanyonge tumeitwa toka kwa Nyerere, mbona hakuna aliesema Nyerere amewatukana?
Nataka hoja za maana.
mi mgeni hapa, hivi team barakoa ndo wapi hao?!!!!Hadi muda huu nawaonea huruma team Barakoa.
Hivi Kama Mama ataendelea kujenga zahanati bila kuua mtu, kuteka, kutesa na kuvunja sheria za nchi kwani kutakuwa na ubaya gani?!!! Mwendasake tulichomchukia nacho zaidi Ni Ile kuwafanyia watu ukatili, kuvunja sheria za nchi, kuteka watu, kuonea wanasiasa, wafanyabiashara, wakulima nk kwa kisingizio kuwa Kuna watu wanamzuia kujenga madaraja!!!Speech ya mama ina 80% ya yale aliyoyaacha Hayati. Keep on resting in peace Master Mind.
Nyinyi nyumbu simlisema miradi iliyo anzishwa na Magu haina tija, wevipi? Ama hampo organized...sijaona watu wajinga nchi hii kama uv-ccm.
..mnameza tu kila mnachopewa na viongozi wenu.
..Vijana wa aina gani nyie msiohoji au kudadisi mambo??
..kuhamisha goli ni kujenga Mwanza -- Isaka, badala ya Makutupora -- Isaka.
..sasa abiria na mizigo toka Mwanza wakifika Isaka watapakia kwenye reli ya kati ya zamani?
Naweza kua mjinga lakini wewe ni taahira.Unaona ulivyo mjinga?
Acha nikuache tu.
Aya Basi ngoja tuone Kama na yeye atateka raia.Mkusanya kodi ndo anaepanga matumizi usimpangie.kwani shinngapi!?
Tangia mama anaingia madarakani akuna hata pendekezo moja la Nyumbu alilofanyia kazi.Oya mbona sielewi elewi, yani wale mamluki 19 wameachwa? au kuna hotuba part 2?