Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Angeyasema hayati tungesema anajisifia, pengine huyu watamuamini , sio 80% ni 100% , kinywa cha samia mwenye Mirada yote na ufanisi tumefanikiwa kutoka awamu ya tano, huyu mzee alilitendea haki taifa hili.
Nakubaliana na wewe chief.
 
ndo kamaliza?

so what the fate of those 19?
 
Dah uvccm jaman!!!! Kwa hiyo wakiwepo ndani ya bunge kula Kodi za waNanchi kinyume Cha katiba ninyi ndo inawafurahisha?!!! Hivi maccm Ni kwa Nini vitu vya kuvunja katiba na sheria za nchi mwavishadidia Sana?!!! Hamuwez kuishi kwa haki bila dhuluma?!!!!
Mkusanya kodi ndo anaepanga matumizi usimpangie.kwani shinngapi!?
 
Oya mbona sielewi elewi, yani wale mamluki 19 wameachwa? au kuna hotuba part 2?
 
Mwishoni ameharibu...(1) Alipoongelea sababu za kifo... eti sumu ...(rahisi hatakiwi kutolea maelezo nyepesi nyepesi...).(2) Raisi mwanamke hawezi kutekeleza ilani.....
Imekwishaaa
 
🎶🎶🎶🎶

Anaweza...... 💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽

Wanaolia walie..

Kazi inaendelea....
 
Matusi yapi? Nipe mfano wa hayo matusi.

Halafu matusi ni relative term, kuna kitu utakiona wewe ni tusi na mwingine asikione tusi lakini kuna matusi yanajulikana mfano sehemu za siri za maumbile ya binadamu.

Sasa naomba unipe matusi aliyotukana mwendazake.

Jambo la pili, wanyonge tumeitwa toka kwa Nyerere, mbona hakuna aliesema Nyerere amewatukana?

Nataka hoja za maana.
Unaona ulivyo mjinga?

Acha nikuache tu.
 
Speech ya mama ina 80% ya yale aliyoyaacha Hayati. Keep on resting in peace Master Mind.
Hivi Kama Mama ataendelea kujenga zahanati bila kuua mtu, kuteka, kutesa na kuvunja sheria za nchi kwani kutakuwa na ubaya gani?!!! Mwendasake tulichomchukia nacho zaidi Ni Ile kuwafanyia watu ukatili, kuvunja sheria za nchi, kuteka watu, kuonea wanasiasa, wafanyabiashara, wakulima nk kwa kisingizio kuwa Kuna watu wanamzuia kujenga madaraja!!!
 
..sijaona watu wajinga nchi hii kama uv-ccm.

..mnameza tu kila mnachopewa na viongozi wenu.

..Vijana wa aina gani nyie msiohoji au kudadisi mambo??

..kuhamisha goli ni kujenga Mwanza -- Isaka, badala ya Makutupora -- Isaka.

..sasa abiria na mizigo toka Mwanza wakifika Isaka watapakia kwenye reli ya kati ya zamani?
Nyinyi nyumbu simlisema miradi iliyo anzishwa na Magu haina tija, wevipi? Ama hampo organized.
 
Kmmae zenu tanesco hotuba inaisha ndio mwarudisha umeme,
Mama nae ni famba, Hata kugusia swala la ajira mpya imekuwa shida.
 
Back
Top Bottom