Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Ngoma imepigwa bungeni subirini tuone kigogo atakavyo ndemka mtandaoni
 
..kigogo amewasemea watz baada ya magufuli kuvitisha na kuvifungia vyombo vya habari.

..kama tunataka kigogo aondoke, au akose umaarufu, basi serikali itoe uhuru kwa vyombo vya habari.
Sio rahisi, ukiruhusu uhuru wa vyombo vya habari ni rahisi ku contaminate minds za watanzania and the impact may be worse. Wengi wetu sisi ni easy believers. Ni vema kuwa na circle ndogo ya watu ambao wako exposed na poison za dirty politicians.
 
Tangia mama anaingia madarakani akuna hata pendekezo moja la Nyumbu alilofanyia kazi.
Naona yote anatuoa kule.
uhuru wa vyombo vya habri & kujieleza na kukosoa serikalli ilipendekezwa na CCM?

Hata hili bunge live nalo lilipendekezwa na CCM?
 
Mama akuna pahala alipotoa boko kapita kwenye mambo muhimu ya Taifa,matakataka mengine yote kapigachini.
 
Naweza kua mjinga lakini wewe ni taahira.

Nipe mfano wa tusi huna, umeshikwa akili na mbowe, zero brain 🧠.
Kama umesema kuwa tusi ni relative basi kwangu mimi kuniita mnyonge ni tusi.

Ndio maana nimekuona mjinga maana unajichanganya mwenyewe.
 
Reactions: BAK
uhuru wa vyombo vya habri & kujieleza na kukosoa serikalli ilipendekezwa na CCM?

Hata hili bunge live nalo lilipendekezwa na CCM?
Kwaiyo wewe Bunge hili live la CCM tupu ndo unaona wazo lenu limetekelezwa,kwa hili Bunge la CCM watupu?
Basi kazi hipo!!.
 
Nyinyi nyumbu simlisema miradi iliyo anzishwa na Magu haina tija, wevipi? Ama hampo organized.

..mimi nilisema atcl haina tija.

..na nilisema toka wakati wa jk.

..sasa hebu tueleze kama wewe unaamini atcl ina tija.

..Stieglers nimesema niko 50/50. Inaweza kuwa na tija kama tumejenga kwa mkopo wenye masharti nafuu.

..Je, wewe unafahamu kama mkopo wa kujenga stieglers ni wa masharti nafuu? Mbunge wako anafahamu?

..Sgr nimeonya kwamba tuwe waangalifu kwenye mkopo. Pia nimeonya Sgr kwamba faida iko kwenye mizigo, na siyo abiria.

..Je, tuna mkakati wa kuwa na viwanda vitakavyozalisha shehena / mizigo ya kutosha ili Sgr iendeshwe kibiashara?

..Kama Tazara inaendeshwa kwa hasara, je ni makosa wananchi kuwa na wasiwasi kuhusu hatima ya Sgr?

..Bandari ya Bagamoyo nimeonya kuhusu China kuwa na sauti kubwa ktk mradi huo kuliko Tz. Nimehoji kwanini tusiongeze hisa za serikali, au hata kujenga wenyewe? Pia nimehoji kuhusu hatima ya bandari ya Dsm.

..Sasa naomba uniambie kosa langu ni lipi hapo?

Cc Nguruvi3
 
Kama umesema kuwa tusi ni relative basi kwangu mimi kuniita mnyonge ni tusi.

Ndio maana nimekuona mjinga maana unajichanganya mwenyewe.
Ungesema umetukamwa wewe kwa kuitwa mnyonge sio kusema tumetukwnwa kuitwa wanyonge, mmetukanwa wewe na nani?

Watu wenye akili tukiona kwenye sentensi mtu ametumia neno jumuishi(generalization) term tunajua kabisa huyu akili hana, ni taahira.
 
Kwani huzijui teleprompter?

Hujawahi kuziona kwa wasoma habari wa kwenye runinga?

Ni chombo cha muda mrefu kitumikacho kusomea hotuba au habari hususan zinazorushwa pia na stesheni za runinga.
Hebu picha msukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…