Sidhani kama serikali imeshindwa kumpata.
..kigogo amewasemea watz baada ya magufuli kuvitisha na kuvifungia vyombo vya habari.
..kama tunataka kigogo aondoke, au akose umaarufu, basi serikali itoe uhuru kwa vyombo vya habari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama serikali imeshindwa kumpata.
yap hili ndo jambo la msingi sanaCovid-19 wamepona.Pamoja na yote mimi nasmhukuru Mungu JIwe kuondoka zake!
Mkuu picha tafadhali,tufaidi wote.Toka 2014 namfuatilia mate, kuna wanaume walibahatika kupata wake wazuri. Mmoja wapo ni Mume wa Ummy
Marekani,Japan,Canada,Uingereza
Bora tugune wote mkuuKumbuka meli za uvuvi
mgawanyo mmm!
Sio rahisi, ukiruhusu uhuru wa vyombo vya habari ni rahisi ku contaminate minds za watanzania and the impact may be worse. Wengi wetu sisi ni easy believers. Ni vema kuwa na circle ndogo ya watu ambao wako exposed na poison za dirty politicians...kigogo amewasemea watz baada ya magufuli kuvitisha na kuvifungia vyombo vya habari.
..kama tunataka kigogo aondoke, au akose umaarufu, basi serikali itoe uhuru kwa vyombo vya habari.
uhuru wa vyombo vya habri & kujieleza na kukosoa serikalli ilipendekezwa na CCM?Tangia mama anaingia madarakani akuna hata pendekezo moja la Nyumbu alilofanyia kazi.
Naona yote anatuoa kule.
wale wabunge wa chama tawala walioinuka na kudai hiyo miradi haina tija usiwasahauNyinyi nyumbu simlisema miradi iliyo anzishwa na Magu haina tija, wevipi? Ama hampo organized.
Kama umesema kuwa tusi ni relative basi kwangu mimi kuniita mnyonge ni tusi.Naweza kua mjinga lakini wewe ni taahira.
Nipe mfano wa tusi huna, umeshikwa akili na mbowe, zero brain 🧠.
Kwaiyo wewe Bunge hili live la CCM tupu ndo unaona wazo lenu limetekelezwa,kwa hili Bunge la CCM watupu?uhuru wa vyombo vya habri & kujieleza na kukosoa serikalli ilipendekezwa na CCM?
Hata hili bunge live nalo lilipendekezwa na CCM?
Nyinyi nyumbu simlisema miradi iliyo anzishwa na Magu haina tija, wevipi? Ama hampo organized.
Ungesema umetukamwa wewe kwa kuitwa mnyonge sio kusema tumetukwnwa kuitwa wanyonge, mmetukanwa wewe na nani?Kama umesema kuwa tusi ni relative basi kwangu mimi kuniita mnyonge ni tusi.
Ndio maana nimekuona mjinga maana unajichanganya mwenyewe.
Hebu picha msukumaKwani huzijui teleprompter?
Hujawahi kuziona kwa wasoma habari wa kwenye runinga?
Ni chombo cha muda mrefu kitumikacho kusomea hotuba au habari hususan zinazorushwa pia na stesheni za runinga.
Wakati uliopita endelevuMimi na Magufuli tulikuwa kitu kimoja
Tulikuwa ni wakati uliopita
Bado upo chato?[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Anaweza...... [emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437]
Wanaolia walie..
Kazi inaendelea....